Posts

Showing posts from May, 2019

MAMBO 10 USIYOYAFAHAMU KUHUSU WATOTO MAPACHA

Image
Yapo mengi mazuri na mabaya unayoyafahamu kuhusu tabia za mapacha kutokana na kuishi nao kwa ukaribu. Basi leo nimeandaa machache kuhusu tabia za mapacha ambazo watu wengi hawazifahamu kwani inafahamika kuwa mapacha ni watu wanaofanana kwa kiasi kikubwa japo kuwa tafiti zilizofanywa zimebainisha kuwa yapo mengi pia ambayo mapacha hutofautiana. Na zipo baadhi ya tabia za kustaajabisha na kufurahisha kuhusu mapacha, Tazama hapa chini kujua zaidi.

SHOGA JEMBE LAKO AKULIMIE NANI?

Image
H E  he he heeeeiya, acha nicheke miye Anti Naa mwana wa mashabiki, mjukuu wa maiki! Shoga hivi unajua kuna vitu vinachekesha kama siyo kusikitisha ati? Mwanamke mwenzangu mzima unalalamika kuzidiwa kete na hausigeli inahu?  Loo! Ona sasa nimesahau hata kukusalimu shoga yangu wa ukwee hawa watu ujue wanakera? U mzima wewe siyo unanitumbulia macho kana kwamba hunijui, unataka kunisoma bila kujua maandishi nayo yanamuandikaji wake, upo? Lakini twende mbele turudi nyuma, shoga yangu hali ya hewa hii kwa tunaoishi kwenye hili jiji la Dar hata haitabiliki mwenzangu! Unataka kufua unashindwa, unataka basi kwenda gengeni napo ni tope na maji, unataka basi kutoka out ndiyo kabisaa! Hebu tuachane na hayo kwanza kwa muda tuingie katika mada ya leo maana inaniudhi kweli! Mwenzenu sijui nipoje, nikisikia jitu zima linalalamika kuzidiwa kete na hausigeli naliona kama limewasha moto ndani ya nyumba halafu linakimbilia kwa majirani walisaidie kuuzima, halooo ehhh! Halafu sasa ukute jitu hilo ndi

JAMAA AJIGAMBA KUWATIA MIMBA MAPACHA

Image
Jamaa mmoja kutoka Marekani amevunja rekodi baada ya kufanikiwa kuwatunga mimba dada wawili mapacha ambao wote walikuwa wapenzi wake. Kwa kawaida, wanawake wengi hujawa na wivu sana hasa wanapogundua mpenzi wao yuko na uhusiano wa kando wa kimapenzi ila kwa dada hawa mapacha, hiyo sio hoja hata kidogo. Dada wawili mapacha wapachikwa mimba na mwanaume mmoja Kulingana na picha zilizochapishwa mitandaoni na mpenzi wao, ni wazi kwamba Dada hao wanafurahia sana kuwa na mume mmoja. Jamaa huyo ambaye alitambulika kama Banks, hakuficha furaha yake mitandaoni kwani alijigamba jinsi alivyo gwiji kitandani na anastahili kupongezwa.

NASUBIRI KUMFUMANIA MKE WANGU NAOMBENI USHAURI

Image
Waku habari za mchana,kama nilivyojieleza hapo juu,ni kwamba nilibahatika kuoa miaka 10 iliyopita iliyopita,tulipata sakrament ya ndoa takatifu tar.7/5/2011 pia katika ndoa yetu tumejaliwa kupata watoto 2 Kilichonifanya niandike haya ni taarifa nilizozipata toka kwa jirani yangu ambae amenithibitishia kuwa mke wangu anatembea na mtu ambae pia ni jirani yetu kabisa mke wangu huwa anashinda nyumbani akijishughulisha biashara ya kiduka tulichokifungua karibia mwaka sasa pia mimi huwa nashinda kibaruani kwangu ambapo mara nyingi huwa nachelewa kurudi nyumbani kutokana na kabiashara kangu kanako nipatia riziki. Huyu jirangu kanijulisha huwa wanatoka majira ya saa 1 jioni na kurudi sa 2:30 jioni kabla mimi sijarudi, baada ya kupata tarifa hizi nilijaribu kufanya uchunguzi na nimeanza kuona kuna ukweli juu ya jambo hili, juzi ilipofika saa 1:30 jioni nilimpigia simu kumuulizia jambo fulani nikasikia anaongea taratibu tofauti na siku nyingine, nikamuuliza umeshafunga duka? akanijibu ndio, n

MAMA MKWE AMEMTAFUTIA MKE WANGU MCHEPUKO, NIFANYEJE??

Image
Nina jamaa yangu mpaka hivi sasa dunia anaiona chungu na hajui achukue uamuzi gani dhidi ya mkewe na mkwewe Jamaa ameoa mwanamke ambae tayari alishaolewa na kuzaa mtoto mmoja ila kutokana na maisha kuwa ya tabu mume aliondoka kuelekea mozambiq kuchimba madini na hakurudi tena mpaka jamaa yangu alipojitwisha majukumu ya kuoa Tatizo linalomsumbua jamaa yangu ni pindi alipooa aliamua kwenda kuishi na mke wake nyumbani kwao lakini pale kwao ikatokea sintofahamu na dada wa jamaa yangu ikabidi waende wakapange chumba,kule mama mkwe ikawa kila asubuhi lazima aje ashinde pale home kwa gia ya kujifanya anacheza na wajukuu na jioni anabeba chakula Kupita kama miezi sita tangu ule mchezo uanze mama mkwe akatoa ushauri kwanini wasihamie kule nyumbani yaani ukweni sababu nyumba ipo na nafasi na yeye mama mkwe atapunguza msafara wa kuja pale daily,jamaa yangu akashauriwa akakubali wakahamia ukweni sasa baada ya kuingia pale jamaa yangu ndio ameanziwa visa vya kuweza kuua mtu Jamaa yangu yeye n

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI MKIWA MNACHAT ACHANA NAE LOG OUT KABISA.....

Image
Kama umemtumia mpenzi wako/mchumba wako/mchepuko wako/mke wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana kinachofuata hapo ni majanga tu. KWA MFANO: 1. Ukimtumia sms ''Mambo mpenzi wangu?'' akikujibu ''mambo mabaya'', usimuulize kwanini mambo mabaya, ukimuuliza atakwambia kuwa ''sina hela dear'' 2. Ukimtumia sms ''Maisha yanasemaje kipenzi changu'' akikujibu ''maisha magumu hubby wangu we acha tu'' usimuulize kwanini, ukimuuliza kwanini atakwambia ''nimefulia mwenzio kama nini sijui'' 3. Ukimtumia sms ''Mbona kimya sana mchumba wangu, umenitupa kiasi hicho'' akikujibu ''sijakutupa wangu yaani mambo hata hayaendi'' usimuulize kwanini mambo hayaendi, ukimuuliza atakwambia kuwa ''yaani sina kitu mpenzi wangu, simu ilik

SIRI MUHIMU UNAZOTAKIWA KUZIJUA KUHUSU WANAWAZE

Image
Wanawake wana siri nyingi sana mioyoni mwao na kwa kawaida huwa hawawezi kuonesha hisia zao za ndani moja kwa moja. Ni watu ambao mara nyingi hupenda kuwasilisha vilivyomo ndani yao kwa ishara. Kwa mtindo wa maisha ya wanaume wengi wa sasa ni vigumu kusoma ishara hizo na kujua mahitaji ya mwanamke husika. Bahati mbaya ni kwamba, ukienda kinyume na mahitaji yao, utashangaa kila siku mnaingia kwenye mikwaruzano isiyo na msingi. Wiki iliyopita nilieleza machache, leo tunaingia katika sehemu ya mwisho. Hebu fuatilia kwa makini ujue mwanamke anapenda vitu gani hasa ili uweze kuishi naye kwa amani. KUSIKILIZWA Ukitaka kumpatia mwanamke, msikilize. Kumbuka wanawake wengi wana hulka ya kuongea sana! Ndivyo walivyo. Wakati fulani, mwanamke anapenda kuzungumza mambo fulani na mwanaume wake. Pengine anapenda kumshauri au kujadiliana naye jambo fulani; huenda ana mawazo mazuri lakini mtindo wao wa kuongea sana unaweza kukatisha tamaa. Usifanye hivyo. Mpe nafasi. Msikilize kwa makini, mw

FAHAMU JINSI YA KUMPATA MPENZI BORA

Image
Unapochagua mpenzi wa maisha unatakiwa kuhakikisha unachagua mpenzi ambaye mtaendana naye kitabia, wengi wa wanawake na wanaume wengi wao utawasikia wakisema mimi nataka mpenzi asiye mlevi wakati huo yeye mwenyewe ni mlevi, kwa kufanya hivi kama utapata mpenzi, ni lazima mapenzi hayo hayatadumu kwa sababu utakuwa umepata mtu ambaye hamuendani kitabia na kihisia pia. Hivyo ili uweze kupata mpenzi sahihi unatakiwa kuzingatia mambo yafuatayo: Lazima na wewe uwe bora kwanza. Huwezi kusema unataka mtu bora wakati wewe mwenyewe siyo bora. Kama unataka mpenzi bora na sahihi kwako unatakiwa kwanza wewe mwenyewe uwe bora kwanza katika kila eneo ambalo wewe linakuhusu ndipo na wewe utakapopata mwenza bora pia. Hii si kwa wanawake tu bali hata kwa wanaume pia kama unataka msichana ambaye ni bora anza kwanza wewe kuwa bora ndipo mambo mengine yatafuta. Lazima na wewe ujiheshimu. Utasikia wadada / kwa wakaka wakisema mimi nataka mtu ambaye anajiheshimu, ni heshima gani ambayo unaizungumzia w

NAONA DALILI ZA KUMUACHA MKE WANGU, MSAADA TAFADHALI

Image
Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja raha majinuni ya ndoa. Baada ya hapo ni mateso makubwa sana. "Hasikii la mwadhini wala la mtia maji msikitini" Mke wangu kaanzisha tabia chafu sana na isiyo mpendeza MUNGU na walimwengu pia. Ilikuwa ni mwezi wa saba wa ndoa yetu usiku wa maanani ndipo kiini cha dukuduku langu lilipoanza. Baada ya kufanya tendo la ndoa kwa raundi ya kwanza ndipo mke wangu mpendwa aliponiomba "twende chooni" akimaanisha nimwingilie kinyume na maumbile. Kwakweli ilibidi nifanye ili kumridhisha na kumuonya kwamba iwe ni siku ile pekee. Kuanzia hapo mke wangu kaweka msimamo kuwa hanipi haki yangu mpaka nimpe "kiu yake" ambayo mimi naona ni dhambi kubwa na isitoshe ni mke wangu kabisa...Afadhali labda ingekuwa ni mchepuko ningeelewa lakini ni mke...Napata mawazo Je amejifunza

JE, WAJUA MAANA HALISI YA NDOA??

Image
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili wenye nia ya kuishi pamoja kwa maisha yao yote. Pia ni muungano wenye malengo ya kujenga familia pamoja na kuiongoza kwa namna ambavyo itakuwa bora kwao kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hata biblia inasema "Ndoa ni muunganiko wa mwanaume na mwanamke kuwa mwili mmoja ikiwa kwa mtazamo wa nje tunawaona wao ni wawili" (Mwanzo 2:24). Kwa ujumla Ndoa ina maana zifuatazo; Ndoa, ni kujitoa muanga kumpokea mwenza wako wa ndoa katika maisha ya aina yoyote yale, ya taabu na raha, na kila ndoa ina taabu zake na pia ina raha zake, hili halikwepeki. Ndoa, ni maisha ya kuvumiliana na kuchukuliana msalaba, katika mtazamo wa kikristu ninaweza sema, mume anakubali kubeba msalaba wa mke wake na mke anakubali kubeba msalaba wa mume wake kila siku za maisha yao. Ndoa, ni kujitoa kumpenda mwenza wako siku zote za maisha yako na kuweka moyo wako kwake na kila siku lazima ujiulize nimefanya jambo zuri kwa mume au mke wangu. Ndoa, ni kuishi maisha ya kushirikia

SABABU YATAJWA WANAUME WENGI KUKOSA NGUVU ZA KIUME

Image
Comments Off on Sababu yatajwa wanaume wengi kukosa nguvu za kiume Serikali imetaja sababu ya wanaume wengi kukosa nguvu za kiume. Ambapo ugonjwa wa Kisukari pamoja na msongo wa mawazo vimetajwa kuwa ndiyo visababishi vikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume. Tatizo la wanaume wengi kukosa nguvu za kiume limekithiri sana na Serikali inatambua uwepo wa dawa za kuongeza nguvu za kiume dawa zisizo na kemikali ambazo hazijatangazwa rasmi. Hayo yameelezwa jana Bungeni na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa, Dk Hussein Mwinyi aliyekuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga alihehoji sababu ya wimbi kubwa la wanaume kukosa nguvu za kiume na kupelekea uwepo na uhitaji mkubwa wa dawa hizo. Waziri Mwinyi ambaye alijibu swali hilo kwa niaba ya Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia na watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna sababu nyingi zinazochangia kupungukiwa na nguvu za kiume. Aidha, Serikali inatambua uwepo wa dawa kwa ajili ya wanaume ambazo hazina

PIGANIA NDOA YAKO NA SIYO MICHEPUKO YA MUMEO

Image
NIMEIKUTA MAHALI NIKAONA NI VIZURI KU-SHARE Kuna dada mmoja nikikuwa namfahamu miaka mingi sana. Kama miama 15. Kipindi hicho tukiwa ni wasichana wa miaka 25. Dada huyo ghafla akawa na mahusiano na mume wa dada yangu. Nilimchukia sana. Dada yangu alimchukia sana. Wote tulimchukia. Alikuwa mlevi. Malaya na anayependa kuvaa uchi. Hakuwa anajijali hata kidogo. Mimi na Dada yangu tulikuwa tunatamani hata afe ama akatike miguu kwa namna alivyokuwa malaya na mshenzi. Miaka ikapita. Kila ninapokutana na dada yangu haishi kunikumbusha Dativa. Kila siku tulikuwa tunamuongelea. Na kutamani tusikie hata kuna msiba kwao na amefariki dunia. Baada ya miaka mitano kupita. Mimi nikiwa nimeahamaliza masomo yangu. Na sasa na niko kazini nafanya kazi yangu nzuri tu. Kijana mmoja akaniambia ananipenda na anataka kunioa. Miaka yote hiyo sikuwa na mahusiano kwani nilijua na mimi kina Dativa wataharibu ndoa yangu. So sikupenda ndoa kabisa. Hivyo kijana huyo nikamkataa. Ni kijana kama wa 10 hivi kumkat

MKE WANGU ANUNULIWA NGUO ZA NDANI NA MWANAUME MWINGINE

Image
Baada yakudakua mawasiliano ya mke wangu na kukuta Jamaa akimwambia zawadi yako ipo tayari hivyo watafutane ampatie.. Baada ya siku mbili tatu nakaona kimfuko kipo na chupi nne na brazia mbili, sikuuliza ila nikahisi hii ndio ile zawadi. Nikaamua kudakua mawasiliano yake tena. Nikakutana tena na mawasiliano wakiulizana vip ameipenda zawadi na je zimemtosha. Kiumweli ni zaidi ya wiki tatu sasa sijamuuliza au kuonyesha tofauti yoyote kwake, ila bado najiuliza ni sahihi kwa mwanamke tena mke wa mtu kupewa zawadi ya chupi au brazia na mwanaume tofauti na Mume/Mpenzi wake..! Lakini pia je huyu mwanamke anaweza kuendelea kua na vigezo vya kuendelea kua mke. Lamwisho ni mwanamke / Mwanaume anapokua anaamua kumnunulia mwenzake nguo za ndani anakua anamaanisha nini? Natumai mawazo yenu yatanisaidia Asante.!

IFAHAMU SIRI YA KUPATA USINGIZI MZURI USIKU

Image
Mzunguko wa kulala na kuamka ni miongoni mwa tabia za mwanadamu. Huwa tunatumia muda mwingi kulala katika maisha yetu na hatuwezi kuishi bila kulala. Tunapolala, ubongo wetu unapata wakati wa kutunza kumbukumbu na kufanyia kazi taarifa ilizonazo.Ni muda ambao sumu au uchovu uondoka katika miili yetu na kuturuhusu kufanya kazi vizuri tunapoamka. Hata muda mdogo ambao mtu anaweza kulala una faida katika afya zetu. Wengi wetu huwa tunadhoofika tukikosa usingizi hata wa usiku mmoja, na tukikosa usingizi kwa usiku tatu lazima utendaji wa kazi kuwa chini ya kiwango. Katika utafiti mmoja ambao ulisema kuwa mara baada ya saa 17 hadi 19 mtu anapokaa macho bila kulala anakuwa sawa na mtu ambaye amekunywa sana na kulewa. Madhara ya ukosefu usifu wa usingizi huwa yanaongezeka kadri muda unavyoongezeka. Ukosefu wa usingizi unaweza kusababisha tabia ya mtu kubadilika na kutokuwa makini lakini vilevile kuwa na tatizo la kupoteza kumbukumbu. Ingawa wanasayansi wamekuwa wanaelewa umuhimu wa mt

KITU KINGINE AMBACHO UHARIBU NGUVU ZA KIUME NA HUJAWAHI KUKIFIKIRIA

Image
Pengine tayari unafahamu kuwa kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ni hatari kwa afya yako ya nguvu za kiume. Ndiyo hilo ni jambo ambalo kila mtu analijuwa (common sense). Mara nyingi tunapozungumzia vitu vinavyoharibu au kushusha nguvu za kiume huwa tunakimbia kutaja vilevi, vyakula feki, kutokujishughulisha na mazoezi ya viungo na mfadhaiko wa akili. Hivyo ni vitu vinavyojulikana wazi kwa watu wengi kwamba ndiyo vinahusika na kushusha nguvu za kiume, Lakini kuna jambo unalifanya kila siku, kila wiki na kila mwaka tena kwa miaka sasa na hujuwi kama linahusika na kushusha nguvu zako za kiume moja kwa moja. Inawezekana unakula vizuri kila siku, upo bize na mazoezi na unaepuka vilevi na msongo wa mawazo lakini bado unakosa nguvu za kutosha kitandani kwa sababu tu kuna jambo unalifanya na hakuna mtu amewahi kukuambia kama linaharibu vibaya sana nguvu za kiume na uwezo wa mwanaume kuhimili tendo la ndoa. Vipi lakini ikiwa ni kweli unajitahidi kila siku kutimiza jukum

NINA UGONJWA WA KUPENDA WANAWAKE, NAWEZA KUFANYA LOLOTE ILI NIMPATE

Image
Hili jambo kipindi cha nyuma sikuona kama ni tatizo lakini sasa naanza kuona ni tatizo. siku nimekaa nikapiga mahesabu ya idadi ya wanawake nliotembea nao ni zaidi ya 500 hao ndio ninawakumbuka. huwa nachanganyikiwa kabisa nikiona mwanamke....sijafaham kama nilirogwa au ni nini. nimetembea mikoa kama 8 hivi tanzania huko nimeacha kilio tu maana nimepiga mahesabu nina watoto wa nje mpaka sasa 17. moja ya tatizo langu kubwa huwa sipendi kabisa kutumia kinga. naweza nikatumia kinga bao la kwanza ila ujue kuendelea hapo yaani huwa navaa natumia baaaye naichomoa ili nipige issue kavu baada ya saa moja au mawili ndo naweza kumaliza. nikivaa kinga ndo inaweza ikafika kesho. wanawake wameshanijua yaani wakitaka pesa wananionesha tu k zao..wakionesha basi naishiwa nguvu yaani hata nikiwa na hasira vipi nikioneshwa K.U basi naachanganyikiwa nakuwa kama bwege tu. nakumbuka kuna siku moja nlikuwa na dada mmoja room kwake tunapiga story huku tunaangalia movie..mara ikaja sehem ya movie wanafany

MAMBO 8 YA KIPEKEE YANAYOWAPA WATU FURAHA

Image
Mada hii ni watu wengi sana wamewahi kuizungumzia mitandaoni na hata nje ya mitandao na kuna vitu vingi pia vimewahi kutajwa kuwa huleta furaha kwa binadamu lakini vitu au mambo haya nitakakwenda kuyataja leo hapa ni tofauti kabisa, au tuseme ni orijino, nikimaanisha kuwa ni vitu vilivyofanyiwa utafiti wa kina kabisa na jopo la watu mimi mwenyewe binafsi nikiwamo. Katika vitu vingi vinavyotajwa kumpa binadamu  furaha, mwisho wa siku wengi huja kukuta havina uwezo wowote wa kumpa mtu furaha ya kweli iwezayo kudumu muda mrefu. Hata ikiwa watu wanahubiriwa kila wakati kuwa vitu fulani ndivyo huweza kuwaletea furaha, mara nyingi hukuta hawawezi kwenda moja kwa moja na kuipata furaha hiyo kutokana na vitu hivyo, tena cha kushangaza basi watu wengi huendelea tu kuitafuta furaha kutoka katika vitu vingine tofauti visivyoeleweka. Wanajikuta wakiwa bado na kiu kali ya furaha lakini wasijue ni namna gani waipate, kumbe kuna njia rahisi tu za kuipata ambazo unaweza usiamini mara moja utakapota

HESHIMU SANA ULIPO, NI SALAMA ZAIDI KULIKO UENDAKO

Image
J UMATATU  nyingine tunamshukuru Mungu kwa kuiona siku mpya ya leo! Kama ilivyo ada, tunakutana hapa kupaena darasa la mahusiano.  Ndugu zangu maisha ya mahusiano yanahitaji faraja. Mahusiano yanahitaji utulivu; mioyo yenu itulie ili muweze kufanya mambo ya kimaendeleo. Wengi wamejikuta wakisuasua katika kufanya maendeleo kwa sababu tu ya kuyumba kimahusiano. Mahusiano yanapokuwa na shida basi husababisha mambo mengi yasiende sawa. Ni vizuri sana wapendanao wakahakikisha wanaitafuta kwa gharama yoyote. Kila mmoja aone ana wajibu wa kulinda furaha ya mwenzake, mkiishi hivyo basi hakika mtainjoi maisha. TURUDI KATIKA MADA Nikirudi kwenye mada yangu ya leo, nimedhamiria kuzungumza nanyi kuhusu umuhimu wa kuheshimu ulipo. Vijana wengi siku hizi wapo njia panda kwa kushindwa kung’amua yupi hasa ni mwenza sahihi wa maisha. Leo mtu anakuwa na huyu, anaishi naye kwa miezi miwili mitatu anahamia kwa mtu mwingine baada ya kuhisi labda hawaendani na mtu husika. Hii ni changamoto kubwa, hakuna

MPENZI WAKO ANAKUOMBA SANA FEDHA??

Image
 HII INAKUHUSU Ipo dhana iliyojengeka kwenye vichwa vya watu wengi, wanaume kwa wanawake kwamba unapokuwa na mpenzi ambaye mara kwa mara anakuomba fedha, tambua kwamba hana mapenzi na wewe ila yupo kimaslahi zaidi. Utawasikia wanaume wakielezana kwamba siku hizi unaweza kuanzisha uhusiano na mwanamke unayempenda lakini baada ya muda mfupi sana, ataanza kukuomba fedha, ataibuka na matatizo chungu nzima ambayo yote yanahitaji fedha kwa lengo la ‘kukupiga mizinga’. Wanachokiamini wengi ni kwamba mwanamke wa aina hii hafai kabisa na unatakiwa kumuepuka mapema. Kwa wanawake ambao nao kidogo wanajiweza kiuchumi, nao wamekuwa wakiamini kwamba mwanaume anayependa kukuombaomba fedha, hana mapenzi ya dhati na wewe na kinachomfanya awe karibu na wewe, si mapenzi bali ni kwa sababu anaangalia maslahi yake. Siku chache zilizopita, nilipokea ujumbe kutoka kwa moja kati ya wasomaji wangu wa siku nyingi. Huyu dada aliniambia yeye anaishughulisha na biashara lakini tatizo kubwa ambalo amekuwa akikum

JE, KUJAMIIANA HUONDOA MSONGO WA MAWAZO KWA WANAWAKE??

Image
UTAFITI uliofanywa na Chuo Kikuu cha State cha jijini New York nchini Marekani unaeleza kuwa manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo. Pia, watafiti hao wamesema wanawake wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara bila kutumia kinga (mapenzi salama) wanakuwa na kiwango kidogo cha msongo wa mawazo na hufanya vizuri katika vipimo vya akili. Hali hii wamesema wataalam hao kuwa inatokana na manii kuwa na kemikali ambazo humfanya mtu kuwa vizuri kihisia, huongeza upendo/unyenyekevu, huchochea mtu kupata usingizi na huwa na angalau aina tatu za kemikali za kuondoa msongo wa mawazo (anti-depressants). Utafiti huo uliofanywa kwa kuwahoji wanawake 293 kwa kufuatilia maisha yao ya kujamiana dhidi ya afya za akili zao. Manii huwa na mchanganyiko wa kemikali aina ya cortisol ambayo huongeza upendo, kemikali aina ya esterone na oxytocin ambazo zote humfanya mtu kuwa vizuri  kihisia. Pia, huwa na homoni aina za ‘thyrotropin releasing hormone’, ambayo huondoa msongo wa mawazo,

JE, UNAJUA JINSI YA KUMFANYA AKUKUBALI MAPEMA???

Image
Yawezekana kuna mtu hisia zako ndipo zinapoamkia, naamisha unampenda kweli mpaka inafika mahali huelewi kinachondelea, njia nzuri na rahisi zitakazomfanya mtu huyo aweze kukubali mapema mara baada ya kumuonesha hisia zako ni pamoja na kufanya mambo yafutayo: Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali. Mfanye ajisikie huru Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbaele zake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya kawaida katika maisha. Kwa hiyo ili uweze kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi na wewe njia nzuri ni kumfanya ajisikie yupo huru mbele yako na kasha atakua huru kufanya mapenzi na wewe. Mfurahishe Mfanye ajisikie mwenye furaha kila anapokuwa na wewe na atamani kuwa na wewe. Akishajiskia mwenye furaha kila anapokuwa na wewe ni rahisi kushawishika kuwa na wewe kim

SABABU YA KUFA KWA MAHUSIANO MENGI YA NDOA

Image
Mapenzi ni kitu fulani tofauti sana kwenye hii dunia na hata nje ya hii sayari. Mapenzi kwa kiasi kikubwa sana yanasababisha hata mambo mengine kwenye hii dunia yaende sawa au yaende tofauti hata kama hayahusiani na mahusiano ya mapenzi. Vifo vingi hutokana na mapenzi, kuna magonjwa watu wanaumwa kisa mapenzi, kuna mambo watu wanayafanya si ya kawaida kisa mapenzi. Ukiachilia mbali PESA, Mapenzi huwa yana nafasi kubwa sana kwenye kitu chochote ndani ya hii dunia tunayoishi. Si masikini wala si tajiri, wote kwa pamoja wanahitaji mapenzi kutoka kwa wanaowapenda ili dunia iweze kwenda sawa kwa upande wao. Na ndio sababu hata mimi hapa ninaandika kuhusu mapenzi kwa sababu yananigusa hata mimi na hata wewe unayesoma hapa sasa. Ukipata mpenzi anayekuelewa na kukupenda basi hata dunia iwe ya tabu vipi kwako utaiona inazunguka kama kawaida na maisha yatasonga mbele kwako kwa raha mustarehe, na hata matatizo mengine makubwa kwako huwa madogo kwa sababu tu unapenda na kupendwa kwa dhati. La

DALILI ZA KUHARIBIKA KWA UJAUZITO

Image
Kuna sababu nyingi zinazoweza kusababisha mama mjamzito mimba yake kuharibika. Sababu kuu huwa ni magonjwa kama vile ugonjwa hatari wa malaria, ugonjwa unaotokana na zinaa kama vile kaswende na kisonono na U.T.I, dawa fulani fulani mfano Albendazole, Misoprostol, Metronidazole na kadhalika. Lakini pia mjamzito akifanya kazi za kutumia nguvu nyingi anaweza kusababisha mimba yake kuharibika. Lakini kuna sababu nyingi ambazo zinasababisha mimba kutoka huweza kuzuilika kwa kwenda kliniki mapema yaani pale tu unapohisi una mimba hata kama ni wiki mbili na kufuata ushauri wa wataalamu. Ukweli ni kwamba kuna wanawake wengi mimba zao huharibika na wao hushindwa kugundua mapema na matokeo yake anakaa na mtoto mfu hata miezi kadhaa bila kujua. Zipo dalili ambazo husababisha mimba kuharibika kama tutakavyoona leo hapa. Dalili hizo ni hizi zifuatazo: 1. Kuwa na maumivu makali tumboni. Ikiwa mjamzito atakuwa ana maumivu makali ya tumbo wakati ni mjamzito hiyo pia ni dalili mbaya. Kwa kawaida

MAMBO YA KUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

Image
MAMBO YAKUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA WanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili upate mimba. Mayai ya mwanamke ni mojawapo ya viungo ambavyo vimeshatengenezwa kabla hata mwanamke hajazaliwa, yaani tangu akiwa tumboni mwa mama akiwa kiumbe kiitwacho kitaalamu fetus. Haya mayai yanakuwa tayari pale msichana anapopata hedhi  yake ya kuanzia akiwa na miaka kati ya 12 mpaka 14 hadi pale atakapofikia kikomo cha kupata hedhi kitaalamu huitwa menopause menstruation. Ukomo wa hedhi ni kuanzia miaka 51 mayai yake na fertility yake hupungua anavyozidi kuzeeka. Yaani katika ujana wake, akiwa na miaka kuanzia miaka 14  ni muda ambao ni rahisi kutunga mimba. Kuanzia miaka 30 had 51 uwezo huo unapungua kwa kiasi kikubwa mpaka unapoisha kabisa. Wakati kwa wanaume wao huanza kutoa mbegu pale anapobalehe na huwa hivyo hadi siku ya mwisho wa maisha yake. Hii inamaanisha kama mwanaume akiwa katika hali n

JAMBO MUHIMU LA KULIJUA UNAPOANZISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI NA MTU

Image
Na ramadhani Masenga WEWE na mpenzi wako kila mmoja ana malezi na historia yake. Kutokana na vitu hivyo, kila mmoja ana mtazamo, tabia na itikadi zake. Kutokana na utofauti huu, umakini na busara kubwa sana inahitajika ili mahusiano yenu yaweze kuwa na furaha, raha na amani. Utofauti wa tabia umefanya watu wengi watafsiriane tofauti hali inayopelekea kuachana ilhali wakiwa bado wanapendana. Kabla hujatoa hukumu yoyote kwa mwenzako, jiulize unamjua kwa kiasi gani? Familia yake unaijua kwa kiwango kipi, yeye kapata malezi ya namna gani katika familia yao? Malezi anayopata mtu yana mchango mkubwa katika tabia yake. Sasa kuna wakati anaweza kukufanyia matendo fulani, wewe ukadhani anakufanyia makusudi kumbe ni athari ya malezi aliyopata kwao. Uimara wa mahusiano unahitaji busara. Kabla ya kutoa hukumu ya haraka, inabidi umfikirie mwenzako na kutafuta njia bora ya kumbadilisha. Wapo wengine kutokana na kulelewa na wazazi wenye kupenda fujo, kujibizana hovyo na wao wamekuwa hivyo. Unaw

JE, WAJUA JINSI YA KUBAKI MREMBO MUDA WOTE??

Image
Katika Jamii nyingi duniani, dhana ya urembo imekuwa na mitazamo tofauti kwa watu wengi. Kila mmoja anautafakari urembo kwa namna yake kulingana na malezi na tamaduni za mahali husika. Wako wanaoamini kuwa mrembo ni lazima awe na ngozi nyeupe, wengine hudhani kuwa ili kuonekana mrembo, lazima uwe na nywele ndefu, lakini pia wapo wanaodhani kwamba ili uwe mrembo ni lazima uwe na umbo namba nane na wapo wanaojua urembo ni kuwa mwembamba (kimbaumbau au Miss) au kuwa mrefu na wapo wanaoamini urembo ni kuwa mnene. Hiyo yote ni mitazamo tu, lakini tafsiri halisi kutoka kwa wataalamu wa urembo ni kwamba; urembo ni hali ya kuwa na afya bora. Je, Mpenzi msomaji ulikuwa unajua hili? Nakuomba Kabla hujafanya chochote kuhusu afya yako, unatakiwa kuamini kwamba wewe ni mrembo. Ikiwa utasimama katika hilo ni kweli utakuwa mrembo siku zote. Basi ili kubaki kuwa mrembo tujifunze haya machache leo ya kufanya: 1. SAFISHA NGOZI YAKO: Hakikisha ngozi yako inakuwa safi muda wote. Unaweza kutumia njia

TABIA ZA MAHUSIANO YA MWANAMKE NA MWANAUME

Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano. Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu. Akanijibu ana mtu. Nikaheshimu maamuzi. Nikamfanya rafiki wa kawaida. Cha kushangaza, mdada anani keep in touch sana. Ananipigia simu, karibu 3 times a day, na kama mjuavyo hana cha zaidi ya kuuliza umekula, umeenda kazini n.k. tena wakati mwingine hata zaidi ya saa 5 usiku. Kwangu mimi na uzoefu wangu, vitu hivi huwa wanafanya ladies walioko kwenye mahusiano ya mapenzi. But anadai mimi ni rafiki na kaka kwake hivyo sitakiwi kabisa kumzungumzia masuala ya mapenzi. Huwa nabaki kuchekelea moyoni tu. Kingine nilichojifunza ni kwamba, yawezekana ana mtu kweli, lakini hana uhakika wa kifuatacho, hivyo anakeep in touch kote kote. Tuanzie hapo.

VIJUE VIASHIRIA VYA KUONYESHA MATATIZO YA MOYO

Image
Una umri wa zaidi ya miaka 45 unapiga hatua chache tu unahisi kuchoka haraka na kupumua kwa shida isivyo kawaida. Kiashiria kama hiki siyo chakupuuzia hata kidogo hasa kwa watu wenye miaka 45-60 kuendelea, wenye unene uliopitiliza, kisukari, kiwango kikubwa cha lehemu mbaya (cholestrol) na shinikizo la damu. Sababu kubwa ni uwezekano wa viashiria hivyo kuwa ni vya magonjwa ya moyo, ingawa mara nyingi dalili zake huwa zinajificha. Mtu hujistukia ghafla amedondoka na kupoteza fahamu bila kuwa na dalili yoyote. Magonjwa ya moyo yameshika kasi kwa sasa ni namba moja katika kusababisha vifo vya ghafla hivyo ni vizuri kujihami mapema angalau kwa kupata ufahamu wa viashiria vyake. Moja ya kiashiria muhimu vya mtu yeyote kufahamu ni kuchoka kirahisi baada ya kupiga hatua chache, hali hii huambatana na kubanwa au kukatika kwa pumzi. Mfano mzuri ni pale mtu anapopanda ngazi anaweza kuhisi kuchoka huku akitweta na kupumua kwa tabu. Uwepo wa maumivu ya kifua ni kiashiria ambacho hakiepukiki

MBINU ZA KUMFUNGA BREKI MWANAUME ANAYECHEPUKA PENZI

Image
HOFU kubwa anayoweza kuwa nayo mwanamke aliye katika ndoa, au katika uhusiano wa kudumu, ni mumewe au mpenzi wake kumsaliti kwa kutoka na mwanamke mwingine! Wengi hubaki na hofu kubwa ndani ya mioyo yao kwamba itakuwaje kama mume au mpenzi atanogewa na utamu wa penzi la mchepuko? Itakuwaje kama mume au mpenzi atasahau kila kitu kuhusu mambo yote waliyopanga pamoja? Ukizungumza na wanawake kumi ambao kweli wapo katika mapenzi ya dhati na wanaume wao, nane kati yao watakupa majibu kama hayo hapo juu. Wanaoishi na watu wasiowapenda ndiyo kundi pekee la wanawake ambao hawahofii kabisa waume zao kuchepuka. Sasa kama wanawake wengi wanahofia kuwapoteza wanaume wanaowapenda, ni wangapi wanajua wanatakiwa kufanya nini ili ndoa ziendelee kudumu, mapenzi yaendelee kuwa matamu na uaminifu uzidi kudumu katika ndoa? Utashangaa kugundua kwamba wengi hawajui nini wanatakiwa kukifanya ili waendelee kujihakikishia nafasi kwenye ndoa au uhusiano waliopo, matokeo yake wanakuwa wanabahatisha tu. Hujaw

AM SORRY!! ZINAVYOZOROTESHA MAHUSIANO

Image
K WA  wale walio katika mapenzi matamu na ya kweli watakubaliana na mimi kuwa mapenzi yenye amani na masikilizano ni kama ‘kapepo’ kadogo ndani ya ulimwengu huu mkubwa uliojaa vituko! Wakati wengine wakiishi kwa raha katika maisha yao ya kimapenzi, wapo wanaoishi na wapenzi wao huku mioyo yao ikiwa imesinyaa! Kila siku ni karaha na vituko vya makusudi kutoka kwa wapenzi wao. Kila siku ni maumivu na simanzi ya moyo isiyojulikana hatma yake. Lakini pamoja na karaha, vituko na dharau zinazofanywa na wale tuwapendao, bado kuna ambao wamejaaliwa mioyo ya uvumilivu. Hawa ni wale wanaoamini ule msemo usemao, subira yavuta heri. Yaani wanaamini ipo siku wapenzi wao watabadilika na maisha yatakuwa matamu. Ni kweli kuna wanaofanikiwa katika hili lakini wapo ambao uvumilivu wao unapitiliza. Lakini wengine ni ulimbukeni tu, yaani wao wanahisi hayo ndiyo maisha. Kutukanwa, kupigwa, kusalitiwa na kufanyiwa mambo mengine ya namna hiyo ni sehemu maisha. Yaani wanaamini si wao tu bali hata kwa we

KAMA NI MZINGUAJI KWANINI USUBIRI AKUACHE??

Image
W ATAALAM  wa masuala ya mapenzi wanaeleza kuwa, unapokuwa katika uhusiano na mtu uliyetokea kumpenda sana, usimkabidhi moyo wako wote kwanza. Chukua muda wa kumchunguza ili kubaini kama na yeye pia anakupenda kwa dhati kutoka moyoni mwake ama laa. Ukishabaini naye anakupenda, nawe mkabidhi moyo wako kisha yafurahieni maisha yenu. Lakini ukiona moyo wako unasita kuendelea kuwa na mtu huyo na kuhisi hana penzi la kweli, ni vizuri bila kujali jinsi utakavyoumia ukamuacha haraka kabla ya yeye kukuacha. Kumuacha kwako kutakufanya uwe na amani moyoni mwako kwani utakuwa umejiandaa kumkosa mwenyewe kuliko yeye kuja kukuacha ghafla, utaumia na unaweza hata kuzimia pale atakapokuambia wewe na yeye basi. Nalazimika kuandika makala haya kwa kuwa, unamkuta mtu anaumizwa kila wakati na mpenzi wake lakini kwa sababu tu anampenda, anaamua kuvumilia huku akiamini kwamba ipo siku penzi lao litatengemaa. Kimsingi hutakiwi kulilea penzi lisilokuwa na muelekeo, usikubali kulizwa, unapoona nyendo za m

SIMPLE RULES OF LOVE

Image
1. Sio Mahusiano yote huishia kwenye Ndoa. Baadhi ya Mahusiano yapo kwa sababu fulani, mengine ni ya msimu na baadhi hudumu mpaka Ndoa. Hivyo, kama mahusiano yako yamefeli, usisikitike, kulikuwa na sababu. Tambua hilo na jaribu kusonga mbele. 2. Usipende kwa Moyo wote, unavyopenda ondoka na akili yako pia. Mpende mtu uliyenae lakini jipende na wewe pia. Ujue mustakabali wako na muelekeo wa maisha yako. Usiwekeze kila kitu kwa mtu ambaye mmejuana ukubwani. Kuwa muangalifu. 3. Usivutiwe na mtu kwa fedha ama uzuri wake. Kama mtu huyo hakupendi na anazo sababu zake binafsi basi, uzuri wake au fedha zake haziwezi zikafanya mahusiano hayo yadumu. 4. Mapenzi pekee hayatoshi. Ila, maelewano, kuendana, hekima, uvumilivu na ustahimilivu ndivyo vitakavyofanya kuwe na mahusiano ama Ndoa imara. 5. Usijidanganye kwamba, inakubidi uwe na hisia za kumpenda mtu ndio umkubali au uwe nae kwenye mahusiano. Watu wengi wanafikiri wapo kwenye mahusiano yasiyofaa ama Ndoa isiyofaa kwa sababu tu hawawapend