Posts

Showing posts from March, 2019

Mwanaume Epuka Kufanya Mapenzi Katika Hali na Mazingira Haya...!!!

Image
Kumekuwa na wimbo wenye vilio kwa wanaume kuwa hawana nguvu za kiume huku wengne wakiishia kagoli kamoja. Lazima ujue kuwa ngono ni kuwa na hapetaiti au ashki ikiwa apetaiti yako ipo juu basi ni rahisi kukinahiwa haraka hivyo uangalifu unahitajika. Ashki humalizwa na mambo mbalimbali na ni vizuri kuyafahamu ili usije kumbwela juu ya kifua cha mwandani wako. Mambo ya kuepuka wakati unataka kufanya ngono; 1. Mazingira ya joto Pafomansi ya kufanyia kwenye chumba chenye joto huwa hairidhishi. Mwili huwahi kupata moto na kupoteza hamu haraka. 2. Usifanye mapenzi tumbo likiwa tupu. Kama unanjaa au unamuda mrefu tokea ule labda masaa kuanzia manne kuendelea basi usijefanya mapenzi kwani ukijitahidi utapiga vibao viwili tuu vya uchovu. Utafiti huo ni kwa hisani ya kiumeni, nikiwa yamenikuta hayo kwa zaidi ya wanawake saba tofauti tofauti nikajikuta nikiambulia fedheha. 

Penzi la House Girl Halijawahi Kumwacha Mtu salama

Image
Wakuu Hapa akili imejaa maji kabisa isijue nini cha kufanya! Baada ya wife kubadilisha hose girl siku za hivi karibuni, alifanikiwa kuleta binti toka huko iringa Huyu binti ni mrembo kwa kweli na alivyokuja jijini hapa hali yake ya maisha imebadilika kapendeza saaana yaani mwanaume lijali lazima anaswe naye tu Basi hakukaa hata mwezi akajikuta kanizoea, mi na wife tukienda kazini nawahi kurudi kabla yake hivyo muda nakuwa homu na huyo house girl, na nikafanikiwa kumpata rahisi tu mimi kama bosi wake hata sijamtongoza nikalaza mtu horizontal Kweli nimeamini penzi la house girl halimwachi mtu salama, sasa house mad huyu ananiambia anaujauzito wa mwezi mmoja siko salama wakuu, hapa hofu yangu wife akijua hili timbuli atakufa mtu! Sina namna, nakuombeni shortcut nimalizane na huyu beki tatu nibaki salama yaani iwe kimya kmya bla ya wife kujua! By Ryan Babel/JF 

Zijue njia 10 za kukufanya kuwa na furaha

Image
Kutokana na changamoto za kimazingira, kiuchumi na kijamii, watu wengi wamejikuta wakikosa furaha. Ni wazi kuwa kukosa furaha kuna madhara makubwa kwenye afya ya mwili, akili na hata katika utendaji wako wa kazi. Watu wengi hutamani kuwa na furaha lakini bado hawapati furaha; wengi hudhani kuwa na vitu kama vile pesa ndiyo chanzo cha furaha, lakini mambo hayawi kama walivyotarajia pindi wapatapo vitu hivyo. Je unahitaji kuwa na furaha ili uboreshe afya na ufanisi wa utendaji kazi wako? Karibu nikushirikishe njia 10 za kukufanya kuwa na furaha. 1. Samehe Watu wengi hukosa furaha kutokana na kubeba uchungu na maumivu yaliyotokana na watu waliowakosea. Ikiwa unataka kuwa na furaha ni muhimu kumsamehe aliyekukosea hata kama hajaomba msamaha. Kumsamehe aliyekukosea kuna manufaa kwako zaidi kuliko kwa yule aliyekukosea. Mara nyingi aliyekosea huendelea na maisha yake ya kawaida huku aliyekosewa akizidi kuumia. 2. Fanya unachokipenda “Mafanikio siyo ufunguo wa furaha. Furaha ni ufunguo wa

Zijue faida 17 kiafya za Kufanya mapenzi salama

Image
Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba wengi wetu tungependa kuwa na mwenza ambaye mnaridhishana katika tendo la ndoa. Si hivyo tu, bali tendo hili huleta maelewano katika uhusiano wowote ule. Lakini, kuna faida zozote za kiafya za kufanya tendo hili? Ndiyo! Zipo faida kadhaa zinazotokana na kujamiana. Katika makala hii, mwandishi wako Dk. Khamis Hassan anajaribu kutueleza faida za kujamiana kiafya kama ambavyo imewahi kuonekana katika tafiti kadhaa zilizofanyika sehemu mbalimbali duniani. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo: Wanawake ambao hufika kilele (orgasm) angalau mara mbili kwa wiki kila wanapojamiana, wana uwezekano mdogo sana (30% tu) wa kupata maradhi ya moyo tofauti na wale wasiofikia kilele. Hii ni kwa vile homoni ya endorphin inayotolewa wakati wa kujamiana hupunguza msongo wa mawazo na hivyo kumuepusha mtu na magonjwa wa moyo. Aidha kujamiana angalau mara tatu kwa wiki, husaidia kupu

Wanaume Tuache Ubahili Tuwatunze Wapenzi Wetu

Image
Kwanza nianze kwa kukili kua maisha ni magumu sana nadhani kila mtu anajua. Na katika mahusiano ya mapenzi kati ya me na ke lazima kunakua na tofauti ya kipato, yaani Mara nyingi wanaume wanakua na hali mzur kimapato kuliko mwanamke. Nieleweke vizur kua si maanishi kua wanawake wote wanakipato duni LA hasha. Ningependa kuwashauri wale wenye wapenzi wa kike mambo haya yafuatayo:- Ujue tofauti ya kuchunwa na kuhudumia unapokua na mpenzi ujue ni jukumu lako kumpendezesha anapopendeza watu watajua we ndio kidume uliemwezesha.Sio mpaka akuombe ndio umpe. jaribu kumfaam hali ya maisha na kipato chake ujue kukisia cha kumpa kwa matumizi yake.Usiulize ya nini,ikitokea mpz amekuomba HELA usiulize ya nn ye ni MTU mzima awezi kukuomba HELA akaenda kuchambia.Kutumia pesa nyingi sehemu ya starehe.Kuna watu wanaenda mpaka hotel ya nyota 5 kustarehe akitumia zaidi ya laki tano.cha ajabu baada ya kutoka hotel anamwacha mpenzi wake 10000 ya nauli, Huu ni ujinga bora ungeenda ata lodge ya nafuu ye