Posts

Showing posts from May, 2020

FAIDA ZA KULA NAZI NA MIHOGO MIBICHI KWA WANAUME

Image
NI muujiza! Pengine hivyo ndivyo yeyote anaweza kusema pindi akisikia kwa mara ya kwanza juu ya namna mihogo mibichi na nazi kavu maarufu kama mbata vinavyoweza kuwasaidia watu kiafya, na hasa wanaume. Uchunguzi uliofanywa kwa siku kadhaa ukihusisha mahojiano na baadhi ya madaktari na pia maandiko yatokanayo na tafiti mbalimbali, umebaini kuwa mihogo na nazi mbata ambavyo huuzwa kwa wingi na kina mama jijini Dar es Salaam, vina uwezo mkubwa wa kurejesha heshima kwa kina baba mbele ya wenzi wao kwa kuimarisha uwezo wa kushiriki tendo la ndoa. Kwa mujibu wa uchunguzi huo, imebainika kuwa uwezo wa mihogo na nazi mbata katika kuwasaidia wanaume kwenye ushiriki wa tendo la ndoa hutokana na wingi wa virutubisho vilivyomo, hasa madini ya Zinc na Potassium (kwenye mihogo mibichi) na kiambata cha selenium kinachopatikana kwenye nazi mbata. “Vyakula hivi vina maajabu makubwa kwa afya ya kina baba… vinapoliwa kila mara na tena kwa kuzingatia usafi, huwasaidia wengi katika kuimarisha nguvu

KUONGEZA MAKALIO NI HATARI ISIYOZUNGUMZIWA

Image
Mwanamke wa miaka mitatu amefariki baada ya kuripotiwa kuelekea Uturuki kwa aina ya upasuaji kwa jina Brazilian Butt Lift [uongezaji wa makalio}. Ni kwa nini upasuaji huu ni maarufu mbali na kwamba ni hatari kufanyiwa upasuaji huo ughaibuni. Leah Cambridge kutoka Leeds alipatikana na mishtuko mitatu ya moyo baada ya kudungwa sindano ya ganzi katika kliniki moja katika mji wa Izmir, mwenzake Scott Franks aliambia gazeti la the sun. Anaeleweka kufanyiwa BBL ama upasuaji wa kuongeza makalio ambapo mafuta kutoka katika tumbo hutiwa katika makalio. 'Mrembo huyo alikubali kufanya upasuaji ughaibuni ambapo ni bei nafuu ikilinganishwa na Uingereza baada ya kukerwa na mafuta mengi katika sehemu yake ya tumbo baada ya kupata watoto', alisema bwana Frank. Majirani wake wamemtaja kuwa mtu anayevutia, wakiongezea kuwa wanaamini alielekea kufanyiwa upasuaji huo mwezi uliopita bila kumshauri mpenziwe. Na bi Cambridge sio mwanamke wa kwanza Muingereza ambaye hamu yake ya kuwa na makali

NJIA RAHISI YA KUUTEKA MOYO WA MWANAMKE BILA GHARAMA YOYOTE

Image
Mawasiliano mazuri kati ya mke na mme ni muhimu sana kwa ajili ya ustawi wa mahusiano ya wawili wapendanao. Inasemwa kuwa kuvunjika kwa mawasiliano pekee katika mahusiano kunasababisha mifarakano au kuvunjika kwa mahusaiano kati ya mke na mme kuliko sababu nyingine. Wataalamu wa mapenzi na hisia za binadamu wanaeleza kuwa wanawake wanaguswa sana kwa maneno kuliko vitendo. Sauti na maneno mazuri ni vitu ambvyo vinawafanya wawe katika wakati mzuri sana kihisia. Wanaume wao wamefahamika kuwa wanavutwa zaidi kwa kuona kuliko kusikia. Kwa msingi huu basi ni muhimu sana kwa wanaume walio katika mahusiano ya mapenzi kufahamu siri hii juu ya wenza wao wanawake. Ukitaka kuifanya siku ya mpenzi wako nzuri basi zingatia maneno yako na sauti yako iwe katika kiwango kinachofaa. Yafuatayo ni maneno manne muhimu kuyasema kila siku kwa mkeo na yataleta mabadiliko makubwa katika mahusiano yenu. Maneno haya yanalainisha moyo,yanajenga uaminifu,yanazidisha upendo,yanaponya majeraha ya mapenzi na

ZIFAHAMU FAIDA ZA KULA NDIZI KWA WANAUME WALIO KWENYE NDOA

Image
Ndizi ni tunda linalopendwa na watu wengi sana kwenye jamii ya watanzania lakini je unajua ndizi zinaweza kukusaidia mwanaume kwenye shughuli za ndoa na kutimiza majukumu yako ya uwamaume vizuri kwa mke wako au mwenzi wako leo tutazame faida tatu za ndizi kwa wamaume kwenye sehemu ya mahusiano 1.Ndizi Ni Chanzo Kikubwa Cha Nguvu Mwilini Ndizi mbivu zina kiwango kizuri cha Glucose ambayo huingia kwenye damu moja kwa moja na kuleta msisimuko na kuongeza utendaji wa kazi wa mwilini si unasikia wachezaji wanaambiwa wabugie Glucose kwenye kipindi cha mapunziko sasa ndizi ni glucose salama zaidi tena sio glucose pekee na faida zingine kibao 2.Ndizi ina madini kiasi kikubwa ya Potassium  siku kuwa ukiwa na kisukari (BP) uwezo wako wa kucheza mechi kitandani unakuwa mdogo basi ndizi ina madini ya potassium ambayo yanasaidia kurekebisha kiwango cha sukari mwilini ndugu yangu kama ukila ndizi mbivu mbili kwa siku unadhani hiyo sukari inashushwa kiasi gani Stuka bwana

JINSI YA KUMTONGOZA MSICHANA ULIYEMPENDA KWA MARA YA KWANZA

Image
Kuongea na mwanamke kwa mara ya kwanza ni rahisi. Unachohitaji ni mambo matatu tu. Kwanza ni kujiamini, pili ni kuwa na mistari, tatu nikufunga mchezo. Huu ndio mfumo ambao marafiki zako wengi wangeweza kukuambia pindi ambapo utawauliza jinsi ya kuongea na mwanamke. Hapa tunaamini kuwa kuongea na mwanamke kuna hatua na mchakato ambao unauhitaji kuufuata bila kuruka hatua hata moja. Lengo letu ni kuhakikisha ya kuwa hakuna hatua itakupita. Tutakupatia zana zote ambazo unahitaji kuzifahamu ambazo zinahusiana na wanawake. Ok, je wazifahamu njia ya kutumia hadi uanze kuongea na mwanamke? Zama nasi; Angalia usafi wako. Kabla hujachukua hatua yeyote ya kuongea na mwanamke hakikisha kuwa uko nadhifu. Kwanza piga mswaki, valia nguo safi na pia ukiwa na marashi jipulize. Hii itakusaidia kwa kuwa ukiwa mchafu basi hakuna mwanamke yeyote atakubali kuongea nawe. Pia hakikisha unapoamua kumuapproach unaangalia nguo ulizovalia. Je, nguo umevalia kinamna gani. Huwezi kuapproach mwanamke uonge

Wanawake Tuache Tabia ya Kuwaachia kila kazi Wafanyakazi wa Ndani..Mtasaidiwa Mpaka Kitandani..Soma Kisa Hichi

Image
MUME: Darling nina kikao mkoani kesho naomba niandalie vitu please. MKE: Dada zile nguo za baba pamoja na soksi ulifua. DADA:Ndio nimepanga kabatini. mama anarudi chumbani na kumuomba hubby wakacheki TV sebulen, lakini baada ya muda mama anamuita dada akapange suruali kadhaa na mashati kwa ajili ya safari ya kesho, dada anapanga kila kitu anatoka MKE: Kama tayari hakikisha unarekebisha yale mashuka pale kitandan weka na maji bafuni, dada anafanya na kwenda zake kulala, asubuhi dada anaamka mapema na kuandaa kila kitu ikiwamo na chai, baba anakunywa chai na kutaka kuondoka. MKE: Dada msindikize baba ili ufunge geti sbb bado ni giza. DADA: Sawa mama, dada anatoka na begi la baba hadi nje kwavile mkewe yupo ndani , baba anamtaka dada abaki vizuri na watoto, dada anaitika na kusema nawao wanamuombea safari njema. Baada ya muda baba anarudi toka safari MKE: Huku akitabasamu, dada si umemuona baba amerudi vipi chakula tayari. DADA: Ndio. MKE: Haya kapange meza vizuri mimi nandaa juic

JINSI YA KUMFANYA MUMEO AWAHI KURUDI NYUMBANI

Image
Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi ya mapenzi ? Baada ya maswali hayo naomba ufahamu kwamba mapenzi yoyote yale lengo lake kubwa ni kuleta utulivu na kuhurumiana. Je ndoa yako inakupa utulivu na mnahurumiana?, kama mnahurumiana iweje Mumeo achelewe kurudi nyumbani huku akijua fika kwamba wewe Mkewe hupendi achelewe kurudi nyumbani na kuchelewa kwake kunakuondolea utulivu ?. Hatua Zifuatazo zitakusaidia kumrejesha Mumeo nyumbani mapema: Je wewe sio chanzo cha Mumeo kuchelewa kurudi nyumbani? Na kama wewe unachangia kwa namna yeyote ile basi rekebisha yale asiyoyapenda Mumeo na hapo utakuwa umemaliza tatizo.  Pambana na tatizo na