TABIA ZA MAHUSIANO YA MWANAMKE NA MWANAUME

Wadau naomba tuzijadili kwa kina tabia za wanawake na wanaume katika mahusiano.

Kwa kuanza, kuna mdada mmoja tulikutana tukawa tunawasiliana. Baadae nikaona nimwambie haja ya moyo wangu. Akanijibu ana mtu. Nikaheshimu maamuzi. Nikamfanya rafiki wa kawaida.

Cha kushangaza, mdada anani keep in touch sana. Ananipigia simu, karibu 3 times a day, na kama mjuavyo hana cha zaidi ya kuuliza umekula, umeenda kazini n.k. tena wakati mwingine hata zaidi ya saa 5 usiku.

Kwangu mimi na uzoefu wangu, vitu hivi huwa wanafanya ladies walioko kwenye mahusiano ya mapenzi. But anadai mimi ni rafiki na kaka kwake hivyo sitakiwi kabisa kumzungumzia masuala ya mapenzi. Huwa nabaki kuchekelea moyoni tu.

Kingine nilichojifunza ni kwamba, yawezekana ana mtu kweli, lakini hana uhakika wa kifuatacho, hivyo anakeep in touch kote kote.

Tuanzie hapo.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AKOJOE HARAKA WAKATI WA TENDO

JINSI YA KUMKOJOLESHA MWANAMKE KWA HARAKA

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE ASIKUSAHAU KATIKA TENDO LA NDOA