Posts

Showing posts from August, 2019

USHAURI: NIMESHIKA SIMU YA MPENZI WANGU, SINA HAMU

Image
Mimi ni kijana umri miaka 26 mchumba wangu anafanya kazi katika kampuni moja hivi ya binafsi ,japo hatujaoana lakin tuna kawaida ya kutembeleana mara kwa mara,yeye anaishi Kinondoni Mkwajuni mimi naishi Ubungo Riverside, Weekend hii nilienda kumtembelea akanipa simu yake nimwekee vocha nikiwa naweka vocha nikashangaa sms inaingia "honey uko wapi". Sikumwambia chochote na wala sikuifingua iyo sms ila niliweza kuisoma coz simu yake ni smartphone aina ya Sony yaan sms ikitumwa uwa inapita kwa juu unaweza kuisoma yote. Niliamua kufungua whatsApp yake nikaanza kupitia baadhi ya chatting zake cha ajabu nikakutana na chatting moja amechat na mwanaume nilijua ni mwanaume coz niliangalia profile picture yake na sms zao zilinitsha sana jamaa kuna sms anasema " Juzi nilifurah mno nilipokuingizia nyuma" halafu mchumba wangu alisms akajibu". Mwenzio sijazoea nyuma". Kuna sms nyingine jamaa alituma akisema " Mwezi wa 6 inabd nikutie mimba".Daah niliishiwa

JIHADHARI NA MAADUI WA PENZI LAKO

Image
N I  Ijumaa nyingine murua. Siyo mbaya kwa wanajamvi hili, ndugu, jamaa na marafiki kushirikiana katika mapenzi kama vile wakati wa sherehe au msiba. Pia siyo mbaya kujuliana hali na kutambulishana mambo ya msingi yanayoendelea kwenye uhusiano wako na mpenzi wako. Hata hivyo, kuna wakati watu wengine wa pembeni, wawe majirani, ndugu, wazazi au marafiki wanaweza kuwa sumu ya uhusiano wako, hasa pale unapowategemea sana kutoa msaada, maoni au maelekezo katika maisha yako ya kimapenzi. Kuna mambo ya msingi unayoweza kufanya ili kupunguza uwezekano wa rafiki, ndugu, jamaa au wazazi kuwa kuvuruga penzi lako. Kwanza kabisa ni kujitahidi kudhibiti taarifa zenu kwenda kwa wengine; kadiri unavyoelezea uhusiano wako kwa watu wengine ndivyo unavyowapa nafasi watu kutoa maoni na hata kudhani kuwa wana dhamana ya kukuelekeza unavyotakiwa kuishi na mwenza wako. Katika eneo hili, chukua muda wa kutosha kutafakari na kufanya uchunguzi kuhusu masuala yako ya uhusiano kabla hujaanza kutafuta maoni

MAMBO YA KUFANYA MPENZI WAKO AKIKUFANYIA KISIRANI

Image
KWA watu waliopo katika uhusiano wa kudumu, watakubaliana na mimi kwamba kuna wakati huwa inatokea mwenzi wako anaamua tu kukufanyia kisirani, na hii inawahusu zaidi wanawake, hataki kuzungumza chochote na wewe. Kila unachomuuliza anakujibu kwa mkato kisha anaendelea na mambo yake, hataki kushirikiana chochote na wewe na hata haki yako ya msingi huipati! Wengine huweza kudumu kwenye hali hii kwa muda mrefu na kama usipokuwa makini, hii inaweza kuwa sababu itakayowaingiza kwenye matatizo makubwa zaidi. Bahati mbaya ni kwamba ni wanaume wachache sana wanaoelewa nini cha kufanya inapotokea mwanamke unayeishi naye, au unayempenda sana anakubadilikia kiasi hiki. Yaani unamuona kabisa hayupo sawa, hakuchangamkii, hataki kuzungumza na wewe lakini unapomuuliza kama ana tatizo lolote, anakujibu kwamba hakuna tatizo lolote na yupo sawa. Wengine hudhani kwamba mwanamke husika ameanza dharau, amepata wanaume wanaompa jeuri au hampendi tena! Kama nilivyosema, ukishindwa kujua hali yake imesabab

USIKURUPUKIE NDOA, ZINGATIA HAYA KWANZA

Image
TUNAENDELEA na mada tuliyoianza wiki iliyopita. Narudia tena kukusisitiza kwamba suala la kuingia kwenye ndoa halipaswi kufanywa kiwepesiwepesi kwa sababu ukikosea mtu wa kuingia naye kwenye ndoa, maana yake ni kwamba umeyakosea maisha yote. Kama tulivyojadiliana wiki iliyopita, unapofikia muda ambao sasa umri wako unakuruhusu kuingia kwenye ndoa, mambo ya msingi ya kuzingatia ni lazima uhakikishe huyo unayetaka kuingia naye kwenye ndoa unamfahamu vizuri. Usidanganywe na sifa za nje kama ambavyo watu wengi huwa wanadanganyika na baadaye wanaishia kulia kilio cha kusaga meno! Ukifuatilia kwa kina chanzo cha ndoa nyingi kuvunjika muda mfupi baada ya kufungwa, ni kwamba watu wengi wanaingia kwenye ndoa wakiwa hawafahamiani vizuri. Unaingia kwenye ndoa ukiwa na matarajio makubwa kwa mwenzi wako kuliko hata uhalisia wenyewe, matokeo yake mkishaanza maisha unaona kumbe kile ulichodhani ni almasi kumbe ni kipande cha chupa, ugomvi unaanza. Uzuri wa nje, kama mwanaume mwenye mvuto, mweny

TOSHEKA NA ULIYEKUWA NAE, FANYA HIVI AKUAMINI

Image
M PENZI  msomaji wangu, unapoingia katika uhusiano wa kimapenzi na mtu uliyetokea kumpenda sana, awali ya yote unatakiwa kumthibitishia kwamba unampenda kwa dhati, unamuamini, unamheshimu na kumjali.  Weka akilini mwako kwamba, umebahatika kumpata mpenzi ambaye haitatokea siku akaja kukuumiza kwa kukusaliti licha ya kwamba kinyume chake pia yaweza kuwa sawa. Hiyo itakusaidia kuendelea kuishi maisha ya furaha na amani huku ukizidi kulifanya penzi lako kuwa bora kadiri siku zinavyosogea. Katika kuonesha kwamba una kila sababu ya kujenga mazingira ya kumuamini mwenza wako na unaweza kufanya hivyo, hebu jiulize ni wanaume wangapi ambao wake au wapenzi wao wanagawa uroda nje ya ndoa lakini wao hawajui na wanawaamini kupita maelezo? Ni wanawake wangapi ambao waume zao ni viwembe ile mbaya lakini wake zao wanawaamini kupindukia na maisha yao yanakwenda sawia? Unadhani ni kwa nini? Hii ni kwa sababu kila mmoja amejenga hali ya kumuamini mwenza wake. Tutambue tu kwamba, katika maisha ya ki

WASICHANA MSIMUIGE HUYU BINTI, MTAUMIA

Image
Nilisoma naye chuo kimoja ( jina kapuni ), rafiki yangu alimpenda sana huyu msichana, but she was pretending to be in love with another man ( ambaye kwa mujibu wa taarifa za uhakika kutoka kwa watu wa karibu na huyu binti, walisha mwagana tangu enzi za pontio wa pilato and its like he was not existing ). Jamaa kwa kuwa alikuwa anamfeel huyu binti alienda naye hivyo hivyo kama mshika mapembe hadi tukamaliza chuo mwaka 2008. Binti alikuwa anampeleka sana jamaa, madesa yote yalikuwa ni wajibu wa jamaa, achilia mbali ishu za kumfanyia takehome tests and all that... Tumemaliza chuo, binti yupo mjini na jamaa yupo mjini but msimamo wa binti ulikuwa vilevile kwamba ana mtu wake toka zamani na wana mipango ya kufunga ndoa, jamaa kapiga sana simu katuma sana meseji hadi akachoka. Mwaka huo huo (2008) jamaa akapata FULLBRIGHT SCHOLARSHIP, akiwa marekani akatokea kupendana na dada mmoja chotara wa kizungu, wamefunga ndoa na sasa hivi wana mtoto mmoja. Kwa sasa jamaa ana fanya PHD kwenye chuo

ALIYEKUTOA BIKRA NDIYE ALIYECHEZEA USICHANA WAKO

Image
Wanawake sikilizeni kuna kitabia mnacho ambacho binafsi huwa kinatukera sana sisi wanaume. Wanawake nataka niwambie ukweli utakuta mmekwaruzana na demu/mpenzi wako afu anakwambia "NILIJUA TU UTAKUJA KUNIACHA NA KUCHEZEA USICHANA WANGU" Kina dada Aliyekuharibia usichana wako ni Mwanaume aliyekutoa BIKRA kisha akauacha huyo ndo mpe hzo lawama me niliyekukuta huna Bikra usinipe hzo lawama hta kama nakuacha kiroho safi kuwa Mpole, mpe hzo lawama aliyekutoa bikra akauacha. Sijakukuta na Bikra afu useme nmechezea Ubinti wako shenzi kabisa. Wanaume ukiona mwanamke anakwambia hvo, Mwambie aliyeharibu usichana wako aliyekutoa bikra akauacha me hata..

FAHAMU MAMBO 6 YANAYOWEZA KUKUFANYA KUKIMBIWA NA WANAWAKE

Image
1. Wakikosa attention yako. Wasichana hupenda pale wanapofahamu kuwa unawasikiliza na unafahamu nini wao wanahitaji. Kama kutakosekana mawasiliano mazuri na atagundua hilo atauona uhusiano huo haumtimilizii haja zake. Hata kama kila kitu kinaenda sawa. Msikilize anapoongea. Kama akiona hapati penzi analolihitaji atatafuta mwingine ambaye yupo tayari kumtimizia. 2. Kumuheshimu. Msichana huwa anajitoa sana awapo katika mahusiano hivyo anategemea mvulana uheshimu hata kwa chochote kidogo anachokufanyia. Mfanye agundue kuwa umeheshimu kile ambacho amekufanyia. 3. Usaliti. Unaposaliti inamaanisha kuna kitu hakipo sawa katika mahusiano yako hata kama una uwezo wa kushughulikia lakini wewe unaona njia sahihi ni kutoka nje kuwa na mahusiano na msichana mwingine ukidhani ndio unarekebisha. Pale msichana wako akikukamata unamsaliti fahamu hawezi kuvumilia naye atakuacha. 4. Ukosefu wa hisia za kimapenzi. Msichana hupenda kuona kuwa wanapendwa wanathaminwa na wapenzi wao wanawajali sasa waki

HIZI HAPA AINA 4 ZA WANAEAKE MICHEPUKO

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

DALILI 7 ZA MWANAUME ANAEKUPENDA

Image
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu. 3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume! 4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu! 5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana. 6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda! 7. Anazungumzia f

MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI, KIMBIAA

Image
Unapokuwa unamtaka mwanamke kuwa makini na majibu anayokupa tena umsikilize kwa umakini na kuyafanyia kazi. Mwanaume unapotaka kuingia katika mahusiano na mwanamke lengo ni kutaka kuwa na mtu sahihi ambaye mtaelewana hasa hasa katika tabia. Muogope mwanamke ambaye unamtongoza anakuambia anaogopa sana wanaume.ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati wewe si bikra  atakujibu nimeshatendwa sana. Ndugu yangu nakushauri kama ukijibiwa hivyo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa, kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume. Mwanamke huyo ana mapungufu ambayo hata wewe hutaweza kuvumilia, mapungufu ambayo hata wewe utamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume waliomtenda. Ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivyo au wanaotendwa hivyo unakuta  hawajatulia kabisa. Hivyo ni vizuri ukaamua kumuacha kuliko kuwa naye kwenye mahusiano kwani hautaweza kumbadili tabia yake sana sana unakwenda kumuongez

DALILI 7 ZA KUONYESHA ANAKU CHEAT NA MWINGINE

Image
Katika mahusiano huwa kuna changamoto tofauti tofauti. Kwa kawaida ni muhali kupata mahusiano ambayo hayana patashuka moja au nyingine. Inajulikana ya kuwa mahusiano huwa kuna migogoro, kutoelewana, kunyamaziana na mbaya zaidi...vita. Anyway mambo kama haya huwezi kuyazuia kwa sababu wenyewe ndio wanayaita mapenzi. Utaskia mtu akilalamika kuwa amemiss kugombana ama kuteteshana na mpenzi wake, jambo ambalo huwa ni la kawaida. Ok. tukija katika mada yetu ni kuwa nataka nikuulize maswali yafuatayo. Je hivi karibuni umeona kama mpenzi wako amekuwa mtu tofauti na ilivyo kawaida? Je mpenzi wako imekuwa muda mrefu tangu mfanye mambo yenu ya kawaida ambayo mlikuwa mkifanya? Je unamshuku kama amepata mwingine? Kama majibu yako ni NDIO basi hili chapisho nimeliandika spesheli kwako na nataka umakinike kwa kusoma dalili zetu tulizoziandika na kama yote yanawiana na dhana yako basi ni wakati wa kumfungukia mpenzi wako na umwambie kweupe kuwa umechoshwa na tabia yake ya 'kutoka nje', n

RAFIKI YANGU AMENIOMBA NILALE NA MUME WAKE, NIWAZALIE MTOTO

Image
Nina rafiki yangu lakini tunaishi nchi tofauti tunakutana mara 3-5 kwa mwaka hua mie nikienda nchi anayoishi anakuja kunitembelea na yeye akija ninakoishi anafikia kwangu.Yeye hajabahatika kupata mtoto mwaka wa 5 sasa tangu ameolewa, jana wakati tuna kula akaniomba tuonge kitu muhimu baada ya chakula, nikamwambia inshallah tutaongea. Basi baada ya chakula na mambo mengine nikaenda kuwalaza watoto nikaenda chumbani kwake haya nimekuja tuongee, basi akanambia kama unavyojua sina mtoto na nimejaribu dawa zote unazozijua za kizungu na miti shamba sijafanikiwa kupata ujauzito sasa tumeshauriyana na mume wangu nikamwambia changua rafiki yangu yoyote mimi nitaongea nae ili atupatie mtoto. Mie macho niliyatoa nakutetemeka juu, nikamwambia sijafahamu unamaanisha nini ukisema rafiki yako akupe mtoto je unataka nikupe mwanangu ule au vipi? Kasema NO nataka ulale na mumewangu nilimshangaa lakini sikutaka ahisi vibaya ilibidi nijikaze nikamwambia na ilikuwaje nikawa mie? Kasema ndani ya moyo w

WANAWAKE ACHENI KUKAGUA SIMU ZA WAPENZI WENU, MTAJIPA MAGONJWA YA MOYO BURE

Image
Habari wa ya muda huu wasomaji wetu karibu kwenye ukurasa wetu wa mahusiano. Leo nina jambo moja ambalo nataka kuwaeleza wanawake wenzangu hasa katika kipengele cha kukagua simu ya mpenzi wako au mumeo. Nakushauri usiwe mwepesi sana wa kukagua simu ya mumeo mara kwa mara kwani haiwezi kukusaidia lolote sana sana inaweza kuhatarisha mahusiano yenu na kujikuta mkaachana. Mahusiano mengi yamekuwa yakivunjika kutokana na masuala ya simu. Kama hujawaji kuipekua simu ya mpenzi basi nakushauri uache kufanya hivyo. Kama wewe kazi yako kila uionapo simu na kuanza kupekua nakushauri uache kufanya hivyo mara moja. Unaweza kuigusa lakini usiangaike na yaliyomo katika simu. Wapo wengine hadi wakiona namba inapigwa mara kwa mara anaichukua na kuipiga. Hilo sio sahihi yupo aliyefanya hivyo katuma message katika hiyo simu na kuanza kumtukana kumbe ni bosi wa mumewe. Pia huwezi kukua mawasiliano yote anayofanya mumeo wengine labda ni wateja wake sasa ukifuatilia sana utamkosesha hata mawasilia

ZIJUE SIFA ZA MPENZI BORA KATIKA MAHUSIANO

Image
Vijana wengi ambao wanapendana leo mapenzi yao hayadumu kiasi cha kubatizwa jina la utamu wa bazoka. Lakini yote hii inatokana na ukweli kwamba elimu ya mapenzi ambayo ni muhimu kwa binadamu haitolewi ipasavyo. Ipo zana potofu kwamba kumfundisha mtoto mapenzi ni kumharibu, jambo ambalo si kweli bali inategemea mtoto huyo anafundishwa nini na kwa wakati gani. Lakini cha kushangaza zaidi hata watu wazima ambao ni wadau wa mapenzi hawayajui, matokeo yake wanajiingiza kwenye uhusiano wakiwa bumbumbu na hivyo kuteshwa na changamoto zinazowakabili. Leo tutajifunza kwa undani sifa  za mpenzi bora ili tuweze kuwatambua wapenzi wetu kabla ya kuwapa mioyo na utu wetu. Sifa hizo ni hizi zifuatazo; 1. Mpenzi bora ni yule ambaye hatangoja kujua nini unahitaji yaani hana sababu ya kusubiri kuombwa ndiyo atoe msaada. 2. Ni yule atakayejua wakati gani huna furaha au una furaha na atakuwa na wewe kwa hali zote mbili . 3. Ni yule atayekuwa tayari kukusikiliza kwa kile utakachosema, hatojali umeon

RAHA YA MAPENZI KUDAMKA

Image
H AYA  tena shoga yangu, kujifanya kuvamia sherehe za watu na dera la msiba kimbelembele hadi wka bi harusi inahu? Hivi jamani kwani lazima kila koki ni ya kufungua?  Na utajiuliza sana hiyo kudamka veeepe! Shoga kama ulizoea kujiwekea kucha za bandia wakati unajua kuna kufua mbona utachuuuna! Vijana wa leo wanakwambia hata lori la mkaa nalo ni la kuogopwa! Heee heeeiyaaaa! Leo nimekuja na kitu cha moto mashosti zangu chenye lengo la kuwaunguza wanaolea tabia ya uvivu wa kudamka kitandani, wakimuacha mume akiamka na kujiandalia kila kitu. Najua imeanza kukuingia akilini! Hivi nikuulize shoga, huoni aibu mume kukuacha kitandani kisha akajihudumia kila kitu mwenyewe wakati wewe ni mzima na huna tatizo lolote? Wanawake wa siku hizi ndoa zinatushinda kwa sababu tunapenda kushindana na wanaume, eti akikwambia mke wangu kaniwekee maji ya kuoga, unamwambia umechoka, jana umelala saa sita, hivi unadhani ni sawa shosti? Nakukumbusha, kitanda ulikiacha kwenu na kama unaweza kuiheshimu ofisi

NJIA SAHIHI YA KUDUMISHA MAHUSIANO YA KIMAPENZI YA MBALI

Image
Ni sehemu ndogo sana ya wapenzi wanaoishi mbalimbali ambao hudumu katika uhusiano wao kwa muda mrefu. Hiki kinaonekana kuwa ni kitendawili kigumu sana kwa wapenzi wengi kuvumiliana kwenye uhusiano bila kusalitiana. Ninapozungumzia umbali namaanisha wilaya na wilaya, wilaya na mkoa au mkoa na mkoa au nchi na nchi au bara na bara. Ninaamini miongoni mwetu ama tumeshuhudia au kusikia au kuona au kuadithiwa kuwa kuna mwanaume au mwanamke ambaye alikuwa na mpenzi, mara mpenzi wake akapata nafasi ya kwenda kusoma mkoa mwingine au nchi nyingine lakini mwisho wa siku ukasikia wapenzi wale wamemwagana baada ya mmoja kupata mpenzi mwingine huko aliko. Inawezekana mpenzi wako alihamishwa kikazi nje ya wilaya uliyopo lakini mwisho wa siku ukabaini kuwa mwenzio amepata mtu mwingine na mapenzi kwako yameanza kupungua au yamepungua kama siyo kwisha kabisa. Najua wengi huwa mnajiuliza ni nini huwa kinachangia? Zifuatazo ni baadhi ya sababu; Uaminifu Kutokuwa na uaminifu miongoni mwenu, kama wa

MAKOSA WANAYOFANYA WANAUME WENGI WAKATI WA KUTONGOZA

Image
Kutongoza kuna kanuni zake kama ilivyo kanuni za kufanya hesabu, maana usipokuwa makini kujua kanuni za kufanya  hesabu ni lazima tu hesabu hiyo utakosa. Hivyo hivyo hata katika mapenzi kama hujui namna ya  sahihi ya kumtongoza mwanamke ni lazima mwanamke huyo utamkosa tu. Yafutayo ndiyo makosa yanayofanya na wanaume wengi wakati wa kutongoza. Kuwa na papara. wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu. mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake. Mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata kwa sababu atakufikiria sana juu ya uharaka wako. Kuonyesha maisha yasiyo ya uhalisia. wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu. Unaaproach jaribu kuwa real. huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki  wakati si kweli. Kutokusoma Mood ya mwanamke. unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwa

MANENO YA KUMFURAHISHA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO

Image
Wakati vijana wengine wanalalamika kuwa ni vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi kwa sababu hawatumii maneno sahihi. watu wengi pia huwa hawana maneno ya kusema na wengine hawajui kabisaaa hata jinsi ya kuanza. Sasa hebu tujifunze haya maneno ya kumwambia msichana unaempenda na unahitaji awe wako milele. 1. Macho yako ni mazuri , yananifanya nipotelee kwako kila nikiyatizama. 2. Unanifanya niwe mwanaume bora , kwa hio nastahili mapenzi yako. 3. Tumbo langu hutetemeka unapoleta mikono yako usoni pangu. 4. Wewe ni mzuri na ni mrembo naogopa hata kukugusa naona kama nitakuchafua. 5. Unapotabasamu huzuni kwangu hupotea , ghafla nakuwa mtu wa furaha. 6. Ungeweza kupata mwanaume yeyote duniani , lakini umenichagua mimi. 7. Hapana.wewe sio mnene uko poa na ndivyo nipendavyo. 8. Ninapokushika nashisi kulegea kwenye magoti. 9. Wewe ni rafiki yangu, najifunza vitu vingi kwako,ndiye mtu ambae nimekuchagua, ndio mpenzi wa maisha yangu. ni wangu pekee, wewe ndio kila kitu kwan

UKIMPATA MCHUMBA MWENYE SIFA HIZI USIMWACHE AENDE

Image
Mahusiano yoyote mazuri yanatengenezwa. Yana hatua za kupita. Hauamki tu asubuhi ukawa na uhusiano mzuri, ni lazima ukubali kujifunza na kufanya maamuzi sahihi ili uweze kufikia malengo yako katika muda muafaka. Wengi wamejikuta wakipoteza muda kwa kushindwa kufanya maamuzi sahihi. Wamejikuta wakiingia kwenye uhusiano bila kujua wanataka nini na matokeo yake kujikuta wakipoteza muda na uhusiano wao unakuwa hauna malengo. Tunafahamu kwa pamoja kwamba, ili ufikie kwenye hatua ya ndoa ni lazima upitie hatua mbalimbali. Urafiki, uchumba na hatimaye muingie kwenye hatua ya ndoa. Ukikosea kwenye moja ya hatua hizo lazima upate madhara mbele ya safari. Mchumba mzuri ana sifa gani? Utamjuaje? Hili ndiyo darasa la leo na hapa chini utakwenda kupata elimu, twende sambamba. Mchumba mzuri ni yule ambaye tangu awali anaonesha kujitambua, anajua nini anapaswa kufanya kwa wakati muafaka. Aina au mfumo wa maisha yake unauona kabisa tangu mwanzoni kwamba huyu amekomaa kiakili, anayatamani maisha ya

MAMBO AMBAYO WANAUME HUPENDA KUFANYIWA KATIKA MAHUSIANO

Image
Kwenye suala la mahusiano ya kimapenzi kuna mambo mengi ambayo yanaweza kuimarisha penzi na kulipa mizizi imara ili kuweza kudumu zaidi kama wapenzi watakuwa na nia moja. Leo tuangalie mambo  ambayo mwanaume hupenda kusikia toka kwa mpenzi wake. 1.  Kukosolewa  Wanaume wanaweza kujikweza sana lakini daima hawachukii kurekebishwa. Wanachojali zaidi ni jinsi gani au njia gani imetumika kuwarekebisha. Mwanaume akikosea, anataka mpenzi wake amkosea lakini kwa mapenzi, sio kwa mikwaruzano au dharau au mbele ya kadamnasi. Mrekebishe au mkemee faragha, toa maoni yako na wala usimlazimishe, itamfanya aone unajali na unataka kumjenga. 2.  Kujali  Wanawake wengi hutaka wao tu ndio waulizwe kuhusu jinsi siku zao zilivyoenda kila siku, wanasahau kabisa hata wanaume nao walikua kwenye mihangaiko. Mzoeshe kumuuliza mpenzi wako siku yake ilikuwaje? utaona hata nuru ya mapenzi yenu itang’aa na mtakua marafiki, japo mwanzoni atakua hakuambii kila kitu lakini baada ya muda atazoea. Kila mtu anata

RAHA YA PENZI UJUE KUWAHI KUAMKA NA KUMUANDAA MWENZI WAKO

Image
Karibuni kwenye safu yetu ya mahusiano nimekuja na mambo motomoto naomba ukae mkaa wa kupokea na kiyafanyia kazi. Leo nipo na wale wanawake wanaolea tabia ya uvivu wa kudamka kitandani, wakimuacha mume akiamka na kujiandalia kila kitu. Najua imeanza kukuingia akilini! Hivi nikuulize mwanamke mwenzangu huoni aibu mume kukuacha kitandani kisha akajihudumia kila kitu mwenyewe wakati wewe ni mzima na huna tatizo lolote? Wanawake wa siku hizi ndoa zinatushinda kwa sababu tunapenda kushindana na wanaume, eti akikwambia mke wangu kaniwekee maji ya kuoga, unamwambia umechoka, jana umelala saa sita, hivi unadhani ni sawa sawa. Nakukumbusha, kitanda ulikiacha kwenu na kama unaweza kuiheshimu ofisi ukaamka mapema kuikimbilia, hivi unashindwa nini kuamka mapema kwa ajili ya mumeo? Ndoa inatafutwa upo? nakusihi sana ulikumbuke hilo kabla ya kuja kujuta baadaye, maana ukishaachwa utaanza kumtafuta mchawi wakati umejiroga mwenyewe. Wanawake wenzangu niwakumbushe tu kitu kidogo, raha ya mapen

MANENO AMBAYO HUSAIDIA KUAMSHA HISIA ZA KIMAPENZI

Image
Kuna mwanafalsafa fulani aliwahi kuandika katika maandiko yake akisema ya kwamba, maneno ya upendo yana nguvu sana katika mahusiano. Mtu unamwambia maneno mazuri na matamu katika mahusiano hujenga hisia mpya za kimapenzi. Hivyo kila wakati unatakiwa kujifunza kumwambia maneno yafuatayo mpenzi wako ili kujenga hisia za kimapenzi : 1. Umenifanya niwe mtu bora 2. Umenifanya nijisikie Kupendwa 3. I love you so much. 4. Kila niwapo na wewe najisikia vizuri. 5. Sitasubiri kukuona tena. 6. Napenda kutumia muda mwingi na wewe. 7. Napenda niwe wako. 8. Hakuna mtu anaweza kunipa amani nipatayo kwako. 9. Napenda uso wako. 10. Nashukuru kukuona 11. You’re so beautiful/handsome 12. Unanijali vizuri 13. Unanifundisha vitu vipya kila siku 14.I love how funny you are 15. Unanitaka niwe mwenza bora, naweza kuwa hivyo kwa ajili yako 16. Asante kwa kuwa nyuma yangu kila mara. 17. Napenda uwepo wako 18. You’re amazing 19. Wewe ni mtu wangu pekee katika sayari hii 20. Kuwa na wewe nap

UKIONA YUPO HIVI, JUA NI KICHECHE ACHANA NAE

Image
Habari ya wakati huu msomaji wetu karibu tena kwenye ukurasa wetu wa mahusiano leo tutaelimisha jinsi ya kumtambua mwanamke asiye na mapenzi ya kweli ama kwa jina lingine wanawaita kicheche. Mwanamke asiye na mapenzi ya kweli jambo la kwanza siyo rahisi kupenda mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na kupendana. Mara nyingi wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe marafiki wa kawaida. Anachukulia mahusiano kama njia ya kujinufaisha. Wanawake vicheche huwa hawaingii katika mahusiano kwa sababu wamependa, siku zote wanakuwa na agenda ya siri nyuma yake, unaweza kuita faida, kiujumla kwa kitu chochote atakachokupa katika mahusiano, ujue hapo anatarajia faida yake, utakuta anakuchangamkia na kukufanyia vitu ambavyo hukutarajia, ila lengo lake mwisho wa siku utakuta anaishia kukuomba kitu fulani kutoka kwako. Yupo tayari kufanya chochote hata kama kinamgarimu ilimradi apate kile a

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUWA KWENYE NDOA

Image
Ndoa ni muungano wa watu wawili wenye nia ya kuishi pamoja pengine kwa maisha yao yote. Ni muungano wenye malengo ya kujenga familia pamoja na kuiongoza kwa namna ambavyo itakuwa bora kwao. Utafiti unaonyesha kuwa kuna faida za kuwa katika ndoa kiuchumi na kiafya. Watu walio katika ndoa huwa na afya njema na pia huwa na maendeleo zaidi kiuchumi ukilinganisha na wale ambao wanaishi peke yao. Watu ambao wapo katika katika ndoa wana nafasi ndogo ya kupata magonjwa ya moyo kwa 5% ukilinganisha na wale ambao hawako katika ndoa ambao wana hatari kwa 3% zaidi ya kupata magonjwa hayo. Hali kadhalika wale ambao wako katika ndoa wananafasi kubwa ya kufanya mambo makubwa zaidi ya maendeleo kuliko watu wawili ambao hawako katika ndoa. Hii inasababishwa na mtindo wa maisha ambao wasio katika ndoa wanaishi. Vitu kama ulaji mbaya,ulevi usio na mipaka na matumizi mabaya ya fedha zao. Faida za Kuwa Katika Ndoa Kiafya Kwa wastani utafiti unaonyesha watu ambao wako katika ndoa wanaishi maisha maref

SAMAHANI KWA NITAKAO WAGUSA ILA UKWELI LAZIMA USEMWE

Image
Black is beautiful mama!! Wakijichubua shauri yao! Lakin ukweli ni kuwa nyie mademu wa humu JF ni wabovu sana yaani hamuangaliki, mpo mpo tu kama vifaru, naongea hivi nimeshakutana na baadhi yenu kama 48 hivi.. Yaani wote hakuna mwenye afadhari wabaya kweli, wote waliishia kuchafua macho yangu tu... Maana macho yangu yameshazoea kuangalia vitu vizuri lakini siku hiyo yakakutana na vizibo vya JF hadi ikanibidi niende kunawa uso baada ya kutoka pale! Maana sio kwa sura zile utafikiri ni watoto wa bibi fisi

KIPI HUMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KUFANYA TENDO KILA SIKU

Image
Kuna msanii alihojiwa na Radio moja wapo hapa nchini akasema yeye huwa anafanya mapenzi kila siku tar 1 hadi tar 30 mkewe akiwepo. sasa mimi sina experience na hili maana najiuliza na nauliza washkaji wa JF naomba kujua Ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume au mwanamke kuwa na hamu ya kufanya mapenzi Kila siku hata kama ni kimoja tu kwa siku ila anakuwa anafanya kuanzia tar 1 hadi 28 au hadi 30 mwezi wote kasoro siku ambazo atakuwa kwenye siku zake kwa mwanamke na siku za danger anatumia kinga kama Cond*m au sindano au njia nyingine ya kuzuia. Mwanaume au Mwanamke wa aina hii nini huwa kipo nyuma yake kinachomfanya aone kuwa ni lazima (its a must) yeye kupata kila siku. Je ni tatizo la kiafya au ni chakula anachokula ndio husababisha au kuna nini.

VYAKULA 10 VINAVYOONGEZA HAMU YA KUFANYA TENDO LA NDOA

Image
Tatizo la uwezo wa kufanya tendo la ndoa linazidi kukua miongoni wa wanandoa na wapenzi wengi. Takwimu za kitafiti zinaonyesha kuwa karibu ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliana na tatizo hili. Aidha wanaume 6 kati ya 10 wanatajwa kulalamikia upungufu wa nguvu za kiume. Pamoja na matatizo mengine kutajwa kuchangia upungufu wa nguvu za kiume na kushuka kwa msisimko wa tendo miongoni mwa wanandoa, uchunguzi umeonesha kuwa utumiaji holela wa vyakula hasa vyenye mafuta ni moja kati ya sababu zinazochangia kwa kasi tatizo hili. Kwa kuzingatia hilo, watafiti wa masuala ya uhusiano wa kimapenzi wamebaini aina mbalimbali ya vyakula ambavyo vina uwezo wa kumuongezea mtu nguvu ya kufanya tendo la ndoa. 1. PILIPILI Kama tunavyojua wote mara nyingi chakula ambacho kimeungwa pilipili hufanya hata mapigo ya moyo kuwa tofauti na wakati mwingine hata jasho au kamasi hutoka. Ndani ya pilipili kuna kitu kinaitwa capsaicin ambacho hufanya pilipili iwe na hali ya ukali.

JINSI YA KUMNYONYA MWANAMKE MPAKA AKOJOE

Image
Wanaume wengi hupenda sana “ngono ya mdomo” na wanawake wengi pia hupenda ngono ya namna hiyo kwaniwana enjoy sana, lakini ukweli ni kuwa hutakiwi kchukua muda mrefu sana ili mwanamke abaki na hamu ya kufanya mapenzi.Hivyo haiwezekani uchukue muda mrefu sana kwa vile unapochezea kisimi na kisha mwanamk...e kufika kileleni anahitaji muda wa kupumzika….ukiendelea bila kupumzika ni wazi kuwa atakuwa anazuga kuwa nafurahia kumbe hakuna kitu.  Mwanamke anatakiwa akae kwenye kochi/ na kupanua miguu yake au alale pembezoni mwa kitanda au kwenye kona ya kitanda kisha nyanyua miguu yake na aiweke kama anazaa (V-shape).  Hapo wewe mwanaume unatakiwa kushika sehemu ya ndani ya mapaja yake ili kukurahisishia kuzama vema na vilevile kumzuia yeye asikubane kichwa mara tu utamu utakapomkolea.  Sasa weka mdomo wako juu ya kisimi ktk mtindo wa kufunika kisha anza kunyonya ktk mtindo wa kubusu, yaani kama vile unalamba mabaki ya kitu kitamu/chakula kidoleni.  Hakikisha pua, kidevu au kwa kifupi us