Posts

Showing posts from March, 2020

MESEJI NZURI ZA KUMTUMIA MPENZI WAKO ILI AZIDI KUKUPENDA ZAIDI

Image
Wewe ni kila kitu kwangu. Nitateseka bila wewe. Ninataka nikwambie tu kuwa ninakuwaza muda wote. Ninatamani kuwa mikononi mwako muda wote. Ninakupenda zaidi ya unavyofikiria. Unafanya mapigo ya moyo wangu yaende mbio nikikuona. Najisikia vizuri mno nikikuwaza mpenzi. Ninajihisi salama nikiwa nawe. Nikiwa mikononi mwako ninajihisi nimefika! Ulishaubeba moyo wangu na sitaki uurudishe. Siwezi kuishi bila wewe mpenzi. Sitosahau usiku ule ambao tuli. Tabasamu lako linanipoteza kabisa. Unanistaajabisha kila siku. Nitafanya lolote ili niwe nawe. Ninakutamani kila saa. Ninaona fahari kuwa na wewe.  Wewe ni wangu daima na milele. Unanifaa sana mpenzi. Sijui ningekuwa wapi bila wewe. Kila siku tunapokuwa pamoja naona ninaishi ndoto yangu ya siku nyingi. Moyo wangu unasisimka ninapokuwa nawe. Hakuna mtu aliyewahi kuwa karibu nami na akanifanya nijisikie raha kama unavyonifanya nijisikie. Ninahesabu muda mpaka pale nitakapo pata busu lako tamu. Ni kama vile uliumbwa kw

Hizi ndizo Sifa za Mwanaume Rijali, Soma Ili Ujue Upo Kundi Gani..!!!

Image
Kila mwanaume anapenda kujiita yeye ni rijali hata kama hana sifa hizo na kama anazo habainishi urijali wake ni wa daraja gani. Kimsingi maelezo yafuatayo yanabainisha aina za marijali na madaraja yao.  1: Rijali kamili kamili, huyu anauwezo wa kukaa juu ya kifua cha mwanamke na kupampu mfululizo kwa takribani dakika 45 hadi saa moja dakika hizo ni za kusugua K na si vinginevyo, kimsingi hawa ndio wanaofaidi mapenzi. 2: Rijali kamili, mwanaume aliye kwenye kundi hili anakuwa na uwezo kukaa juu ya kifua cha mdada na kusugua K kwa takribani kati ya dakika 21 hadi 44. Huo muda ni wa kazi bila ya kuhesabia muda wa romance . 3: Rijali nusu, huyu anauwezo wa kukaa juu ya kifua cha mdada na kusugua K kwa takribani kati ya dakika 10 hadi 20 ,kimsingi wanaume wengi wapokatika kundi hili. 4: Rijali dhaifu ; huyu ana uwezo wa kukaa juu ya kifua cha mwanamke na kusugua K kwa takribani kuanzia dk 5 hadi 9 na hana uwezo wa kupita muda huo kwani huwai kukojoa . 5: Rijali

Kwanini Wanawake Wengi Siku Hizi Hawaolewi? Jibu Mubashara Hili Hapa

Image
*KWA NINI WANAWAKE WENGI SIKU HIZI HAWAOLEWI? WENGI HUPISHANA NA WAUME ZAO* Mwanamke anapigiwa simu kwa namba ngeni, anauliza namba yangu umeitoa wapi? Usiponiambia aliyekupa usinipigie. _HAPO UMEPISHANA NA MUME_ Mwanamke anaingia ndani ya daladala, amekaa na mwanaume, kwa maringo, anachukua earphone na kuweka masikioni na kuwasha mziki ili asiongeleshwe. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke anasalimiwa njiani, anaitikia, akiongeleshwa tena anachuna. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke unatumiwa meseji inbox, hujibu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke unapigiwa simu na mwanaume, unaona kabisa anakupigia ila hutaki kupokea tu. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke unakwenda gheto kwa mwanaume, una mkoba wako, ukifika muda wa kuondoka unaomba nauli. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke unakwenda kwa mwanaume, badala ya kusonga ugali, cha kwanza unataka chipsi kuku. _HAPO UMEPISHANA NA MUME._ Mwanamke unaanza uhusiano na mwanaume, siku ya pili tu unamwambia bebi sina hela ya vocha. _HA

SALUNI ZA DAR ZINAVYOHARIBU NA KUVUNJA NDOA ZETU

Image
MIONGONI mwa vilio vya wanandoa wengi jijini Dar, mbali na hali ngumu ya kimaisha inayosababishwa na vyuma kukaza, matatizo ya kiafya na majanga mengine mengi, ni suala zima la uaminifu kwenye uhusiano wa kimapenzi na magonjwa ambukizi kwa njia ya ngono. Uchunguzi uliofanywa na Gazeti la Ijumaa ulibaini kwamba, masuala ya kusalitiana yanazidi kushamiri siku hadi siku. Imebainika kwamba, wengi waliopo kwenye uhusiano wa kimapenzi, wanalia kutokana na mateso ya usaliti. Uchunguzi huo ulibaini kwamba, kati ya watu mia mbili, wanaoishi maeneo ya Sinza, Mwananyamala, Buguruni, Temeke, Mbagala na Kimara waliofikiwa kwenye utafiti huu, asilimia 75 (watu 151), waliweka wazi kuwahi kusalitiwa. Ni asilimia 25 (watu 49), pekee walidai kulisikia suala la usaliti kutoka kwa jirani zao. Pamoja na sababu nyingi ambazo Ijumaa limeelezwa kwenye utafiti huu, lakini saluni ambazo zinatoa huduma za masaji zinatajwa kuwa ni chanzo kikubwa cha usaliti na magonjwa ambukizi. Katika maeneo hayo yaliyof

TABIA ZA MAMA MKWE NDIO TABIA ZA MKEO, CHUKUA TAHADHARI MAPEMA

Image
Kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimegundua kwamba tabia za mama mkwe ndio tabia za mkeo upende usipende.kwahiyo kama una mpango wa kuoa usiishie kumchunguza mchumba wa kike ambaye wakati wa uchumba anakuwa anaishi maisha ya kuigiza bali pia angaika kumchunguza mama mkwe. Kwanini mama mkwe? 1. Mama mkwe ndie aliyemlea mkeo mtarajiwa kwahiyo mchumba wako atakuwa ameiga na kufundishwa kuwa na tabia kama mama yake 2.Mara mwanamke anapoolewa Mshauri mkuu ni mama yake mzazi(napenda uamini hili) kwahiyo maisha yake kwenye ndoa yatategemea ushauri wa mamaye 3.ikitokea mfarakano kwenye ndoa na kama mwanamke ndio tatizo mama mkwe ndie mtu pekee anayeweza kumbadilisha mkeo katika njia sahihi

FAHAMU KANUNI ZA KUISHI NA MWANAMKE

Image
Naomba nizungumze na wewe kidume mwenzangu, ambaye huelewi namna ya kuishi na mwanamke kwa akili. Nimesema kuishi na mwanake kwa akili, naam, ndiyo ewe mwanaume unayesoma makala haya ni kwamba katika maisha yako utakayoishi hapa dunia hakuna kiumbe unachotakiwa kuishi nacho kwa akili kwa mwanamke. Ni kweli usiyohitaji mwanga wa jua juu ya hilo. Mwanamke usipoishi naye kwa akili ni kwamba mahusiano yenu hayatadumu hata iweje labda ukatambike. Pamoja na maudhi waliyoumbwa nao viumbe hawa unatakiwa kuyaelewa na kwenda  nayo sawa kwani pindi utakapofanya  kinyume chake ni kwamba hautadumu na kiumbe huyo. Labda twende tukaone kanuni za kuishi na Mwanamke kama ifutavyo; Kwanza usimpige mwanamke, Naam nazungumza na wewe hakuna mwanamke ambaye anapenda kupigwa na mumewe, labda uende mkoa wa Mara, kwani huko ndiko wanakosema ukipigwa ndiyo upendo, sina ushahidi na hilo kwani hayo ni maneno ya kuambiwa tu. Kuna baadhi ya wanaume hudhani kumpiga mwanamke kunasaidia, hapana kitendo hicho h

NAMNA YA KUMFANYA MWANAUME AMSAHAU MPENZI WAKE WA ZAMANI

Image
Inawezekana hii hali ishawahi kukutokea wakati mmoja au mwengine, kuna mwanaume flani ambaye umependezwa naye lakini bado fikra zake ameziweka kwa mpenzi wake wa zamani. Ama umeanza kuchumbiana na mwanaume halafu baadae ukagundua kuwa huyu mwanaume mara kwa mara anamtaja mpenzi wake wa zamani katika maongezi yenu. 1. Mpe muda. Wakati mwingine ni bora zaidi kumpa mwenzako time ili aweze kusahau matukio ya awali. Mwanaume ambaye ameachana na mpenzi wake wa zamani kwa kawaida inaweza kuchukua muda mrefu kabla kurudi kawaida. So iwapo kweli unampenda mwanaume flani basi mpe muda anaouhitaji ili aweze kumsahau mpenzi wake wa zamani. Hilo si jambo baya kufanya. Kumpa muda wa kufikiria kunasaidia kwa kuwa atakuwa anapoteza mawazo yake ya zamani na huyo mpenzi wake. Hakikisha unamkaa mbali kabisa ama anaweza kukuona kama nuksi ama kikwazo katika maisha yake. 2. Kuwa rafiki yake na umpatie sapoti anayohitaji. Jambo la kwanza la kufanya ni kuwa rafiki mzuri kwake. Ni kawaida kuwa na hisi

MAKOSA YANAYOFANYWA NA WANAUME KATIKA MAHUSIANO

Image
Kuna mambo ambayo mtu anaweza kufanya pasi na kujua kuwa anafanya makosa. Ikija katika masuala ya mahusiano, wanaume wengine huchukulia kama mzaha. Wakishafaulu kutongoza na kumteka hisia mwanamke, wao hujisahau na kuanza kuishi nao kama mtu wa kawaida. Leo tumekuja na ujuzi wa kukuonyesha makosa ambayo unaweza kuwa unayafanya bila kujua kuwa yana athari. Kiufupi ni makosa ya kijinga ambayo yanaweza kuepukika kirahisi iwapo utayafuatilia. Hii ni muhimu kwa kuwa ukiachana na makosa haya basi unaweza kudumu katika mahusiano marefu na mpenzi wako zaidi. Yafutayo ndiyo makosa yanayofanywa na wanaume katika mahusiano; Unasahau kujijenga kibinafsi Kosa lengine ambalo wanaume hujipata katika uhusiano ni pale ambapo wanatelekeza majukumu yao ya kujiendeleza kimaisha. Wanasahau mambo ambayo walikuwa wakifanya ama walikuwa wakitarajia kufanya kabla kuingia katika uhusiano wa kimapenzi. Kusahau marafiki zako Ni kawaida kupunguza mawasiliano na marafiki zako pindi ambapo utaingia katika m

ZIJUE TABIA ZA WANAUME KWENYE MASUALA YA PESA

Image
Pesa na maajabu yake. Pesa ina maajabu yake hasa pale mtu akiipata. Wapo baadhi ya watu wakipata pesa kila mtu atajua tu, kwamba leo mzee Kira anapesa. Baada ya kuona utangulizi mfupi basi karibu sasa uzifahamu tabia za wanaume wenye pesa kama ifutavyo; Kuna wanaume wana pesa, wanajua kuzisaka, lakini pesa zao hazifanyiwi jambo la maana. Anaweza amka na million 1 asubuhi, lakini jioni akarudi hana hata mia mbovu. Pesa yote imeishia kwenye starehe. Wanapenda show off, wanapenda bata, wala hawawazagi kesho. Kuna wanaume wenye kipato kidogo, lakini ni wavivu wa kujituma, akipata hela kidogo basi hafanyi kazi mpaka iishe. Wao kila jambo wanategemea msaada kwa ndugu, wala hawazi kuhusu maendeleo. Kuna wanaume smart, wanajua nini wanakitaka kwenye maisha. Wanajituma, wanawekeza, na kamwe hawachoki kutafuta. Pesa zao zinafanyiwa mambo ya maana, wana ndoto, wana maono, wanahustle kuzitimiza. Mwanamke mwenye akili timamu, kabla ya kuingia kwenye ndoa, lazima atahakikisha anapata mwanaum