Posts

Featured Post

DALILI 7 Za Kuonyesha Anakucheat Na Mwingine..!!

Image
  Katika mahusiano huwa kuna changamoto tofauti tofauti. Kwa kawaida ni muhali kupata mahusiano ambayo hayana patashuka moja au nyingine. Inajulikana ya kuwa mahusiano huwa kuna migogoro, kutoelewana, kunyamaziana na mbaya zaidi...vita. Anyway mambo kama haya huwezi kuyazuia kwa sababu wenyewe ndio wanayaita mapenzi. Utaskia mtu akilalamika kuwa amemiss kugombana ama kuteteshana na mpenzi wake, jambo ambalo huwa ni la kawaida. Ok. tukija katika mada yetu ni kuwa nataka nikuulize maswali yafuatayo. Je hivi karibuni umeona kama mpenzi wako amekuwa mtu tofauti na ilivyo kawaida? Je mpenzi wako imekuwa muda mrefu tangu mfanye mambo yenu ya kawaida ambayo mlikuwa mkifanya? Je unamshuku kama amepata mwingine? Kama majibu yako ni NDIO basi hili chapisho nimeliandika spesheli kwako na nataka umakinike kwa kusoma dalili zetu tulizoziandika na kama yote yanawiana na dhana yako basi ni wakati wa kumfungukia mpenzi wako na umwambie kweupe kuwa umechoshwa na tabia yake ya 'kutoka nje', na u

Miaka 9 Katika Ndoa - Simuelewi Mume Wangu Ajanigusa Miezi Sita Sasa Naomba Ushauri

Image
  Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi.. Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa. Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha kwa mambo yote lakini sio ya kiunyumba. Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu. Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote. Mimi na mume wangu wote ni wacha Mungu.

Binamu Yangu Anapenda Kukaa Utupu Kila Akiniona Sijui Kwanini?

Image
  Mimi ni kijana ninaeishi na kufanya kazi Dodoma, mwezi desemba nilienda kumtembelea binamu yangu wa kike ambae alieolewa Dar es salaam, anaishi maeneo ya ukonga. Kuna matukio yanayotokea na kunishangaza,sasa chumba anacholala binamu yangu na mme wake vinapakana na choo na bafu kama mara tatu hivi wakat naenda bafuni kuoga nilimkuta binamu yangu kaacha mlango wazi huku yuko uchi nikageuka haraka nikarudi nilikotoka. Mara ya pili binamu yangu alikua ametoka chooni, sasa mimi nilikua naenda kuoga nikamwona bwana akiwa uchi, mara ya tatu tena alikua uchi chumbani huku ameacha mlango wazi cha kushangaza alipogundua hakuhangaika kujisitiri aliendelea na mambo yake,nilipogeuka kumkwepa ndio nikasikia samahani huku yupo very relaxed hata hashtuki mpaka nimeanza kuhisi kuna kitu anatafuta kwangu Sijui nifanye nini wadau,msaada tafadhali

Mambo Ambayo Wanaume Wanakosea Wakati wa Kutongoza Mwanamke

Image
1.PAPARA wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake.mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata coz atakufikiria sana juu ya uharaka wako. 2.KUJIFAKE wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu.ukiwa unaaproach jaribu kuwa real.huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki afu uko na techno 3.KUTOSOMA MOOD YA MWANAMKE unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mwanamke asubuhi? 4.KUMPONDA UR EX LOVER mwanamke anakuuliza kwanini uko single,unaanza kumponda ex wako kwa maneno ya kashfa hali kama hii inaweza kumtisha kisaikolojia umtongozae. 5.KULALAMIKA Unamtongoza mwanamke huku unalalamika juu ya mapenzi oooh mara sijawahi kupendwa.mjomba hapo unaonyesha udhaifu wako. UKITULIA NA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA KUYATENDA HAYA MBONA UTAMPATA KILA UMTAKAE

Meseji za Kumuomba Mpenzi wako Msamaha

Image
Kugombana katika mahusiano ya kimapenzi ni sehemu ya mahusiano hivyo inapotokea kwamba mmegombana, basi unatukaiwa kumtumia meseji zifutazo ili aweze kukusamehe: 1. Hivi kweli haya ndiyo mapenzi ama naota njozi? Nimefanya kila naloweza kuliimarisha letu penzi lakini naishia kuambulia majonzi, nimekuwa mtu wa kububujikwa na machozi kwa sababu ya lako penzi, kama nimekukosea tafadhali niwie radhi mpenzi, nakupenda na amini wewe pekee ndiye uliyetimiza ndoto yangu ya mapenzi. 2. Hivi ni kosa gani nilililokutendea ambalo sipaswi kusamehewa? Ni kweli nilikosea nahitaji kusamehewa mpenzi, plz naomba nielewe kwani sina mwingine zaidi yako wewe. Luv u 3. Nakiri kweli nimekukosea naomba wako msamaha kwa yote yaliyotokea hakika nimekukwaza. 4. Lakini kwa hakika hii ni mara yangu ya kwanza naamini,naamini utanisamehe laaziz na kunipa nafasi ya kulienzi lako penzi. 5. Unajua nakupenda ila tu umeamua kunitenda rudisha moyo nyuma kisha twende sambamba mapenzi yanavyokwenda. 6. Mapenzi ni usanii ukii

Sababu 5 Kwanini Wanawake Wenye Akili Nyingi Hupata Tabu ya Kupata Mapenzi ya Kweli

Image
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa nacho, lakini wakati mwingine kinaweza kuwatisha wengine. Pengine ndio maana watu wenye akili nyingi hupata shida ya kupata pendo. Kama unajiuliza kwanini bado upo single, hizi ni sababu tano kwanini unaweza ukawa unapata shida kupendwa. 1. Unakuwa mchambuzi mno Wasichana wenye akili mara nyingi huchambua sana vitu. Huwa na shaka na kesho yao, njia nzuri za kuimarisha mahaba, na wanataka sana kumpata mtu sahihi. Hiki hata hivyo sio kitu kibaya. 2. Unajua ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mwenza asiye sahihi Na hakuna tatizo katika hilo pia. Watu wenye akili wako makini katika kumpata mwenza sahihi ambapo wanaweza kuamua kubaki wenyewe kama asipopatikana. 3. Unajua kuwa mahusiano mara nyingi hufa Hawa hujua ukweli unaouma kuwa mahusiano mengi hayafiki popote. Matokeo yake, wakati mwingi

Huyu Mwanamke Ndio wa Kuoa ila Sijui Kama Anapatikana Tanzania.......

Image
1. Mpenzi wako akija kwako na akakakuta unakula ugali na kachumbari na akaamua kula nawe..huyo muoe.... 2.ukienda nae hotelini akaamua kuagiza ugali dagaa na maji tu...muoe anajua uchumi. 3.Mdada ambaye akimuona mkaka mwingine anaendesha Land cruiser na wewe una vitz yako Number A lakini akaamua kuja kwako...usimuache... 4.Mwanamke akikutembelea kwako akakuta nguo zako chafu akafua zote mpaka za wadogo zako, huyo mke usimuache! 5. Mwanamke unampa sh elfu tano akafanye shopping sokoni anakurudishia chenchi..huyo usimuache...anajua kubana bajeti na muaminifu. 6. Ukimpata mwanamke ambaye anakupigia simu na kukuuliza kama anaweza kukutumia credit au hela ya lunch, au anakupa pocket money saa nyingine, huyo tangaza ndoa fastaaa! 7.Mwanamke ambae anakupa password ya benki,laptop, simu na emails zake, huyo ni zaidi ya malaika.oa haraka..watamgombania wenzako! 8.Ukipata mwanamke ambaye mkipanda daldala analipa nauli au mkitoka out analipia bill ya chakula na vinywaji...huyo usimuache! anajua w