Posts

Showing posts from September, 2019

USIRUHUSU TABIA HII ITAWALE MAISHA YAKO

Image
Tabia ya kijidharau na kujiona hufai ama huwezi kufanya lolote ukafanikiwa maishani ni tabia isiyofaa. Hakuna mwanadamu aliyeumbwa ili ashindwe,, sote tu washindi zaidi, tunatofautiana njia za kufikia huo ushindi. Rafiki yawezekana umeshajidharau na kujitamkia maneno kadha wa kadha ambayo kimsingi yamekukatisha tamaa kabisa ya kufikia lengo fulani maishani na ukabaki kushuhudia mafanikio ya wengine kila siku maishani. Embu ondoa dhana ya kushindwa na kujidharau katika kila hatua upitiayo maishani haijalishi umeshindwa mara ngapi, jifunze kuwa na moyo mgumu na wa subila kwa kila hatua upitiayo maishani,, haijalishi upo katika hali gani? Maishani. Kama ni maskini sana, usijidharau na umaskini wako ukaona wewe ni wa hali hiyo hiyo maisha yako yote,, hapana, haukuumbwa ili uje kuwa maskini. Ila ni juhudi zako mwenyewe ndizo zitakazokutoa katika umaskini ulionao, haijalishi wewe una ulemavu wa aina yeyote ukajidharau na kujiona huwezi fanya lolote mbele ya jamii likakubalika. Rafiki ku

WASICHANA MNAOTOA NYUMA MSIDHANI NDO NJIA YA KUZUIA MCHEPUKO

Image
Wasomaji wetu karibuni tena kwenye safu yetu ya mahusiano tuweze kujifunza mambo mbalimbali. Leo nina jambo moja ambalo ningepende kuwaelimisha wanawake wenzangu naomba uweakini kunisikiliza pamoja na kuelewa. Kuna baadhi ya wanawake hufanya mapenzi kinyume cha maumbile kwa ajili ya kutaka wapendwe zaidi. Bila shaka umeniekewa yaani uboo unaingizwa sehemu ya haja kubwa ili kumfurahisha mpenzi wake huku ukijua ni sehemu ya kuongeza upendo kwake. Sasa kama unafanya mchezo huo kwa kulenga kuwa utapendwa juu unazidi kupotea. Hivi unaelewa madhara ya kufanywa nyuma wanawake wenzangu?? Au unafanya tu ili kumridhisha mwanaume wako. Mwanaume huwa hawaridhishwi kwa kinyume cha maumbile unaweza ukajipinda kutoa tigo yako na mwisho wa siku ukaachws na madhara ukayapata. Kama mwanaume wako ameshindwa kukuweka moyoni hata umpe nyuma ama ubinuke staili zote huyo kaa ukijua atakwenda kwa mwingine. Kuna mwanamke mmoja nilimsikia akisema mume alikuwa anamuomba mchezo wa nyuma kwa muda mrefu i

HATA UKIFANYIA GIZANI, DUNIA HAINA SIRI

Image
N I  siku nyingine nzuri tunapokutana kwenye ukurasa huu, mahali ambapo tunajadiliana na kuelimishana kuhusu mambo mbalimbali yahusuyo uhusiano wa kimapenzi na maisha kwa jumla.   Tumewahi kujadiliana hapa kuhusu madhara ya usaliti katika mapenzi, kwa sababu maalum, leo nataka tujadiliane tena katika sura nyingine. Ipo hivi, hakuna kosa kubwa katika uhusiano wa kimapenzi kama kumsaliti umpendaye. Vitabu vya dini zote vinaeleza wazi kwamba kosa pekee linaloweza kusababisha uhusiano wa kimapenzi ukavunjika, hata kama wawili watakuwa wamefunga ndoa kanisani au msikitini, ni USALITI! Unapomkamata mwenzi wako amesaliti, sheria inakuruhusu kabisa kuachana na mwenzi wako, hata kama mtakuwa mmefika mbali kiasi gani katika maisha. Kinachoshangaza ni kwamba licha ya jambo hilo kuwa wazi kabisa, bado wanandoa wengi wanachepuka. Upo ushahidi wa wanawake wenye heshima zao, wake za watu, ambao kwa sababu wanazozijua wao, wanawasaliti waume zao. Upo ushahidi pia wa wanaume wenye heshima zao, wen

KANUNI 10 ZA KUWA MKE MWEMA

Image
UHALISI WA MAISHA: Maisha halisi ya mwanamke anayetarajia kuwa mke/ mke tayari hii ni kumaanisha kuwa wanawake mashujaa tunapaswa kuishi maisha ambayo yanatutambulisha kama mfano wa kuigwa ili tunapozungumza na kufundisha mabadiliko tuwe tunazungumza uhalisia wa maisha yetu ambao unajengwa na haya yafuatayo; UVUMILIVU: Kuwa mvumilivu katika maisha yake ya kila siku hasa ukizingatia kuwa tunakutana na mambo mbali mbali yasiyotuvutia katika mahusiano yetu, mengine ni magumu na yanayokwenda kinyume kabisa na matakwa yetu au mazoea yetu ya binafsi. Ifahamike kwamba wewe kama mwanamke shujaa inapotokea umekutana na mambo kama haya hupaswi kuonyesha hasira zako wazi wazi kama vile; chuki, kulaumu, ugomvi, vurugu, malalamiko, manung’uniko, machafuko, kulipa kisasi au aina yoyote ya uharibifu kutokea kwako au ndani mwako. Hivyo mwanamke shujaa huwa ni heri kila anapokuwa kwani hutunza amani ya eneo alipo. UPENDO WA DHATI: Maisha ya upendo wa halisi na sio wa kinafki kwa jamii inayomzungu

ZIFAHAMU FAIDA ZA KUWA KWENYE NDOA

Image
Ndoa ni muungano wa watu wawili wenye nia ya kuishi pamoja pengine kwa maisha yao yote. Ni muungano wenye malengo ya kujenga familia pamoja na kuiongoza kwa namna ambavyo itakuwa bora kwao. Utafiti unaonyesha kuwa kuna faida za kuwa katika ndoa kiuchumi na kiafya. Watu walio katika ndoa huwa na afya njema na pia huwa na maendeleo zaidi kiuchumi ukilinganisha na wale ambao wanaishi peke yao. Watu ambao wapo katika katika ndoa wana nafasi ndogo ya kupata magonjwa ya moyo kwa 5% ukilinganisha na wale ambao hawako katika ndoa ambao wana hatari kwa 3% zaidi ya kupata magonjwa hayo. Hali kadhalika wale ambao wako katika ndoa wananafasi kubwa ya kufanya mambo makubwa zaidi ya maendeleo kuliko watu wawili ambao hawako katika ndoa. Hii inasababishwa na mtindo wa maisha ambao wasio katika ndoa wanaishi. Vitu kama ulaji mbaya,ulevi usio na mipaka na matumizi mabaya ya fedha zao. Faida za Kuwa Katika Ndoa Kiafya Kwa wastani utafiti unaonyesha watu ambao wako katika ndoa wanaishi maisha maref

JINSI YA KUJINASUA KWENYE MAUMIVU YA KUACHWA

Image
M ARA  nyingi sana inapotokea umejeruhiwa penzini, hususan na mtu ambaye ulikuwa na malengo naye, ni vigumu mno kupenda tena.  Ni vigumu sana kumuamini tena mtu wa jinsia tofauti na yako. Wakati mwingine unaamini mtu wa jinsia ya tofauti na yako ni kama muuaji, ni mtu asiyestahili kuwa karibu yako. Ndugu zangu, tunakosea sana. Haya yote yanatokea kwa sababu fulani. Japo hakuna anayeyafurahia, lakini endapo yakitokea, usihuzunike moyoni mwako. Chukulia kama changamoto na amini utasimama tena. Sahau mapito yako. Elewa kwamba aliyekutenda hilo, wakati wewe unaumia yeye hana habari na wewe. Kwa nini uumie kwa sababu yake? Kataa kuumia. Maisha mazuri kwako yapo. Amini furaha yako ipo mbeleni, itachelewa tu, lakini inakuja. Mtu sahihi yupo tu wala usiumie moyo. Chukulia kuachwa kwako kama somo muhimu ili usirudie makosa. Ukweli ni kwamba wakati mwingine tunapaswa kuanguka ili tuweze kusimama upya.  Kujifunza kutokana na makosa yako ya zamani ni njia pekee ambayo unaweza kujiongoza kupat

KAMA WEWE UNA HAWARA KUWA MAKIN SANA NA JAMBO HILI...

Image
Jumamosi ya juzi nikiwa ndani mwangu nafuatilia Bunge, nilisikia hodi ikabidi nikajue ni nani, alikuwa ni Jirani yangu (Binti) ana miaka kama 24-26 hivi, toka nimehamia hapa sijui ana shughuli gani inayomwingizia kipato au inayomfanya aishi hapa mjini, Baada ya kumkaribisha ndani akaanza hivi. (Jina Langu) samahani, nikamjibu...bila samahani...(Jina lake), nina shida ya sh.30,000/= naomba unisaidie,(kwa kuwa nimezoena nae sana akaanza kunisimulia) Kuna hawara yake ni doctor hapa ...juzi yake alimwambia kuwa "hamtaki tena kuanzia Juzi hiyo" huyo hawara yake ana mke na watoto 3. Ni yeye (hawara) ndiye anayemlipia kodi ya nyumba, anamsomesha chuo cha Hotel management na ndiye anayemtunza kwa maana ya chakula. Sasa kodi inaisha mwezi wa kwanza mwakani na ada ya chuo anadaiwa na imebaki sh. 700,000/= na pesa ya kwendea field Zanzibar hana. Akaniambia kuwa, ...Nimepata mtaalamu (mganga) ameniambia nimpe sh. 30,000/= ili anipe dawa nimvute, (Amchomee) ili kurudisha mawasilian

USHAURI: NIMEMKUTA MUME WANGU AKIFANYA MAPENZI NA HOUSE GIRL

Image
Juzi nilikuwa naenda kazini nikamuacha mume wangu nyumbani anaangalia TV, gari langu likazima ghafla kiasi cha kilomita moja toka nyumbani. Nikaona nitembee mpaka nyumbani kumwomba mume wangu aje anisaidie kutengezagari, kwa mshangao wangu nilipofika nyumbani nikamkuta mume wangu yuko chumbani na msichana wa kazi wa nyumba ya jirani. Mume wangu ana miaka 43, mimi nina miaka 39 na msichana huyo ana miaka 19 hivi.Tumekuwa katika ndoa kwa miaka 10. Nilipomuuliza mume wangu alikubali kuwa uhusiano wao umekuwa ukiendelea kwa miezi sita sasa, nifanye nini mimi? NISHAURINI NIFANYAJE NDUGU ZANGU...

JE, UNAJUA KITU GANI CHA KUFANYA ILI USIACHWE NA MPENZI WAKO???

Image
Ili kuhakikisha unamdhibiti mpenzi wako asiende kwa mwanaume mwingine hakikisha unamlinda na kumdhibiti dhidi ya mambo yafuatayo. Yapo madhaifu ambayo wanawake wengi wanayo yanayosababisha aachane na mwenza wake wa awali na kuingia kwenye uhusiano mpya. Mwanaume unatakiwa kufahamu mambo yafuatayo ili kulinda na kuokoa penzi lako dhidi ya mwanamke uliyenaye kwenye maisha yako. Unaweza kudhani ni sababu za kawaida au ndogo lakini ndizo za msingi na zinazomfanya mwanamke kuwaza kuwa na mtu mwingine. Kwa upande wa mwanaume ambaye unasaka mwanamke wa kuwa naye kwenye maisha yako unaweza kutumia mbinu na madhaifu ya wanawake kumpata unayemtaka. Mazoe ya haraka Wanawake huwa na mazoea ya kumzoea mtu kwa haraka zaidi hivyo ni rahisi sana kwa mwanamke kutengeneza uhusiano wa kihisia na mtu mwingine kwa haraka. Hii inawafanya kuwa rahisi kumzoea mwanaume na kudhania hayo mazoea aliyoyaanzisha ni mapenzi hali ambayo inamsababisha mwanamke ajikute kashaingia kwenye mapenzi na mwanaume mwi

JINSI YA KUMFANYA MUMEO AWAHI KURUDI NYUMBANI

Image
Inawezekana ukawa upo kwenye mahusiano yenye changamoto ya Mume wako kuchelewa kurudi nyumbani, Zifuatazo ni njia ambazo zinaweza kukusaidia kumrejesha mapema nyumbani. Jambo la kwanza ni vizuri ukajiuliza kama kweli upo katika ndoa sahihi, kwa kutizama chanzo cha mahusiano yenu ni kitu gani kilichowaunganisha lakini Pia ukajiuliza bila kujidanganya wewe na Mumeo mnafahamu maana halisi ya mapenzi ? Baada ya maswali hayo naomba ufahamu kwamba mapenzi yoyote yale lengo lake kubwa ni kuleta utulivu na kuhurumiana. Je ndoa yako inakupa utulivu na mnahurumiana?, kama mnahurumiana iweje Mumeo achelewe kurudi nyumbani huku akijua fika kwamba wewe Mkewe hupendi achelewe kurudi nyumbani na kuchelewa kwake kunakuondolea utulivu ?. Hatua Zifuatazo zitakusaidia kumrejesha Mumeo nyumbani mapema: Je wewe sio chanzo cha Mumeo kuchelewa kurudi nyumbani? Na kama wewe unachangia kwa namna yeyote ile basi rekebisha yale asiyoyapenda Mumeo na hapo utakuwa umemaliza tatizo.Pambana na tatizo na sio M

JINSI YA KUISHI NA MWANAUME AMBAE HANA PESA

Image
MUNGU ni mwema! Ni Jumapili nyingine tunakutana kwenye ulimwengu wetu wa mahaba. Uwanja wetu maridhawa wa kupeana darasa kuhusu maisha na uhusiano. Kama mada inavyojieleza hapo juu, ulimwengu wa sasa wanawake wengi wanaamini katika kuishi na wanaume wenye pesa. Mwanaume ambaye atakuwa na ukwasi wa kutosha huyo ndiye anayefaa kuwa naye kwenye uhusiano au hata ndoa. Anaamini kwamba pesa ndiyo kila kitu. Pesa ndiyo itakayompa mahitaji yake ya kupendeza na kila kitu. Mwanaume bila pesa kwake ni sawa na debe tupu. Upepo wa imani hiyo upo sana mjini. Baadhi ya wanawake wanaolewa na watu wenye pesa, lakini matokeo yake wanageuka kuwa watumishi wa nyumbani wa hao wanaume wao. Wanageuka kuwa wafanyakazi wa ndani na si wake tena. Wanakosa sauti ya kusema, lakini mioyoni wanabeba mambo mazito yanayofukuta kama moto. Hawazifurahii ndoa zao, wanaambulia masimango, manyanyaso ya kila aina maishani mwao. Hii ni hatari sana! Unaweza kuishi na mwanaume asiyekuwa na pesa, lakini kipaumbele kikubwa

NATAMANI KULALA NA SHEMEJI YANGU,MUME WANGU NI BURE KABISA

Image
Akizungumza kwenye kituo cha redio, mwanamke huyu alisema kuwa anaomba usaidizi kwani amejaribu kujizuia lakini anashindwa.       ”I WANT TO SLEEP WITH MY HUSBAND’S KID BROTHER. THIS FEELING IS TOO STRONG, I HAD TO PLAY MUSIC BUT STILL NO WAY, I HAD TO GO AND START COOKING RICE JUST TO DISTRACT MYSELF. BUT THAT DID NOT IN ANY WAY HELP BECAUSE I COULD STILL SEE HIM IN THE COACH AS HE SLEPT OFF WATCHING TV.” Mwanamke huyu alisema kuwa hajui alianza kumtamani ndugu ya mume wake lini lakini anatamani tu kushirikiana naye kimapenzi. Zaidi ya hayo, cha kushangaza ni kuwa alisema ata asishawishiwe amrudie mume wake kwani mume wake ana chumba chake na amejifungia mle ndani. ” MY USELESS HUSBAND IS ON THE OTHER HAND BUSY SLEEPING. BUT SHOULD I JUST DO IT AND SATISFY MYSELF THEN FACE THE CONSEQUENCES LATER. I WANT THIS BOY SO BAD. DON’T EVEN TELL ME TO TRY TOUCHING MY HUSBAND BECAUSE HE HAS HIS ROOM AND I HAVE MINE AND HE LOCKED IT. Nifanye nini sasa?” Je ni kawaida? usisite kuorodhesha mao

MTU SAHIHI MAISHANI MWAKO ANA SIFA HIZI

Image
M UNGU  ni mwema! Ni Jumamosi nyingine tumekutana kwenye kilinge chetu cha kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu maisha ya uhusiano. Tupo kwenye kizazi ambacho kina changamoto kubwa sana katika masuala ya uhusiano. Kizazi ambacho kimejaa usaliti, kizazi cha ulaghai na utapeli wa mapenzi. Kizazi ambacho watu wake wengi wamevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu. Sarakasi za uhusiano ndizo zimejengeka kwenye akili za watu kiasi ambacho imefikia watu kutokuwa na imani tena. Watu wengi sasa hivi hawaamini tena katika mapenzi ya kweli kutokana na magumu waliyopita, wamekata tamaa na wanaona hakuna umuhimu wa kupenda tena kwani uhusiano siyo jambo la kheri tena bali ni la shari. Mimi na wewe sasa hivi ni mashahidi wa matukio mengi sana ya wapendanao kugombana, watu kupigana na hata wengine kuuana kutokana na sababu mbalimbali zinazohusiana na masuala haya ya uhusiano. Kwenye vyombo vya habari sasa hivi habari za mke kamuua mume au mume kamuua mke siyo ngeni. Zinatokea sana, hii

MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA UNAPOTAKA KUANZISHA MAHUSIANO

Image
N I  matumaini yangu mpenzi msomaji wa safu hii, utakuwa kwenye hali nzuri na tayari kusoma kile ambacho nimekuandalia Jumatatu hii. Mahusiano ya kimapenzi siku zote yana nafasi kubwa sana katika maisha yetu. Yanapokwenda vizuri, furaha ya moyo inapopatikana, basi mtaishi miaka nenda rudi bila mikwaruzano na hata ikitokea, mnaimeza ndani kwa ndani. Mapenzi yana changamoto zake, wengi wamejikuta yakiwashinda kwa sababu ya kutosoma alama za nyakati. Wanashindwa kuelewa kwamba wapo kwenye nafasi gani na kujikuta wakiishi tu kimazoea bila kujua wanafanana tabia au la. Ndugu zangu, japo ni vigumu kuujua moyo wa mtu, lakini hakikisha pindi unapoanzisha  uhusiano na mtu, awe kweli ni mtu ambaye mnafanana. Mnaivana kitabia, mnashibana vya kutosha na kuweza kukabiliana na changamoto mbalimbali zitakazojitokeza mbele yenu. Hakikisha uliyenaye anakupenda kwa dhati kutoka moyoni kabla ya kuzama penzini. Japo watu wanabadilika, lakini angalau, jiridhishe kwa jinsi unavyoweza kiasi cha akili y

HIVI KWANINI SINGLE MOTHERS HUWAGA WADHAIFU??

Image
Kuna rafiki yangu mmoja hivi nilisoma naye chuo, huyu jamaa katika mwaka wake wa pili tangu aanze kazi alikutana na mfanyakazi mwenzie ambaye ni mtaalamu wa madawa ya binadamu (Pharmacist) Wakaanza mahusiano ya mapenzi,lakini kiuhalisia jamaa yeye alikuwa naye kwa kujifurahisha tu kwa kuwa tayarialikuwa na mchumba wake lakini alikuwa anafanya kazi mkoa mwingine, akaamua amchukue huyu mfamasia kwa ajili ya kucheza rafu za hapa na pale na kuondoa upweke usio wa lazima. Lakini kumbe mdada wa watu kajiongeza na hatimaye akamtegea jamaa siku zile za hatari, jamaa akiwa hana habari na mpango wa bibiye hatimaye akamtandika ujauzito, jamaa akaja juu kwamba kwanini ameshika ujauzito bila makubaliano? Akamwambia achoropoe,bibiye akagoma. Basi jamaa kwa hasira akampiga kibuti demu,mahusiano yakafa lakini baadaye akasema wtashirikiana kumlea mtoto ila mapenzi yafe, mdada akasema haina shida. Kwa hiyo kila mara wanatembeleana kwa ajili ya mtoto ila mambo ya mapenzi hakuna. Sasa imepita miaka

NIMEAMKA ASUBUH NIMEJIKUTA NA MAMA MKWE KITANDANI

Image
Heka heka la jana si mchezo kabisa, nilikata moto kama ngoma sita ilikuwa Bar moja nilienda na familia kupata burudani ya mziki live Band, sasa wife hakukaa sana na ilivyofika saa tano akasepa na watoto akaniacha na mdogo wake wa kike na mama mke ambaye ni mama mkwe. Nikiri tu huyu mama ni mmama wa kimjini mjini na pombe nyama kwa sana tukiwa watatu pale mimi, mama mkwe na mdogo wake wife mida si mida mziki umekolea mdogo wake wife akaniamsha tukaelekea kwa Dance floor huku mama mkwe akiendelea kupiga vyombo. Tumecheza muda si muda mama mkwe akamuita mwanae wakaongea then akasepa, Daah kuanzia hapo vitimbi vya mkwe wangu vikaanza akaniambia tuhame bar eti twende Hotel ambayo ina burudani na vyumba ikitokea mtu kazidiwa anaenda pindua, nikamuuliza Rachel yuko wapi mdogo wake sasa na wife akaniambia kuna mtu wake kamuita nikaona isiwe case japo nilianza kulalama nani ataendesha gari kuelekea huko anakotaka ile hali wote tuko chakari, akasema ni drive tu pole pole basi bana tumeelekea

MAMBO MAKUBWA MANNE WASIOYAPENDA WANAUME

Image
Katika mahusiano yapo mengi ambayo ukiyafanya yanaweza kuwa chukizo kwa mwanaume au mwanamke, ila kila jinsi ina namna ambavyo imeumbwa, kuna baadhi ya mambo wanawake hawayapendi kwa wanaume pia yapo mambo ambayo wanaume hawayapendi kwa wanawake ambayo yanaweza kuwa chanzo namba moja cha kuvunja uhusiano na mpenzi wako bila kujali ni muda gani mmedumu katika penzi hilo. Leo tuyazungumzie yale ambayo wanaume hawayapendi kutoka kwa wanawake, kama kuna mwanamke anaangukia katika kundi moja wapo ajue dhahili kuwa mwanaume wake hafurahishwi naye. Na ndio sababu wanaume wengi huchepuka endapo atakutana na mwanamke mwenye sifa hizi; Muongeaji sana Mwanamke muongeaji sana asiyekuwa na staha, mwanamke ambaye hawezi kumvumilia mwanaume pale anapokuwa akimsema kwa jambo f’lani kwa nia ya kutaka maelewano ni tatizo. Namzungumzia yule ambaye muda wote anataka kushindana na mume/ mpenzi wake katika kuongea, yaani kuonesha kuwa hajakosea, anaonewa au na yeye yumo kwenye kuongea, huyu hawezi kum

MAMA MWENYE NYUMBA ANANITEGA SANA

Image
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani. Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar. Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu. Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha. Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kw

WANAUME KWA HILI MNATUTESA

Image
Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi tumestukia hilo, na tunapinga vikali no video calls, no sex pictures at all. Kama hutaki sauti pita hivii!Kingine msitupangie matumizi ya simu zetu, hujainunua wewe sa kiherehere cha nini, kila saa umenuna"bby simu ipo busy kila saa" haikuhusu!Nunua yako nipe kisha nipangie wakuchati nao. Picha za uchi BIG NO, USINITUMIE WALA SIKU TUMII. TUKIPANGA MIADI YA KUKUTANA NITAANDAA SEHEMU MIMI NA SIO WEWE, POTELEA MBALI KULIKO UKAFUNGE MI KAMERA ILI UNIREKODI. KINYWAJI NI JUICE TU, POMBE SITAKII

MSIWALAUMU WADADA WA MJINI KUTEMBEA NA WAZEE

Image
Nimepanda lift kwenye moja ya jengo maarufu na refu hapa mjinikati karibu na Ohio st. Niko ndani ya lift mzee mmoja smart anongea na simu kwa sauti ya maringo , upole na yenye kujiamini, kulikua kimya hivyo unasikia kabisa upande wa pili ni sauti ya kasichana mazungumzo yalikua hivi. Mzee - What do you mean..I've told you before not to worry it is within my capability usichukue gari ya chini, chagua landcruiser au yoyote ya juu. Mdada.- '............. .... ....... ..... ........ ........ .... ............ Mzee. - Ok no problem, njoo sasa hivi uchukue cheque kwa ajili ya kuwalipa NSSF niliongea na mkurugenzi wake akanipromse a nice location for your appartment. Anyway we njoo ukifika go to reception I have already reserve a place, just wait me in the room nina kikao na waziri nikimaliza nakuja. Niliwai kufika nikatoka liftini nikamuacha bado anaongea. Kwa kweli niliona hamna sababu ya kuwasema wadada wanaotembea na wazee this dudes knows how to care jamani...... Vijana

MJOMBA WANGU ANANIONYESHA SEHEMU ZA SIRI

Image
Kwa kweli kuna watu na viatu duniani. Juzi mwanadada kwa jina Gladys aliyejawa na ujasiri alimuanika mjombake, miaka mingi baada yake kutenda unyama ulio angamiza mwanawe. Kulingana na mwanadada huyu, akiwa mdogo alikuwa anaishi kwa shangazi yake na pindi tu alipojifungua alishuhudia tendo ambalo mpaka wa leo humsumbua akili. Akizungumza na Massawe Japanni alisema kuwa shangaziye akienda kazini, mjombake alikuwa anamnyonyesha mtoto sehemu zake za siri kila anapolia. Anasema alipopiga ripoti kwa shangaziye,  mjombake alijitetea akisema kuwa hafai kumuamini Gladys kwani alikuwa mtoto na akili za kitoto tu. Mjombake aliendelea na tendo lile na siku mmoja mtoto akapata maambukizi ya kifua ambayo yalipelekea kifo chake. Walipofuatilia jambo hilo, mjomba yule alikuwa tayari ametoweka asijulikane alipo. Soma usimulizi wake Gladys. Mimi nilikuwa nakaa na auntie yangu but sasa nilikuwa kitu 10 years, na sasa huyo auntie alikuwa anaenda kazi na mzee wale watu wa biashara alikuwa anabaki

MAMBO 6 YANAYOWAUMIZA WANAUME KWENYE MAHUSIANO

Image
leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake. Jamaa anamkimbia na kwenda kuanzisha uhusiano mwingine. Baada ya kukimbiwa, mwanamke hakati tamaa. Anaanzisha uhusiano mwingine, ndani ya muda mfupi tu, anaambulia maumivu tena. Anabaki kujilaumu. Hajui chanzo cha yeye kukimbiwa. Matokeo ya hili, mwanamke anapoteza uelekeo. Kila mwanaume anayekutana naye anamkimbia. Mwisho wa siku anajikuta umri umeenda. Kuolewa inakuwa ni ndoto. Anaanza kulazimisha kusaka mtoto ili angalau na yeye aitwe mama. Wanaume wengi hujikuta wakiwaacha wapenzi wao kwa sababu ya tabia fulani ambazo wakati mwingine huanza taratibu na baadaye huwa kikwazo kikubwa. Ili kuweza kuepukana na tatizo hili ni vyema tukaangalia vitu ambavyo wanaume wamekuwa hawavipendi kutoka kwa wanawake ili kuweza kujua ni

WANAWAKE WA NYUMBA KUBWA IGENI KUTOKA NYUMBA NDOGO

Image
Neno nyumba ndogo au nyumba kubwa si geni masikioni mwa wengi... Mara nyingi nyumba kubwa inamaanisha Mke halali wa ndoa anayetambulika kifamilia na katika misingi ya kidini kama mlifunga ndoa kanisani au msikitini...pia endapo mlifunga ndoa ya kiserikali.. Nyumba ndogo inaweza ikatafsiriwa kama mke ambaye si halali, hatambuliki kidini wala kijamii bali ni mwanaume anaamua kutafuta kwa lengo la kukidhi haja zake ambazo huenda hatimiziwi vizuri na mke wa nyumba kubwa... Nyumba ndogo imeonekana kuwa na nguvu sana kwa kuwakamata waume za watu wasifurukute, wasisikie la kuambiwa, yaani hapo ndiyo wanakuwa wamefika...wengi husema wamepewa limbwata...lakini mimi nasema hakuna limbwata wala nini, ni ufundi tu na ubunifu ambao nyumba ndogo anautumia.. Angalia hii... 1. Mapishi....nyumba ndogo mwanamume anaweza kupikiwa mapishi ya ufundi wa hali ya juu..chakula kikatengwa mezani kwa ufundi wa hali ya juu...lakini nyunba kunwa mke anapika michemsho michemsho kishaanatenga mezani ilimradi tu

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AKUKUBALI MAPEMA

Image
Yawezekana kuna mtu hisia zako ndipo zinapoamkia, naamisha unampenda kweli mpaka inafika mahali huelewi kinachondelea, njia nzuri na rahisi zitakazomfanya mtu huyo aweze kukubali mapema mara baada ya kumuonesha hisia zako ni pamoja na kufanya mambo yafutayo: Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali. Mfanye ajisikie huru Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbaele zake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya kawaida katika maisha. Kwa hiyo ili uweze kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi na wewe njia nzuri ni kumfanya ajisikie yupo huru mbele yako na kasha atakua huru kufanya mapenzi na wewe. Mfurahishe Mfanye ajisikie mwenye furaha kila anapokuwa na wewe na atamani kuwa na wewe. Akishajiskia mwenye furaha kila anapokuwa na wewe ni rahisi kushawishika kuwa na wewe ki

HIZI HAPA AINA 4 ZA WANAWAKE MICHEPUKO

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

UKIWA KARIBU NA MPENZI WAKO NA AKAPIGIWA SIMU NA KUONGEA HIVI JUA ANACHEPUKA

Image
Ukiona anapigiwa tu Simu ukiwa nae halafa anaonyesha Kushtuka, Kutetemeka huku macho yake yakiwa hayatulii na kuna muda anajichekesha chekesha au anaanzisha Mada zisizo na Miguu wala Kichwa halafu akiwa anaongea na hiyo Simu ukayasikia maneno kama....sikusikii vizuri....wewe nani?.....naaam.....ndiyo....ndiyo....weka Simu yako vizuri napata taabu Kukusikia....hawajambo tu.....sawa....hapa unatakiwa ujue ya kwamba aliyempigia hiyo Simu ni Msaidizi wako ama katika Mbunye na Demu wako au Mkuyenge wa Bwana wako. Kaeni chonjo! Nawasilisha.

SEHEMU 4 AMBAZO HUPASWI KUMSHIKA MKEO KWA NYAKATI HIZI

Image
Ingawa kuna mtazamo uliojengeka katika jamii kuwa ukishamuoa mwanamke na mkawa mwili mmoja basi una kila haki ya kumshika sehemu yoyote uipendayo hasa wakati unahitaji kufanya nae tendo la ndoa. Lakini utafiti na uzoefu uliokusanywa na wataalam wa mahusiano na ndoa waliofanya mahojiano na wanawake kama kuna sehemu wazisopenda kuguswa na waume zao na nyakati husika, umetoa picha na mtazamo ambao wanaume wanapaswa kuufahamu mapema kabla hawajaingia katika hatari ya kuwa kero au kuwakwaza wake zao. Kama tunavyofahamu, wanawake ni viumbe wenya mlango mmoja wa ziada wa fahamu kuwapita wanaume. Hii nitaizungumzia siku nyingine. Lakini mlango huu wa ziada ndio huwapa hisia ya ziada pamoja na kuwafanya kujali sana vitu ambavyo mwanaume hasa mwenye haja ya kufanya tendo anaweza asizingatie sana anataka kukidhi haja yake. Ukifuatilia sehemu hizi za mwili wa mwanamke nitakazozitaja na nyakati zake, utabaini kuwa ni rahisi sana kufahamu kwani mwanamke katika nyakati hizo anaweza kuonesha kusit

SIO KILA MWANAMKE ANA SIFA ZA KUWA MKE, UKIKUTA MWENYE SIFA HIZI BEBA

Image
Mama yangu aliwahi kuniambia ni bora ukosee njia ya kupita wadau watakueleza njia sahihi kuliko ukosee Mke wa kuoa, Mara baada ya kusikia hayo nilimuuliza "unamaanisha nini mama,"? Mama akasema katika dunia hii kuna wasichana wengi ila sio kila mwanamke anazo sifa za kuitwa mke. Hivyo kila wakati Muombe mwenyezi ukupe mwanamke mwenye sifa hizi. Mcha Mungu Mwanamke mcha Mungu bila shaka maisha yake huwa ya kufanikiwa. Mtu yeyote yule lazima awe mcha Mungu ili awe na sifa nzuri ya maisha katika jamii. Mwanamke mcha mungu huwa na woga na hofu ya mwenyezi Mungu, pia mara nyingi anaogopa katika suala la kutenda dhambi. Mwaminifu Hii ni kuanzia kuongea ukweli bila kudanganya hadi maswala ya chumbani. Iwapo mwanamke ana mchepuko mahali fulani ama anamwendea kinyume mpenzi wake, basi aina hii ya tabia haifai kabisa. Sifa ya mwanamke mzuri ni ile ambayo ni ya uaminifu. Mwanamke mwaminifu kwa mpenzi wake haitofika wakati fulani ambapo atakosana na mpenziwe. Heshima Heshima hai

FANYA HAYA MWANAMKE ATAKUPENDA KABLA YA KUKUTONGOZA

Image
Ushawahi kujikuta katika hali ambayo unashindwa kujua utaanza vipi kuongea na mwanamke? Ni mwanamke mzuri ambaye moyo wako unamtamani lakini akili yako inashindwa kutengeneza mawazo ya jinsi utakavyoanzisha stori na yeye. Unabakiwa ukimuangalia akikupita mbele yako, ama mbaya zaidi anakuja kuchukuliwa na wanaume wasiokuwa na thamani yeyote kwa maisha yake. Unabakia na majutio na mawazo ya "kama ningeweza kujiamini mbeleni si ningem...." Well, tatizo hilo halijawahi kutokea kwako pekee bali kwa kila mwanaume wakati flani katika maisha yake na hatutaki lijitokeze tena mbeleni. So chanzo cha wewe kutoweza kumtongoza huyu mwanamke ni kuwa akili yako ilikataa kutoa mazungumzo ambayo ungeweza kuyatumia kwa huyo mwanamke. Well, waonaje kwa mara moja tukubaliane na akili yako na tusitumie maongezi kuapproach mwanamke, na badala yake tutongoze kimya kimya? Kutongoza kimya kimya ni mbinu rahisi sana, mwanzo ni rahisi kwa kuwa unapata kujua kama mwanamke anakupenda au la. So bila ku

MAMBO 6 YA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO

Image
Watu Wengi Ambao Wako Kwenye Uhusiano Wanalalamika Kuwa Wenzi Wao Hawawaoneshi Upendo Kama Ilivyokuwa Siku Za Mwanzo Za Uhusiano Wao. Wanaeleza Kuwa Wanaona Uhusiano Wao Unalegalega Na Mapenzi Yanapungua Taratibu Kama Barafu Iyeyukavyo Juani. Ili Kuepuka Yote Haya, Hauna Budi Kujifunza Njia Za Kuwasha Upya Moto Wa Upendo Kila Wakati Kwa Kuongeza Ukaribu (Intimacy) Kati Yako Na Mwenzako. Zifuatazo Ni Mbinu Zitakazokusaidia 1. Kucheka Pamoja na mpenzi wako Kicheko Ni Mlango Wa Ukaribu, Kama Mwaweza Kucheka Pamoja Basi Mwaweza Kulia Pamoja, Na Hapa Mwaweza Kuaminiana Zaidi Katika Kuwasiliana Hisia Zenu, Kama Waweza Kuitofuta Furaha Katika Kila Kitu Basi Unaweza Kupenya Katika Vyote. Usiwe Mgumu Na Mwenye Msimamo Mkali Katika Kila Kitu. Jifunze Kujizuia Pale Unapoanza Kuelekea Kwenye Kukasirika Na Badala Yake Tumia Kucheka Kama Mlango Wa Kutokea. Kama Utaanza Kujizoeza Hivi Ukiwa Nyumbani, Taratibu Utaweza Ukiwa Ofisini Na Hata Kwingine Kokote. 2. Kutiana Moyo na mpenzi wako Kila M

JINSI YA KUONGEA NA MWANAMKE UNAYEMPENDA KWA MARA YA KWANZA

Image
Kuongea na mwanamke kwa mara ya kwanza ni rahisi. Unachohitaji ni mambo matatu tu. Kwanza ni kujiamini, pili ni kuwa na mistari, tatu nikufunga mchezo. Huu ndio mfumo ambao marafiki zako wengi wangeweza kukuambia pindi ambapo utawauliza jinsi ya kuongea na mwanamke. Hapa tunaamini kuwa kuongea na mwanamke kuna hatua na mchakato ambao unauhitaji kuufuata bila kuruka hatua hata moja. Lengo letu ni kuhakikisha ya kuwa hakuna hatua itakupita. Tutakupatia zana zote ambazo unahitaji kuzifahamu ambazo zinahusiana na wanawake. Ok, je wazifahamu njia ya kutumia hadi uanze kuongea na mwanamke? Zama nasi. Angalia usafi wako. Kabla hujachukua hatua yeyote ya kuongea na mwanamke hakikisha kuwa uko nadhifu. Kwanza piga mswaki, valia nguo safi na pia ukiwa na marashi jipulize. Hii itakusaidia kwa kuwa ukiwa mchafu basi hakuna mwanamke yeyote atakubali kuongea nawe. Pia hakikisha unapoamua kumuapproach unaangalia nguo ulizovalia. Je, nguo umevalia kinamna gani. Huwezi kuapproach mwanamke uongee

MAMBO YATAKAYOMFANYA MWANAMKE WAKO ASIKUACHE KAMWE

Image
Upendo ni kitu ambacho hakizuiliki. Napale patakaposhikilia ule upendo ipasavyo ndo husikii wala huoni utakaloambiwa juu ya akupendaye. Matendo mbalimbali yanayofanywa na wale wapenzi moja kwa moja huchochea upendo wa moyoni ambao hudumu milele, ndio hapo utasikia keshapewa madawa, mara mke wake kamkalia kila atakachoomba lazima apewe na mengine  mengi ambayo umekumbana nayo au kuyashuhudia kwa watu wengine. Moja kwa moja niende kwenye hivo vichochezi kama ifuatavyo: Kusikiliza na kua mshauri mwema kwa mwenzako. Iwe ni kuhusu familia yake au mipango yake ya baadae au kimasomo, kikazi na hata kibiashara. Ikumbukwe kuwa mafanikio ya mmoja ni chachu ya maendeleo mazuri  hata mtakapokua katika familia. Kujishusha panapotokea kutokuelewana (yaani kuwa mwepesi wa kuomba msamaha). Majibizano siku zote hayajengi hasa mnapokua mna hasira au mmoja kati yenu ana hasira. Neno ahsante ni dogo sana ila lina couragement kubwa saana, Ukipongezwa na hata unapopewa pole shukuru. Unapopewa chochote

WANAUME JIONGEZENI HIVI MNAPOKUWA FARAGHA

Image
Habari ya asubuhi wapendwa wetu karibuni tena katika darasa letu la mahusiano tujifinze mambo mbalimbali. Leo nitazungumzia mada ya wale wanaume wenye haraka ya kufanya mapenzi bila kumuandaa mpenzi wake. Kwanza mwanaune unatakiwa kujua umuhimu wa kumuandaa mwanamke wako pindi mnapokuwa faragha na sio mkishakutana tu basi umevua nguo zako na kuanza kuchomeka mashine yako. Kufanya hivyo sio sahihi kwanza tumia hata lisaa kuchezeana na mpenzi wako, anza kumuanda utakapomuona huyu tayari kashaanza kulegea chukua mashine yako na kumuingiza taratibu wala usitumie nguvu. Ule mchezo ndugu yangu ili uweze kuufaidi nenda nao taratibu wala usiwe na haraka utafurahia shoo na mpenzi wako kufika kileleni na wote kwa pamoja mtakuwa mmefurahia penzi. Sasa kuna wale wanaume wao wana haraka ya kufanya mapenzi kabla ya kuandaana huwa nashindwa kuelewa haraka zao zinakimbilia wapi? Maana mchezo akimaliza anakimbilia kulala ukutani unajiuliza ukuta ulikuwa unamuaharakisha au ni kipi aswa kilichokuw