Posts

Showing posts from June, 2019

YAJUE MADHARA YA KUTUMIA DAWA ZA KUZUIA MIMBA

Image
Watu wengi hasa vijana watakuwa wanafahamu dawa ambazo hutumiwa sana kuzuia ujauzito pale ambapo wapenzi wamejamiiana ndani ya siku za hatari. Dawa hizi zipo za aina nyingi ambazo zitozitaja hapa siku ya leo. Endapo wawili hawa wanakuwa hawapo tayari kupata mtoto, na wanaona kwamba siku walizojamiiana zitapelekea mwanamke huyo kutunga mimba, basi anaweza kutumia dawa hizi ambazo zinaharibu mazingira au uwezekano wa mimba kutungwa. Dawa hizi zinaweza kutumika ndani ya saa 72 tangu mwanamke alipojamiina, lakini ikumbukwe kuwa, kadiri unavyozitumia mapema, ndivyo uwezekano wake wa kuzuia mimba unavyozidi kuwa mkubwa. Licha ya kuwa watu wengi hutumia dawa hizi, ni wachache sana huchukua muda na kutaka kujua madhara yatokanayo na dawa hizo. Kwa ufupi tutaangalia madhara yanayoweza kutokana na dawa hizo. Hii haina maana kwamba, ukiitumia, basi ni lazima madhara haya yote yatakayojadiliwa hapa yakutokee, bali yanaweza kutokea baadhi au yasitokee kabisa. Dawa hizi husababisha madhara kwa

WATU WANAOONGOZA KUVUNJA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Image
Katika mahusiano ya mapenzi pamoja na kuwapo kwa sababu mbalimbali zinazochangia mpenzi mengi kufa lakini zipo sababu nyingine ikiwemo watu wanakuzungukua huwa ni chanzo cha kufa kwa mahusiano ya kimapenzi kufa. Wafutao ndiyo watu wanachangia kufa kwa mahusiano; Wapenzi wa zamani. Hili ni grupu la kwanza la watu wanaovunja mahusiano ya watu wengi na kama sio kuvunja basi kupelekea ugomvi,,usipende kuwa na mawasiliano na ma ex wako hata kama mliachana pasipo na ubaya wowote maana mpenzi wako anapogundua kuwa unawasiliana nae hii inajenga wasiwasi ndani ya moyo wake na wengi hawapendi. Wafanyakazi wenzako.  Hawa nao ni watu unaoweza kuwachukulia kawaida kwasababu tu unafanya nao kazi lakini hawa pia wanachangia,,,utasikia fulani twende lunch,,siku ya kwanza,ya pili,ya tatu mwisho wa siku mnapanga kutoka dinner na mwisho wa siku unamcheat mpenzi wako bila kutegemea. Majirani. Hawa nao ni watu ambao sio wazuri kwasababu ya maneno,,huyu leo atazusha hili kesho lile,,na kwa upande mw

NAMNA MSONGO WA MAWAZO UNAVYOLETA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI

Image
Namna msongo wa mawazo unavyoleta tatizo la kuwahi kufika kileleni Hali ya mfadhaiko inasemwa kutokea wakati ubongo unapokabiliana na tatizo la mvurugiko wa akili na kujikuta ukishindwa kuendana na hali zingine zinazohitaji umakini kwa wakati mmoja. Jambo hili linaweza kuuteka ubongo na kudhoofisha uwezo wake. Hatimaye hali hii ya ufadhaikaji katika ubongo inaweza kutengeneza dalili tofauti ambazo zimepachikwa majina mengi kwa mjibu wa sampuli tabia za nje anazozionesha mtu. Idadi kubwa zaidi ya watu wanazidi kupatwa au wanategemewa kupatwa na aina fulani fulani za mifadhaiko. Baadhi ya aina za mifadhaiko ni hali za asili katika hatua za maendeleo na kukua kwa mtu. Kwa bahati mbaya, baadhi ya watu uwezo wao ni mdogo kushughurika na woga, wasiwasi na hamaki zinazohusiana na mifadhaiko. Kwa bahati mbaya tena wanapotafuta msaada wa kitaaluma, wanapewa aina fulani za madawa. Jina langu naitwa Fadhili Paulo. Endelea kusoma … Kuna uhusiano wa moja kwa moja wa tatizo la kuwahi kufika

HUWEZI AMINI HUYU NI MWANAMKE SHOGA TAJIRI HUKO NIGERIA ANAITWA BOBRISKY

Image
Shoga maarufu kutoka pande za +234 , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillion ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike. Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo. Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos state Muonekano wa zamani kabla hajabadili muonekano wake

SIFA NA TABIA ZA WANAUME KATIKA MAHUSIANO YA KIMAPENZI

Image
Zifutazo ndizo sifa walizanazo wanaume katika ulimwengu wa wapenzi na nahusiano: 1. Ukimkuta handsome, mawazo yake yanakuwa ni ya kitoto 2. Ukimkuta genius…yuko serious masaa 24 na wengi huwa hawako romantic, hawajipendi kihiivyo, wako rafu mno. 3. Ukimkuta tajiri, hawezi kukuheshimu utamkuta madharau, utamwambia nini wakati hela anayo bana. 4. Ukimkuta mfanyakazi hodari na mtafutaji, hana muda wa kuwa na wewe yeye  muda wote anawaza kazi na kutafuta maisha 5. Ukimkuta mnyenyekevu…mfukoni huwa 0%. 6. Ukimkuta anayependa kwa dhati…anakuwa siyo type yako..hana pozi zile unazozitaka. 7. Ukimkuta msomi hasikilizi ushauri wako..anakuona boya tu. 8. Ukimkuta yule smart ni muongo to the maximum na player So ushauri kwa wadada kwenye kuchagua embu sikiliza moyo wako unataka nini… na shukuruni kwa kila jambo, toka anguko la Adam hakuna mtu perfect..hata wewe hauko perfect.

MAMBO AMBAYO WANAWAKE WANAPASWA KUYAZINGATIA KABLA NA BAADA YA NDOA

Image
Naomba kuleta kwenu mambo ambayo naamini ni muhimu kuyatafakari na kuyapa uzito wenye kustahili. Yafuatayo ndiyo mambo ambayo unapaswa kuyazingatia kabla na baada ya kuolewa: 1. Kujitambua Kila msichana aweze kutambua nini kinamfanya kuwa mwanamke. Kwa maana kama ni maumbile hiyo ni default settings, kama ni kuzaa mwanaume haendi leba, sasa ni nini kinakufanya kuwa mwanamke? Kujitambua, kujiheshimu na kuwajibika. Nyumba yenye mwanamke anayeheshimika ni Baraka na nyota njema. Nyumba yenye mwanamke asiyejiheshimu na kuheshimika huwa haitamaniki, wewe wataka kuwa yupi kati yao? 2. Kila mwanaume ni tofauti 'wanaume wote ni wale wale tu'' Ni vibaya sana kumchukulia mwanaume sawa tu na wengine (hata kwa rafiki wa kawaida tu). Kuwa unajua au umesikia sifa mbaya za wanaume flani na flani, au umewahi kuwa na mahusiano na ukaona sifa mbaya kadha wa kadha za huyo, ukaja ukampata mwingine harafu unamchukulia ni sawa na hao wengine tu. (kosa kubwa sana) Kila mwanaume ana sifa zake

HATUA 6 ZA KUCHUKUA ILI KUANZISHA MAHUSIANO MAPYA

Image
Kuanza mahusiano mapya mara tu baada ya kuachika au kuachana na mwenzi wako ni jambo ambalo linahitaji umakini wa hali ya juu. Hii ni kutokana na ukweli kwamba, kukurupuka kuanzisha mahusiano mapya nijambo ambalo laweza kukupelekea kua mtu wa kubadilisha wapenzi mara kwa mara. Kuachana kupo, matatizo yanatokea, lakini, kwa kuendekeza mambo ya kukurupuka mtu anawez jihisi ana mkosi kwamba hadumu katika mahusiano, kumbe tatizo lipo katika mfumo wake mzima wa kujiingiza katika mahusiano. Wengi, wanapotaka kuanzisha mahusiano mapya huwa na uwoga, kwamba makosa yasijirudie, au wengine huofia kupotezewa muda. Hivyo huwa wanajiuliza, waanzishe mahusiano mapya, au wapotezee kwani ni mapema sana. Ukweli ni kwamba hakuna wa kukulaumu kwa uamuzi wowote utaochukua sababu ni mambo yanayoeleweka, mapenzi hayana fomula. Na wengi hujiuliza nisubiri muda gani ili kuanzisha mahusiano mapya, ukweli ni kwamba hakuna muda maalum. Mambo yote hutegemea utayari wako. Makala hii itakujuza mambo ya kufany

MBINU ZA KUJIWEKA ILI MWANAUME AWEZE KUKUTONGOZA

Image
Je umekuwa ukijiuliza kwa nini haukuwi approached na wanawaume kama unavyotaka? Blog ya Nesi Mapenzi imeamua kukuandalia mbinu na maujanja ya kutumia ili uonekane mwanamke ambaye anaweza kufukuziwa na mwanaume kwa urahisi.  Owk.... Kando na itikadi ambazo umekuwa ukifikiria, kuapproachiwa ama kufukuziwa na mwanaume si gemu ya bahati nasimu ambayo mtu anaingojea ijitokezee. Na pia kando na itikadi nyingi za wanawake wanazozifikia, si lazima ufanye kitendo kikubwa ama cha inadi ili mwanaume aweze kukutongoza. Ukweli ni kuwa, kama unaielewa akili ya mwanaume na jinsi inavyofanya kazi kabla ya kuapproach mwanamke, unaweza kumfanya mwanaume yeyote kutaka kuongea na wewe dakika tano atakapokuja katika himaya yako. So mbinu zenyewe ndizo zipi? Zama nami... Njia za kujiweka ili mwanaume apate nafasi rahisi ya kukutongoza Kwanza jiweke nadhifu Hii ni muhimu katika yote kama wataka mwanaume akutambue. Mwanaume kitu cha kwanza anachokiangalia huwa ni mwonekano wa mwanamke. Mwanaume anap

UMUHIMU WA KUSEMA SAMAHANI KATIKA MAHUSIANO

Image
Wanapokuwa watu wawili kwenye mahusiano, lengo lao linakuwa ni moja ambalo ni kupendana. Lakini kuna misunderstanding ambayo huwa hahikosi kwa wawili hawa hata kama ni wakamilifu kiasi gani. Cause no one who is perfect always!! Ila kuna jambo ambalo huwa lipo katikati yao pia ambalo ni kuelewana, na safari inaendelea. Kwenye mapenzi kuna njia tofauti ambazo zinaweza kuonekana kutatua migogoro inayojitokeza ikiwa ni pamoja na kutumia washauri, lakini kuna dawa moja kubwa sana katika mahusiano na mapenzi kama to say am sorry, samahani ni neno dogo sana lakini matokeo yake ni makubwa sana. Kusema samahani haimaanishi wewe ni mjinga, au hauna akili au wewe ndio ni mwenye makosa. Samahani inapunguza mabishano na maneno mengi, inarudisha maelewano ndani ya nyumba. Inahitaji moyo husiobeba visasi, ina maana kutopiliza kisasi kwa lililotokea hapo awali. Lakini kwa kuliongelea swala hili ni rahisi sana lakini kwa kulitenda ni vigumu sana, fikiria kama wewe ndio umemkosea mpenzi wako alaf

HAPA NDIPO MAPENZI YANAPOKUWA MAGUMU... NIMEGUNDUA

Image
Nimeona tu hili niliseme mana week ya 2 hii akili haijakaa sawa, nina mchumba ambaye huyu dada nlimpenda toka tukiwa natukua hapa hapa mtaanibasi ikafikia hatu sasa tumekua nataka kuoa. Nikamtafuta nikamwelekeza akanikubalia now ni mchumba wangu. Ikatokea nimetembelewa na jamaa yangu wa mtaani katika maongezi nikamwambia nataka kuoa akasema ni jambo zuri akapenda amwone shemeji. Nikamwonesha picha akachea sana yaani akacheka mpaka machozi yakamtoka akanambia unataka kumwoa huyu kicheche? Nikashtuka kidogo, anasema anamfahamu vizuri huyo msichana, yeye alishapiga kipindi msichana yupo form 2 amechezea sana mpaka alipofika form 3 ndo akaachana naye alipogundua anatoka na jamaa yetu wa mtaani mwingine ambaye walikuwa wanapenda kumuita Etoo sababu yeye alikuwa anajiita ni striker kwa wasichana, akanambia anamfahamu ndani nje ana alama kidogo chini ya kalio la kushoto aliumia siku moja wakiwa wote kwenye jumba bovu, yule dada kweli anayo hii alama. Nikamtafuta striker kwa maongezi ya ka

MAMBO YA KUZINGATIA IWAPO UNATAKA KUSHIKA MIMBA

Image
WanaWake wengi wanapenda kushika mimba lakini baadhi yao hawashiki. Sio kwa mapenzi yao, hivyo leo tutashauri nini cha kufanya ili upate mimba. Mayai ya mwanamke ni mojawapo ya viungo ambavyo vimeshatengenezwa kabla hata mwanamke hajazaliwa, yaani tangu akiwa tumboni mwa mama akiwa kiumbe kiitwacho kitaalamu fetus. Haya mayai yanakuwa tayari pale msichana anapopata hedhi  yake ya kuanzia akiwa na miaka kati ya 12 mpaka 14 hadi pale atakapofikia kikomo cha kupata hedhi kitaalamu huitwa menopause menstruation. Ukomo wa hedhi ni kuanzia miaka 51 mayai yake na fertility yake hupungua anavyozidi kuzeeka. Yaani katika ujana wake, akiwa na miaka kuanzia miaka 14  ni muda ambao ni rahisi kutunga mimba. Kuanzia miaka 30 had 51 uwezo huo unapungua kwa kiasi kikubwa mpaka unapoisha kabisa. Wakati kwa wanaume wao huanza kutoa mbegu pale anapobalehe na huwa hivyo hadi siku ya mwisho wa maisha yake. Hii inamaanisha kama mwanaume akiwa katika hali nzuri ya kiafya anaweza kumpa mimba mwanamke hata

UKIONA UNATONGOZWA NA KILA MWANAUME JUA UNA MATATIZO

Image
Kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakijiona kuwa wao ni wazuri zaidi na ndio maana wanatongozwa na watu wengi kila kukicha. Ukiona unatongozwa na watu wengi jua una tatizo usijisifu wewe ni mzuri kuliko wengine naomba nikupe ukweli. Hata hao wazuri hawatongozwi ovyo ovyo. Kama wewe ni mwanamke unayejitambua unatakiwa kukataa hiyo tabia kwani tafsiri yake haina tofauti na ule msemo wa maharage ya mbeya. Haiwezekani wewe ambaye unajiheshimu ukatongozwa hovyo hovyo yaana wauza supu wamo, wauza dagaa mtaani wamo, fundi gereji yumo, muuza karanga yumo, muuza mitumba yumo, muuza duka yumo, dereva taksi yumo hao wote wanakutaka wewe jiulize. Jitafakari hapo utakuwa una shida kwanza angalia na aina ya watu wanaokutongoza mpaka ujione wewe unapendwa sana. Alafu kutongwa sana sio kwamba wewe ni mzuri wameshakuona wewe ni demu mdebwedo. Yaani ni mgawaji kwa urahisi na ndio maana wanakufuata kila mtu ili ajipatie asepe zake. Wanaume wa mtaani huwa wanasimuliana asikuambie mtu hasa kwa hawa

HATUA ZA KUMTONGOZA MWANAMKE BILA YEYE KUKATAA

Image
Kuapproach wanawake wakiwa katika kikundi ni jambo gumu sana kwa mtu yeyote kutimiza. Hata kwa wale ambao wanajiamini mbele ya wanawake inafikia wakati flani wanapatwa na changamoto moja au nyingine. Lakini kama kawaida mambo kama haya yanaeleweka kwa kuwa unaaproach wanawake wengi wakati mmoja na pia kunaweza kutokea maswala mengine ambayo yanaweza kujeuka changamoto kwako. Kuapproach wanawake wakiwa kwa kikundi si sawa na kubadilisha gemu ya kutongoza mwanamke mmoja bali ni mbinu tofauti kabisa ambayo inahitajika kutumika. Mbinu ambayo lazima uijue na kuielewa. Kwa nini unahitajika kujua kutongoza wanawake katika kikundi Jambo muhimu ambalo unapaswa kujua wakati unapoapproach wanawake kwa kikundi ni kuwa unaaproach kundi zima, na wala si mwanamke mmoja ambaye unataka kuongea naye. Kama unaaproach kwa kikundi, ni vyema uende pekeako. Mkiapproach kama kikundi mnaweza kuonekana kuogopesha na wanyemelevu, hivyo ni vizuri zaidi kama marafiki zako watangojea kwa dakika, ili uweze kuwat

ATHARI ZA KIAFYA ZA KUTOKUNYWA MAJI YA KUTOSHA

Image
W ATU  wengi wanadharau maji ya kunywa, wanaona kula ndio muhimu kuliko kunywa maji. Wanaona vinywaji vingine ndio bora kuliko kunywa maji. Hawajui ni hasara kubwa kiasi gani wanajisababishia katika miili yao kwa kutokunywa maji ya kutosha. Ni wengi ambao hawathamini maji ya kunywa kabisa, wengine huweza kushinda siku nzima bila kunywa maji jambo ambalo ni hatari kwa maisha yao.  Leo tutawaletea athari kubwa za kutokunywa maji au kunywa kidogo. Kutokunywa maji hufanya ngozi kuwa kavu na kuleta makunyanzi mwili mzima na huua nuru ya macho na kusababisha matongotongo mengi machoni na kufanya wekundu na utando machoni na kusababisha kutokuona vizuri na kulazimika ufikiche jicho ndio uone. Pia kutokunywa maji husababisha chunusi usoni na mwilini, mgongoni, mapajani, mabegani, makalioni na hata shingoni. Kama huna maji mwilini uchafu au sumu inabakia katika figo na husababisha kuua figo ambazo zinahitaji maji ili kutoa uchafu unaojikusanya ndani yake. Uchafu unaobakia huleta madhara makub

STAILI 4 ZA KUFANYA MAPENZI ZITAKAZOKUFANYA USIFIKE KILELENI MAPEMA

Image
Kama mwanaume uliekamilika kabisa ,kitendo cha kufika kileleni mapema sana huonekana kama udhaifu na ni aibu kubwa sana kufika kileleni kabla ya mpenzi wako.Kama unatatizo kama hili basi ondoa wasiwasi kuna namna nyingi za kuweza kujizuia usiweze kumaliza mapema kitandani. ""Wanaume wote wana mbinu mbalimbali za kuwasaidia wasifike mapema kileleni,mfano kufikiria mawazo mengine wakati wa kufanya mapenzi mfano:mpira wa miguu, mpira wa kikapu ""anasema A.L. Harper mtaalamu wa masuala ya kimapenzi kutoka  Uingereza. Hata hivyo mbinu kama hizo huwafanya wasiwaridhishe wapenzi wao kwa sababu ya kuhamisha umakini kutoka kwa wapenzi wao na kwenda katika mawazo mengine kwa lengo la kuchelewesha kilele. Basi kama unahamu na unania nzuri ya kufahamu mbinu hizo za kuweza kuchelewa kufika kileleni basi soma hapa live nimekuandalia zitakusaidia sana. 1.PIGA PUNYETO KABLA YA KUFANYA MAPENZI Hii itakusaidia kuondoa wanajeshi ambao  wako karibu zaidi  na ambao wana haraka ya

JINSI YA KUMALIZA MGOGORO NA MPENZI WAKO

Image
LEO tunaangalia mada muhimu sana katika mapenzi, nachambua juu ya migogoro ambayo inaweza kutokea kati yako na mwenzio, je, unaimalizaje? Katika uhusiano wowote, lazima wakati mwingine kutokee kutokuelewana,  vivyo hivyo katika uhusiano wa mapenzi lakini tatizo si migogoro, bali ni jinsi gani unavyoweza kutatua migogoro uliyonayo. Hebu jibu swali hili, umewahi kugombana, kulumbana au kuwa na migogoro na mpenzi wako? Jibu lako litakuwa mwanga wa kuwa na uelewa wa kutosha katika vipengele vinavyofuata. Sasa tuanze moja kwa moja kwa kufahamu maana ya migogoro na malumbano. MIGOGORO Ni maneno matatu yenye maana zinazokaribiana, ingawa ukweli ni kwamba yana maana tofauti kidogo! Mnaweza kuwa na mgogoro na mwenzi wako lakini yasiwepo malumbano. Kwamba inawezekana mpenzi wako amekukosea na ukawa mwanzo wa migogoro katika penzi lenu, lakini kutokana na uelewa wako na kukubali kosa mapema ikiwa ni pamoja na kuomba radhi, kukawa hakuna malumbano na mambo yakawa sawa. Wakati huo huo, pia kunaw

FAHAMU JINSI YA KUMTONGOZA MWANAUME BILA KUKUSTUKIA

Image
Kutongoza ni sanaa ambayo baadhi ya wanawake wako nayo na wengine hawana. Je ushawahi kukutana na mwanamke ambaye anaweza kumpata mwanaume yeyote bila tatizo? Tumekuandikia mwongozo wa jinisi ya kumtongoza mwanaume bila kuonekana kama unafanya hivyo. Kabla haujaijua sanaa hio, lazima ufahamu jinsi ambavyo wanaume wenyewe hutongoza. Kwanza ni kuwa wanaume kwa kawaida hupenda wanawake wanaovutia. Hii inatumika kwa mwanaume yeyote yule. Tabia zao ni moja. So ukitaka kuteka atenshen ya mwanaume, lazima ujue jinsi ya kuvutia. Pili lazima ujue kuwa wanaume hawawezi kutongoza kila mwanamke. Kutongoza si kitu rahisi. Wanaume wengi huogopa kuanza mazungumzo na mwanamke. Wengi wataweza kukutongoza iwapo tu utatoa ishara ya kuwa unataka kutongozwa. Sababu kuunya wanaume kushindwa kuapproach wanawake hivi hivi ni kuogopa kukataliwa na mbaya zaidi kuwa na sifa za mwanaume zege asiyekuwa na bahati kwa wanawake. So, utaanzaje kumtongoza mwanaume bila kuonekana kama unamtogoza ili umpatie ile isha

NISHAWAHI KULALA NA WANAUME 5000

Image
Msichana ambae anadai kuwa yeye ndie malikia wa machangudoa nchini Ghana ameweka wazi kuwa amewahi kulala na zaidi ya wanaume 5000 ili kupata pesa ambazo zilimsaidia kuishi maisha ya kifahari. Amedai kuwa watu wengi wamekua wakikosa imani nae kwakua alikua ananukia miti shamba kutoka nchi Ivory Coast ambazo alikua anapaka kwenye sehemu zake za siri wakati akiwa anafanya mapenzi, anadai kuwa alikua msafi sehemu hizo. Kwa ushuhuda wake, amedai kuwa hakuweza kusikia maumivu baada ya kulala na wanaume 20 kwasababu ya dawa alizokuwa anatumia  kwani zilifanya sehemu zake za siri kuwa tight. Muhudumu huyo wa zamani wa club anadai wengi aliowahi kulala nao walikua wanamlalamikia juu ya wake zao kuwa wachafu. Mama huyo wa machangudoa amefunguka kuwa alikua anavaa smart na kuwa msafi muda wote na wateja wake (boyfriends) wakiwa wanakuja wanamkuta msafi . Kwa maoni yake, baadhi ya wanawake waliolewa ndio wanawapa wanaume sababu za kuwasliti kutokana na tabia zao, nakuongeza kuwa wanarel

WANAWAKE WAMEWAZIDI WANAUME KWA MAMBO HAYA 10

Image
Na Melkisedeck Shine. 1. Wana Nguo Nyingi KulikoWanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba HalisiWa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda NaWakipenda Hupenda Kweli. 4.Wanaoga Mara Nyingi Zaidi KwaSiku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana Uwezo Wa KubadilishaTabia Ya Mwanaume Muda Wowote. 7.Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote. 8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria WakitakaKutoka. 9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi. 10. Hawapendi pesa

JINSI YA KUTAMBUA KAMA MWANAMKE ANAKUCHUKIA

Image
Watu wengi ambao wanatutembelea inbox yetu mara nyingi wanakuwa na maswali ya kutaka kusaidiwa kumpata mwanamke wa ndoto yao. Utapata mmoja anakueleza kuwa amekuwa akimfukuzia mwanamke huyu kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa bado hajapata picha kwa nini hajafaulu. Mistari yuko sawa, sanaa ya kutongozea yuko sawa…yaani yuko sawa kwa kila kitu. Lakini tatizo linakuja pale ambapo mwanamke hatoi jibu sahihi. Mara anasema kesho mara kesho kutwa ama hajibu texts zako nk. Wengi wakija na tatizo kama hili tunawaelekeza watoe wanawake hao deti wakutane ili wazungumze ana kwa ana badala ya kutumia text. Na matokeo mara nyingi wanarudi na kusema kuwa wameona kuna hatua ambayo inaonyesha matumaini. Kwa bahati mbaya, kuna baadhi ambao wanarudi na kuanza mada ile ile ya kuwa mwanamke huyo bado hamuelewi. Well, tulikaa chini na paneli yetu ya Nesi Mapenzi tukajadiliana na tukaona ni vyema kuja na hoja ya kutambua iwapo mwanamke anakuchukia wakati unapomtongoza. Hii itapunguza wakati ambao utakuwa unam

MAMBO 10 YA KUMFANYIA MWANAMKE KATIKA MAHUSIANO ILI KUMFURAHISHA

Image
Hakuna kitu chenye thamani kubwa kwa msichana yeyote yule  kama kumfanya mtu huyo afurahi, hivyo kila wakati mwanaume unatakiwa kumfanya mpenzi wako afurahi ili uwezo kuongeze asilimia nyingi za upendo kutoka kwake kuja kwako. Yafautayo ndiyo mambo ya kufanya ili kufurahisha mwanamke katika mahusianao ya mapenzi; Mtanie  Unapoongea na msichana, ni rahisi sana kumfanya na yeye aongee na wewe hatakama hakupenda mwanzo. Lakini hiyo haitoshi. Kama unataka kujua ni jinsi gani ya kuongea na msichana/mwanamke, utapaswa kumfanya yeye ajisikie huru na mwenye kujiamini(confortable), lakini pia mfanye ajue kuwa unampenda hatakama haujamwambia. Kumbuka, kama utaongea nae kama rafiki, lazima awaze na ajue kuwa wewe ni mwanaume noma sana(great guy), lakini hatahisi kwamba wewe ni mwanaume unaeweza kumchangamsha au kumfurahisha. Ili kuonekana kama mwanaume anayefurahisha kwa mwanamke yeyote, inatakiwa akuone kama mtu muhimu wa kukutana nae, na ili kufanya hivyo, msukume sukume hata bega katikati

TAHADHARI KWA WADADA MNAOPENDA KUVAA SHANGA KIUNONI

Image
Bwana Yesu asifiwe!!! Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi. Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo: Kuharibu au kuiba nyota za watu Kuwafunga wanawake uzazi Kuwaunganisha na mtandao WA kuzimu Kuvuruga mfumo WA hedhi WA wanawake Kuwafanya wanawake kuwa makahaba, kwa sbb unatamani kukutana na wanaume wengi ili wakujue km unavaa shanga na unazitumia Kuwafunga kimafanikio Kuwafanya wasidumu kwny ndoa wanapoolewa. Kuwafanya wafikirie ngono zaidi. Sasa unaweza usinunue kwa mganga lakn aliyetengeneza ni mganga au agent WA shetani. Ww unaweza kununua kwa MTU na ukamwona WA kawaida, au yeye anaeuza yamkini hajui lakn alyetengeneza alikuwa na kusudi. Unahitaji kuwa makini sana Dada zangu na vitu vinavyovaliwa sirini. Ni unap

MWANAUME AMWOA MWANAUME MWENZAKE BILA KUJUA

Image
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua. Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike. Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake. Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.

MWANAMKE AKIWA NA SIFA HIZI HAFAI KUWA WAKO

Image
1) Mwanamke anavuta shisha au sigara: unamkuta most of the time yupo kwenye vile vijiwe vyao vya kuvuta halafu wahuni kibao wamejaa mule, sometime hata drugs wanachanganya mule kwenye kile kibobo chao. Aisee dada zangu mnaotumia halafu wengine mnapost mpaka mtandaoni kama vile mnakula chakula mimi nimesha wa disqualify. 2) Mwanamke anapenda kupiga picha angali zaidi ya 90% ya body yake ipo wazi halafu anapost kwenye mtandao wa kijamii huyo hafai. Nimesema 90% ipo wazi ina maana 10% iliyofichwa na nguo ni hapo katikati na hapa juu sehemu nyingine zote wazi. Hapo utanisamee dada. 3) Kuna wengine unakuta wamejaliwa ila wakitembea utasema wanacheza 'full kujitingisha' mimi nikiona hivo ni first disqualification. 4) Tabia ya kujiachia sanaaa kwenye maeneo ya starehe kama club, beach na sehemu kama hizo za entartainment. Kuna ile kujiachia kawaida hiyo inaruhusiwa ila kuna ile unakuta demu every time anakuwa anazungumzia hayo maeneo zaidi ya kuzungumzia mambo yenye faida, huyo h

ZIJUE MBINU 10 ZA KUPATA WATOTO MAPACHA

Image
Watu wengi hutamani kupata watoto mapacha,hii ni zaidi kwa upande wa wanawake. Kuna imani nyingi pia juu ya upatikanaji wa mapacha lakini kwanza kabisa ni muhimu kujua, nini hutokea hadi mtu anazaa watoto Mapacha? Wataalamu wanasema, kinachotokea ni kwamba wanawake wenye asili ya mapacha kutoka kwenye vinasaba wanatoa mayai mawili kwa Kipindi kimoja. Hivyo, kinachotokea, mayai yote yanarutubishwa na mbegu za mwanaume pindi wanapokutana kimwili na hii ni kesi ya mapacha wasiofanana. Kwa wengine ambao huzaa mapacha wanaofanana, kinachotokea ni kwamba yai la mwanamke moja likishaungana na  mbegu ya kiume linagawanyika mara mbili au tatu au hata nne na zaidi. Hapo ndio watoto mapacha wenye kufanana wanatokea wawili, watatu na hata kuendelea. Wanafanana Kwasababu ni mbegu moja na yai moja linalotumika kwa watoto wote. Kwa mwanaume inawezekana kusababisha mapacha endapo  mwanaume mbegu yake moja iwe na viini viwili, hivyo ikiingia kwenye yai la mwanamke kila kiini kimoja mi mtoto mmoja