Posts

Showing posts from January, 2021

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu

Image
Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala That Gal ya Rosa Ree Yawa 

Amemkuta mke wake ana ujauzito wa wiki tatu wakati hakuwepo miezi miwili

Image
  Ndudu wana jukwaa ni kwamba ni rafiki yangu ambaye kazi yake ni mvuvi wa samaki, amekuja kwangu kuomba msaada wa kimawazo kuwa yeye alitoka kwenda kuvua samaki, familia yake akawa ameiacha, Alimuacha mke wake na mtoto wake mmoja, huko alikaa miezi miwili na baada ya kurudi tuu alimtilia mashaka mke wake kuwa amehamisha penzi kwa mwanamume mwingine na alipofika tuu mke wake alimpeleka kupima mimba. Baada ya kufanya kipimo, mimba kama ya wiki tatu ilionekanajamaaa alikosa nguvu na baada ya hapo kaja kwangu kuomba ushauri na mimi nimemwabia tu kitanda hakizai haramu

Tahadhari Kwa Wadada Mnaopenda Kuvaa Shanga Kiunoni...

Image
  Bwana Yesu asifiwe!!! Wanawake wengi wanapenda kuvaa shanga kiunoni wakiamini zinawavutia wanaume wengi katika mapenzi. Napenda kutoa tahadhali kwa wanaopenda kuzivaa hasa kiunoni kuwa asilimia 80% ya shanga zinazouzwa zikiwa zimeshasokotwa zinatengenezwa na waganga WA kienyeji au watu ambao ni mawakala WA shetani na kuzinuizia mapepo kwa malengo yafuatayo: Kuharibu au kuiba nyota za watu Kuwafunga wanawake uzazi Kuwaunganisha na mtandao WA kuzimu Kuvuruga mfumo WA hedhi WA wanawake Kuwafanya wanawake kuwa makahaba, kwa sbb unatamani kukutana na wanaume wengi ili wakujue km unavaa shanga na unazitumia Kuwafunga kimafanikio Kuwafanya wasidumu kwny ndoa wanapoolewa. Kuwafanya wafikirie ngono zaidi. Sasa unaweza usinunue kwa mganga lakn aliyetengeneza ni mganga au agent WA shetani. Ww unaweza kununua kwa MTU na ukamwona WA kawaida, au yeye anaeuza yamkini hajui lakn alyetengeneza alikuwa na kusudi. Unahitaji kuwa makini sana Dada zangu na vitu vinavyovaliwa sirini. Ni unaponunua ukaziko

Nampa Kila Anachostahili Mke Wangu Lakini Sina Amani na Ndoa yangu....

Image
  Mke wangu nampenda sana kila anachotaka nampa. Yeye ni mwalimu wa msingi. Uwezo wangu wa kifedha si mkubwa lakini nimejitahidi hadi nimemnunulia walau kigari cha kuendea kazini katika jitihada za kumfanya nae ajisikie vizuri mbele za watu. Mshahara wake ni chini ya laki 5 lakini huwa namwekea mafuta ya shilingi laki 3 kwa mwezi ili aende kazini. Nampa matunzo yote anayotaka kama mke wa ndoa anavyostahili. Kinachonisikitisha ni dharau anazonionyesha ndani ya nyumba. Akiamua kunitukana inachukua siku tatu kumaliza matusi. Nyumba haina amani naishi kama mhamiaji haramu. Kuna wakati ananiangalia tu na kunisonya bila kumkosea chochote. Anadai nikisafiri anaishi kwa amani nikirudi anakereka. Kwa kifupi mimi huwa ni mara chache huwa najibizana nae ninapozidiwa na hasira lakini mara nyingi hukaa kimya. Nimejaribu kujiuliza ni wapi nakosea sipati jibu. Natunza familia vizuri, unyumba nampa, sina vimada na wala hajawahi kunihisi. Tatizo ni nini? Nisaidieni wadau niishije na huyu mke? Akiugua a