Posts

Showing posts from April, 2019

Sababu yatajwa wanaume wengi kukosa nguvu za kiume

Image
Serikali imetaja sababu ya wanaume wengi kukosa nguvu za kiume. Ambapo ugonjwa wa Kisukari pamoja na msongo wa mawazo vimetajwa kuwa ndiyo visababishi vikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume. Tatizo la wanaume wengi kukosa nguvu za kiume limekithiri sana na Serikali inatambua uwepo wa dawa za kuongeza nguvu za kiume dawa zisizo na kemikali ambazo hazijatangazwa rasmi. Hayo yameelezwa jana Bungeni na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga taifa, Dk Hussein Mwinyi aliyekuwa akijibu swali lililoulizwa na Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga alihehoji sababu ya wimbi kubwa la wanaume kukosa nguvu za kiume na kupelekea uwepo na uhitaji mkubwa wa dawa hizo. Waziri Mwinyi ambaye alijibu swali hilo kwa niaba ya Waziri wa Afya Maendeleo ya jamii jinsia na watoto Ummy Mwalimu amesema kuwa kuna sababu nyingi zinazochangia kupungukiwa na nguvu za kiume. Aidha, Serikali inatambua uwepo wa dawa kwa ajili ya wanaume ambazo hazina kemikali na ameonya matumizi ya dawa ambazo hazijafanyiwa utafiti

Yupi Anayefaa, Tajiri ila Hana Muda na Mimi au Mwenye Uwezo wa Kawaida ila yupo Nami Muda Wote

Image
Kama kichwa cha Habari kinavyojielezea mimi ni binti mrembo tu Nina kaxi yangu nzuri Namshukuru Mungu, nimepita kwenye mahusiano kadhaa changamoto hazikosekani Nimekutana na wenye uwezo wanaoweza kanipa Nitakacho na wenye uwezo wa kawaida tu. Nilichojifunza ni kwamba Unaweza kuwa kwenye mahusiano na mtu Anaejiweza akakupa kila utakacho ila hana muda na wewe hamna out wala muda wa kukaa mkayajenga hata mazungumzo ya kawaida maana mimi ni mpambanaji Mkikutana ni show basi siku zinaenda mwaka umekatika hamna la maana na sio kwamba anamahusiano mengine Hapana ingawa Mwanaume huwezi msemea ila ni mtu ambaye uko nae huru ila yuko busy muda wote hawezi kujenga muda kwa ajili yako ila muda wa kufanya mengine kama kwenda Bar, karaoke nk anao Pili Mwanaume Ambae hawezi kukuhudumia kwa chochote mnapata muda wa kuzungumza kushauriana kupanga Mambo ya maendeleo ingawa hamuwezi kwenda out nk kutokana na kipato ila mapenzi mnayafurahia hata kwa kukaa ndani tu coz mimi sio mtokaji na haijawahi ku

Ni Kweli Wanawake Wamewazidi Wanaume Kwa Mambo Haya 10?

Image
1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli. 4. Wanaoga Mara Nyingi Zaidi Kwa Siku. 5. Wana Huruma Sana Ingawa Mara Nyingi Huwa Inawaponza. 6. Wana Uwezo Wa Kubadilisha Tabia Ya Mwanaume Muda Wowote. 7. Wana Uwezo Wa Kuishi Na Kupendeza Bila Kuwa Na Kazi Wala Biashara Yoyote. 8. Kwao Nywele Na Kucha Ndo Vitu Vya Kwanza Kufikiria Wakitaka Kutoka. 9. Wana Uwezo Wa Ku-Pretend Kwa Muda Mrefu Zaidi Hasa Kwenye Mapenzi. 10.Tupia Nyingine Unayodhani Nimeisahau... 

Makosa yanayofanywa na wanaume katika mahusiano

Image
Kuna mambo ambayo mtu anaweza kufanya pasi na kujua kuwa anafanya makosa. Ikija katika masuala ya mahusiano, wanaume wengine huchukulia kama mzaha. Wakishafaulu kutongoza na kumteka hisia mwanamke, wao hujisahau na kuanza kuishi nao kama mtu wa kawaida. Leo tumekuja na ujuzi wa kukuonyesha makosa ambayo unaweza kuwa unayafanya bila kujua kuwa yana athari. Kiufupi ni makosa ya kijinga ambayo yanaweza kuepukika kirahisi iwapo utayafuatilia. Hii ni muhimu kwa kuwa ukiachana na makosa haya basi unaweza kudumu katika mahusiano marefu na mpenzi wako zaidi. Yafutayo ndiyo makosa yanayofanywa na wanaume katika mahusiano; Unasahau kujijenga kibinafsi Kosa lengine ambalo wanaume hujipata katika uhusiano ni pale ambapo wanatelekeza majukumu yao ya kujiendeleza kimaisha. Wanasahau mambo ambayo walikuwa wakifanya ama walikuwa wakitarajia kufanya kabla kuingia katika uhusiano wa kimapenzi. Kusahau marafiki zako Ni kawaida kupunguza mawasiliano na marafiki zako pindi ambapo utaingia katika m

Sababu zipi zinafanya wanaume kufurahia penzi kuliko wanawake?

Image
Kumekuwa na dhana kuwa wanaume ndio wanaofurahia ngono zaidi ikilinganishwa na wanawake ambao sio rahisi kufikia upeo wa raha ya kujamiiana. Aidha imebainishwa kuwa wanaume chini ya umri wa miaka 60 hufikiria kuhusu ngono mara isiyopungua moja kwa siku. Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha Florida State University ulibainisha kuwa wanaume wanafurahia ngono kuliko wanawake. Hii ni kwa sababu ya maumbile kuwa wanaume hawakumbwi na mawazo mengi wanaposhiriki ngono. Kwa upande wao, wanawake hutafuta wanaume wanaoingiliana nao kihisia na mtu atakayejitwika jukumu la kuwalea watoto. Aidha, utafiti mwingine ulionyesha kuwa wanawake wengi husononeka wanaposhindwa kuwatosheleza waume wao kuliko wanaume wanaposhindwa kuwarithisha wanawake wao.

SMS nzuri ya mapenzi ya kimahaba ya kutuma kwa mpenzi wako umpendaye

Image
"Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe hutawala, Kila asubuhi niamkapo, Nao usiku nilalapo, U chakula changu akilini, Nalo tulizo langu moyoni, Daima huuwaza upekee, Wewe uliojaaliwa, Na hivyo naihisi furaha, Daima wewe uwapo, Mawazoni mwangu."

Yafahamu Makosa Wafanyayo Wapenzi Wawapo Chumbani.

Image
Wapenzi wengi wanaishi kwa mazoea, hawajui nini wafanye na nini wasifanye kwa ajili ya kupalilia mapenzi yao na matokeo yake, inakuwa rahisi mume kumchoka mke au mke kumchoka mume kwa sababu ya vitu ambavyo wahusika wenyewe ndiyo wamevikaribisha. Yapo makosa ambayo watu wengi wamekuwa wakiyafanya wawapo chumbani na wenzi wao, iwe ni kwa kujua au kwa kutokujua. Hakuna muda wa muhimu kwa wanandoa au wapenzi wanaoishi pamoja, kama ule muda kabla hamjapitiwa na usingizi. Ukiwa makini, utayafurahia mapenzi lakini ukikosa umakini na kuyafanya makosa yafuatayo, utakuwa unaiua ndoa yako kwa mikono yako mwenyewe. Yafuatayo ni makosa ambayo wapenzi wengi huyafanya kila siku na kusababisha mapenzi yapungue taratibu: KWENDA KULALA MUDA TOFAUTI Yawezekana watu wengi wanalichukulia suala la kila mmoja kwenda kulala kwa wakati wake kama jambo la kawaida. Kwamba wanandoa au wapenzi wanaishi pamoja lakini kila mtu ana ratiba yake ya kwenda kulala, huyu akiwahi leo kupanda kitandani, yule anachel

Tatizo la Mwanamke Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa, Sababu na Suluhisho Lake.

Image
Tatizo la kukosa hamu ya kufanya mapenzi huwatokea zaidi wanawake kuliko wanaume lakini ni wanaume wanaokerwa zaidi na tatizo hili kulio wanawake. Wakati ambapo ni asilimia 15 hadi 16 ya wanaume wenye tatizo hili, idadi ya wanawake ni mara mbili ya hii ya wanaume. Lakini wakati ni asilimia 23 ya wanaume wanaonyesha kuridhika kuishi na tatizo hili, asilimia 46 ya wanawake wapo radhi kabisa kuendelea kuishi na tatizo hili. Si lazima kuendelea kuishi na tatizo la kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa kwa sababu kuna mambo mengi unayoweza kuyafanya ili kuondokana na hili tatizo. Hali ya kupenda kufanya mapenzi au tendo la ndoa kwa mwanamke inabadilikabadilika sana ikipanda na kushuka kulingana na matukio mbalibali yanayomtokea katika maisha yake. Baadhi ya matukio yanayoathiri hamu ya mwanamke kufanya mapenzi ni pamoja na kuanza na kwisha kwa mahusiano ya kimapenzi na mwanamme, kupata ujauzito, na magonjwa. Kama wewe mwanamke umepatwa na ha hii unaweza kukabiliana nayo kwa kubalisha jin

Unaujua Mvuto wa Kimapenzi na Siri Zake, Nini Kinamfanya Mwanamke Avutike Kwako na Alama za Iwapo Kama Atakukubali Ukimtongoza ?

Image
   "Mwanamke ameumbwa kutoka kwenye ubavu wa mwanaume na siku zote mvuto wa mwanamke au hamasa juu ya mwanaume uwa ipo kwa kipindi chote ila kinachotofautisha hali ya upendo ya mwanamke kuvutika na wewe au la, ni kiasi cha mvuto[hamasa] alichonacho juu yako." Najua hujanipata vizuri hapo, kaa vizuri sasa ili uweze kunielewa hii mada tunayoiongelea siku ya leo ndani ya raha app, naona hapa tungetumia mfano ingekuwa vizuri zaidi. Kwa mfano; Abeli amevutika na Aneti na ndo amemuona kwa siku ya kwanza huyu msichana wa kipare aliye mzuri kwa urembo wake usio na kifani, kabla Abeli hajamuendea Aneti kumsemesha, mvuto wa kihisia wa Aneti tukichukulia kwa asilimia 1 mpaka 100 unakua asilimia 40%, hii inatokana na sababu ya kuwa siku zote kibaiolojia mwanamke huvutika kwa mwanaume. Iwapo mwanamke atakua na asilimia 100% ya mvuto kwako huyu hata kuwa na haja wala hata sababu ya wewe kumtongoza maana tayari atakua ameshavutika na upendo juu yako tayari umeshawaka moto, atak

Mwanake ni Sura au Msambwanda/Kalio ?

Image
Kuna hili suala ambalo nimeona sio vibaya tukiulizana kujua utashi wa kila atakayechangia tuone kipi watu wanapenda zaidi inapobidi kuchagua kimoja. Ni ndoto ya kila mmoja kupata mwanamke aliyetimia kuanzia sura mpaka umbo na kwa sie waafrika toka kale tupo katika umbo tunamaanisha kalio lililoshiba vizuri yani msambwanda kwa lugha ya mtaani. Lakini kwa bahati mbaya sio mara nyingi mtu hubahatika kupata seti iliyokamili, ndipo hapo napopenda kujua je kati ya binti mwenye sura nzuri lakini nyuma flat screen na binti asiye na sura nzuri ila nyuma amesheheni vizuri au ana umbo zuri upendalo utachagua yupi? Mimi binafsi msambwanda ndio ugonjwa wangu sura sio issue sana. Karibuni wadau

Meseji ya kumuaminisha mpenzi wako kuwa unampenda

Image
upendo wa moyoni ndiyo dhati niliyoamini amini kwa haya nisemayo nakupenda wewe ndiyo kaburi nitakalozikwa nalo.

SMS ya kuasa na kutakia kila la heri katika mapenzi

Image
Mapenzi ni kitu kisichotabirika, ndio maana kila mwenye KUPENDA au KUPENDWA hana uhakika na PENZI lake kwa yule AMPENDAE, Muda wote huhisi anasalitiwa. PENZI Ni kama JENGO lililokosa NGUZO muda wowote unahisi litadondoka… Usinielewe vibaya sikukatazi KUPENDA au KUPENDWA, ila tazama wapi UMEPENDA au UMEPENDWA.kilalakher kwa umpendae

Ujumbe wa kumtumia mpenzi wako kumwambia ajihadhari na maadui wa penzi lenu

Image
Mpenzi unawafahamu maadui wa mapenzi yetu ? Ni wale rafiki zako wanaokuletea maneno ya uongo, ndugu zako wanaotugombanisha na wachawi wanotuotea mabaya, tujihadhari tusiwape ushindi. Mapenzi yetu yadumu daima.

Meseji ya kumahidi mpenzi wako kumpenda daima

Image
Mapenzi ni upepo,mimi sivumi na kupotea,mapenzi ni mahaba sili nikamaliza,nikimaliza nitakula nini kesho?nakuahidi kukupenda leo hata kesho ukiwepo na hata usipokuwepo.

Fahamu dalili za upungufu wa maji mwilini kwa watoto, wazee na wamama wajawazito

Image
Upungufu wa maji ni pale mwili unapopoteza kiasi kingi cha maji kwa njia mbalimbali, ikiwemo jasho na mkojo, mwili hupungukiwa maji na hivyo mtu huyo huambiwa ana upungufu wa maji. Tunaelezwa kuwa karibu theluthi mbili ya miili yetu imejaa maji. Ili mwili uweze kufanya kazi yake vizuri, kiwango cha maji mwilini hakipaswi kupungua hata kidogo, hivyo kila mtu ana wajibu wa kunywa maji ya kutosha kila siku ili kulinda kiwago chake cha maji kisipungue na kinapopungua ndipo hapo mwili huanza kuonesha dalili za kukaukiwa maji (dehydration). Zifutazo ndizo dalili za upungufu wa maji mwilini; Dalili za upungufu wa maji kwa mtoto. Kwa kawaida, dalili za upungufu wa maji mwilini hujitokeza zaidi kwa watoto wadogo kuliko watu wazima au wazee. Dalili za upungufu wa maji mwilini kwa watoto huweza kusabababishwa ama na kuharisha, kutapika, kutokunywa maji au vimiminika vingine vya kutosha. Mtoto mwenye dalili za upungufu wa maji huweza kuonesha dalili zifutazo: Kukojoa mara chache sana Mtot

Umuhimu wa fedha katika mahusiano

Image
Tafiti nyingi zinaonesha kwamba migogoro mingi ya wanandoa hutokana na mambo yanayohusu pesa. Pia mfumo wetu dume katika jamii umeongeza tatizo kuwa kubwa zaidi kwani suala la pesa ameachiwa mume bila mke kuwajibika, kujua au kuchangia lolote, hata wanawake wenyewe wengi wamejiweka katika kundi la kuwaachia wanaume kuwajibika kwa kila kitu kinachohusu pesa katika na kutoa maamuzi yote yanayohusu pesa katika ndoa. Na kuna maamuzi mengine yameangamiza familia kwa sababu ni mtu mmoja tu katika ndoa ndo hutoa maamuzi linapokuja suala la pesa yaani baba au mume. Sasa ulimwengu umebadilika wanawake nao wana uwezo, wanafanya kazi, wanaingiza pato katika familia na ndoa. Pia kuna familia ambazo mke ndiye mwenye kipato kikubwa kuliko mume, na kuna ndoa ambazo kila mmoja akipata pesa hutumia anavyotaka yeye bila kukaa pamoja na kupanga nini kifanyike na matokeo yake kumekuwa na migogoro ya hapa na pale na kusuguana kwa hapa na pale. Mambo yafuatayo ni muhimu sana kuwekwa wazi kwa wanandoa

Kufanya Mapenzi Mara kwa Mara Kunaboresha Afya yako

Image
Kufanya mapenzi ni mojawapo ya vitu vichache ambavyo watafiti wanasema vinamfanya mtu aburudike huku mwili wake ukifaidika kutokana na tendo hilo. Utafiti umeonyesha kwamba kufanya tendo la ndoa mara kwa mara kunatibu mafua, kuepusha magonjwa ya moyo, kunazuia kansa na hata kuongeza urefu wa maisha. Watafiti katika chuo kikuu cha Nottingham University nchini Uingereza wamegundua kwamba wanaume wenye umri zaidi ya miaka 50 wanaofanya tendo la ndoa mara kwa mara wana uwezekano mdogo sana wa kupata kansa ya kibofu. Watafiti hao walikanusha madai kwamba kufanya tendo la ndoa zaidi ya mara 20 kwa mwezi kunaongeza uwezekano wa kupata matatizo ya moyo. Madaktari wamekubaliana kwamba mapenzi ni kama shughuli zingine za kawaida na ni mazoezi bora kwa afya. "Kwa kulinganisha na mazoezi, kufanya mapenzi ni sawa na kutembea zaidi ya kilomita moja au kupanda na kushuka ngazi za majengo mawili marefu" alisema Dr Graham Jackson wa hospitali ya St Thomas. Utafiti uliofanywa na Chuo k

Ushauri: Nina Naumbile Madogo ya Uume (Kibamia), Naogopa Kutembea na Wasichana

Image
Amakweli mungu hakunyimi vyoote na haupi vyoote pia. Mimi ni kijana wa miaka 21, mwembamba kiasi nina body naturaly,maji ya kunde, mrefu wastani sio handsam sana but mtanashati najiheshimu, mstaarabu kutokana na sifa nilizo kuwa nazo imepelejea kupendwa sana na wanawake. Wengine hupigana na kupelekana hadi polisi kwajili yangu pasipo mimi kuwa na mahusiano nao yani ni wivu tu na nimetongozwa na wanawake tangu nikiwa na miaka 15 na wengine ni wakubwa kwangu na wengine wanakuja hadi mbele ya mama na kueleza hisia zao kwangu ila mimi sina mpango nao kabisa yani. Hii inapelekea hadi mama yangu kupoteza imani na mimi kwa kuhisi huenda mwanae ni shoga ama sifanyi kazi kama dume.Ila mimi sio kama siwatamani au siwataki ila nina tatizo moja linalonifanya mpaka nishindwe kujielewa wakati mwingine najipiga ukutani kwa hasira, but nashindwa nifanye nini. Ninawaza sijui nimwambie mama yangu au baba yangu ila nawaza nitaanza je kuwaambia tatizo langu ikiwa baba ni mkali sana na mda mwingine ha

Sababu 5 kwanini wanawake wenye akili nyingi hupata tabu ya kupata mapenzi ya kweli

Image
Akili nyingi ni zawadi na laana. Wanapojiangalia kwenye kioo, wanawake wenye akili nyingi huona picha ya mtu mwenye nguvu mwenye malengo, anayejua anachotaka. Kuwa na akili nyingi ni kitu muhimu kuwa nacho, lakini wakati mwingine kinaweza kuwatisha wengine. Pengine ndio maana watu wenye akili nyingi hupata shida ya kupata pendo. Kama unajiuliza kwanini bado upo single, hizi ni sababu tano kwanini unaweza ukawa unapata shida kupendwa. 1. Unakuwa mchambuzi mno Wasichana wenye akili mara nyingi huchambua sana vitu. Huwa na shaka na kesho yao, njia nzuri za kuimarisha mahaba, na wanataka sana kumpata mtu sahihi. Hiki hata hivyo sio kitu kibaya. 2. Unajua ni bora kuwa peke yako kuliko kuwa na mwenza asiye sahihi Na hakuna tatizo katika hilo pia. Watu wenye akili wako makini katika kumpata mwenza sahihi ambapo wanaweza kuamua kubaki wenyewe kama asipopatikana. 3. Unajua kuwa mahusiano mara nyingi hufa Hawa hujua ukweli unaouma kuwa mahusiano mengi hayafiki popote. Matokeo yake, waka

Jinsi ya kujua mwanamke ambaye hajatulia

Image
  Mwanamke ambaye ni muhuni kwa hapa  mtaani kwetu huwa anaitwa majina mengi sana, wengine humuita danga, kicheche, kiwembe na mengineyo mengi.  Hata hivyo pamoja na kuwapo kwa majina hayo wengi wa wanaume  bado hawajajua ni kwa namna gani  wanaweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia, makala haya ni jibu tosha. Hivi ndivyo utakavyoweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia: Siyo rahisi kupenda Dalili ya kwanza ya mwanamke kicheche mi kwamba huwa huwa mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana, wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe Marafiki tuu. Anachukulia mahusiano kama njia ya kujinufaisha Wanawake vicheche huwa hawaingii katika mahusiano kwa sababu wamependa, siku zote wanakuwa na agenda ya siri nyuma yake, unaweza kuita faida, kiujumla kwa kitu chochote atakachokupa katika mahusiano, ujue hapo anatarajia faida yake, utakuta anakuchangamkia na kukufanyia vitu

Jinsi ya kuboresha mahusiano na mpenzi wako aliye mbali

Image
Ni wazi kila mmoja anapenda kufurahia maisha akiwa karibu na mpenzi wake ,hakuna mtu mwenye mapenzi ya dhati kwa mpenzi wake halafu akapenda kuwa naye mbali. Wapendanao hupenda kuwa pamoja wakionana na kujadili mambo mbalimbali huku kila mmoja akitaka kumuonyesha mwenzake ni jinsi gani anavyompenda. Zifuatazo ni baadhi ya njia ambazo iwapo utazitumia kwa umakini basi jua mahusiano yako yatahimili umbali na upendo wako na mpenzi wako utazidi kuwa madhubuti. 1. Kuwa na mawasiliano thabiti ya mara kwa mara. Mawasiliano ni moja ya nguzo muhimu sana katika mahusiano zinazofanya mapenzi kuweza kustahimili umbali. Wapenzi wanashauriwa kuwa na kawaida ya kuwasiliana mara kwa mara ili penzi liendelee kuwa na ustawi mzuri, kwani unapokuwa na utaratibu wa kuwasiliana na mpenzi wako mara kwa mara unaufanya ubongo wako usimsahau na kumfanya pia kutambua kuwa unampenda hivyo kujiweka mbali na vishawishi au kumpa nguvu ya kukabiliana navyo. 2.Usiwe na mawazo potofu juu ya mwenza wako. Unapokuw

FANYA Yoote Ufanyayo..Lakini Mwisho Unapaswa Ujue Je Mpenzi Wako Amekuweka Katika Kundi Gani Kati ya Haya Matatu?

Image
KATIKA mapenzi kuna mambo mengine yanaumiza, lakini ni vizuri kujifunza. Ukijua inakuwa rahisi kukaa nayo mbali. Kuna kitu nataka kukupa rafiki yangu mpendwa. Je, unajua kuwa baadhi ya wanawake huwaweka wanaume katika makundi? Ndugu zangu baadhi ya wanawake wasio waaminifu wenye wanaume zaidi ya Mmoja, huwaweka wanaume kwenye makundi matatu. Unaweza kuwa na msichana mkapendana sana, kwa sababu ya upofu wa mapenzi usijue amekuweka kundi lipi. Ni vizuri kuyafahamu makundi hayo kisha kujichunguza ili ujue kundi ulilopo. MAKUNDI Makundi hayo ni starehe, kutoshelezwa kimapenzi  na fedha. Lazima uwe makini sana ili uweze kujua tabia za makundi hayo. Inahitajika utulivu na umakini wa hali ya juu maana wakati mwingine mwanamke anaweza kuonyesha dalili ya wazi ya kundi Fulani, lakini kutokana na kupumbazwa na mapenzi ukaamini kwamba umefika kwenye kiota cha raha za wapendanao. KUNDI A Unaweza kuwa kwenye kundi la starehe. Mwanamke akawa na wewe kwa lengo la kuwa na uhakika wa kupata s

Wanaume Mnaoingia Chumvini Kwa Mwanamke Mna Roho Ngumu Hata Bomu Mnaweza Meza

Image
Mimi nachukulia kitendo cha kuingia chumvini kama kujitoa mhanga, unahitaji ujasiri wa juu sana kujitoa mhanga, kutembea na bomu mfukoni au kujifunga suicide belt. Wanaume wenzangu mnaoingia chumvini mnaweza kujitoa mhanga kwa urahisi sana maana sidhani kama kuna ujasiri mwingine unahitajika wa kujitoa mhanga zaidi ya ujasiri unaohitajika kuzama chumvini. Mimi binafsi heri nife kwa kukaangwa kwenye mafuta ya transfoma kuliko kuzama chumvini. Wanaume mnaozama chumvini ni rahisi sana kwenu kujitoa mhanga, ujasiri mliona wa kuzama chumvini tena wengine wanazama mwanamke akiwa period na wengine wanaenda mbali zaidi wanaruka ukuta kuingia kule kunakotolea uhalo na unakuta mtu anaharisha ni ujasiri mkubwa kuliko ujasiri wowote niliowahi kuona. . Hivi ni ushamba /ujanja kuzama chumvini... Tuelezane Hapa jamani . By K. Mgayaye 

Kama Umeshawahi Kutoa Mimba Fanya Haya Mambo Matatu

Image
Makala iliyopita niliongelea madhara sita ya kutoa mimba, kutokana na jamii yetu kukumbwa sana na janga hili la utoaji wa mimba hasa kwa mabinti wadogo ambao wengi wao wapo vyuoni na mashuleni. Kutokana na maswali mengi niliyoulizwa nini cha kufanya kwa ambao tayari wameshatoa mimba nimeamua niandike makala hii. Mambo yenyewe ni haya… Nenda hospitali uonane na daktari; ukitoa mimba kuna madhara mengi yanayofuatia ikiwemo ugumba, na kuharibika viungo vya uzazi.. nenda ukapige picha ya ultrasound kuangalia hali ya viungo vya uzazi, na kama vinaumwa vianze kutibiwa mapema iwezekanavyo kabla mambo hayajaharibika. Pia pima magonjwa mengine ya kuambukizwa ikiwemo ukimwi, kaswende na gono kwani ni magonjwa yanayo ambatana na ngono zembe. usiogope hakuna daktari wa kukupeleka polisi kwa kutoa mimba.. Obama na mtaalamu wa ushauri: kama una mawazo mengi kwanini umetoa mimba na unajutia maamuzi yako au moyoni unahisi umefanya kosa kubwa kwa binadamu au mungu wako nenda unana na mshauri na at

UNAMTONGOZA, Anasema Anakuchukulia Kama Rafiki, Unajua Kwanini?

Image
"Hataki muwe zaidi ya hapo, anakuchukulia kama rafiki!" Stori inakwenda hivi; baada ya kumwangalia kwa muda mrefu, huyumwanamke anambae anakuuwa pole pole kwa mvuto wake, ambae anakila kitu ambacho wewe macho yako kwako unaona ndo kile kinachoitwa na kutengeneza uzuri usiopimika, ubongo wako unaamini ya kuwa mnaendana kwa kila kitu ila kinachokuchanganya ni wewe kutokua na uhakika iwapo na wewe unampendeza yeye, Kijana wa watu unajituma na kupiga moyo konde, leo hii unajikaza kiume na kwenda kumwambia yale yote yaliyo moyoni mwako... mara... 'kwaaa...' anakujibu, "Oho, lakini mbona mie siku zote huwa nakuona na kukuchukulia kama rafiki, kama rafiki.. rafiki tu!", moyo unapigwa na radi ya maumivu, na huamini kilichokupata, huku kichwani sauti ya "kama rafiki" ikijirudia rudia!. Kama kungekua na kitu cha kuzuia hii dhihaka, ungetumia na kurudisha muda nyuma, kiume.com tumekusanya dalili zote za kuangalia kabla ya kupiga moyo kode na kwenda kumwam

SMS ya kumwomba mpenzi wako akuthamini kwa sababu unampenda sana

Image
Naomba niwe CHOZI ndani ya JICHO lako, Nikitoka tu NIDONDOKE kwenye SHAVU lako, Ukinipangusa NIGANDE kwenye KIGANJA chako, Kwa sababu NAKUPENDA sana

SMS nzuriiii ya kumpa mtu hai

Image
Nakupa HAI, kwa sababu uko HAI, usingekuwa HAI, ni vigumu kupewa HAI, basi nawe wape HAI, walio HAI, maana ni bahati kuwa HAI, wengi walitamani kuwa HAI, lakini wamepoteza UHAI, Usione najidai, ila mimi naringia UHAI, Haya basi pokea HAI, ili moyo wako ufurahi. HAIIIIIIIIIIIII!!!

SMS ya kimahaba ya kumkumbusha mpenzi wako uwepo wako

Image
Ucku ulalapo jua kuna m2 akupendaye,mchana uwajibikapo tambua yupo anayekuwaza ,jioni uwapo mazoezini jua yupo anayekuonea wivu,hata uwapo kwenye kumbi za burudani tambua mwenzio nakulilia,usitoe penzi kangu akilini hata km upo mbali nami!moyoni mwangu hutafutika milele!

Meseji ya kumuomba mpenzi wako asikuache kwa kuwa unampenda sana

Image
Mapenzi ni matamu napia yana raha, wewe hauni ishi hamu, siku zote wanipa raha, wewe kwangu ni mtu muhimu, unaeng'aa moyoni mwangu kama nyota ya jaha. "NAKUOMBA USINIACHE MPENZI WANgu

Meseji ya kumuomba mpenzi wako akwepe fitina kwani unampenda sana

Image
Moyo wangu unajua kupenda katu haujui kutenda mpz,nakupenda tukwepe fitina mpz.

SMS ya kutuma kwa mpenzi wako asubuhi

Image
Ewe mwanga angaza mboni ya penzi letu Ndilo sababu ya nguvu yangu Tangulia pembeni mwa macho yake Asubuhi hii hadi usiku ujao

SMS ya kumuomba umpendaye akukubalie

Image
pindi nikukumbukapo chozi langu huwa linatoka bila sababu,kasi Ya mapigo ya moyo Huongezea Pasipo Sababu,nimegundua Nakuhtaji Naomba Unikubalie.

Ujumbe mzuri wa kumwambia mpenzi wako kuwa yeye tuu mdiye kakutawala

Image
Fikra hutawala mtima wangu, Kwa madhila yalojaa duniani, Kwa muhali wa yanayojiri, Kwa machweo na mawio, Kwa totoro ama nuruni, Nao moyo hukosa ukamilifu, Kwa utashi wa zake hisia, Zinipazo sababu kuu, Ya upendo juu yako, Ya kukufanya daima uwe, Mawazoni mwangu. Mawazoni ama ndotoni, Daima wewe hutawala, Kila asubuhi niamkapo, Nao usiku nilalapo, U chakula changu akilini, Nalo tulizo langu moyoni, Daima huuwaza upekee, Wewe uliojaaliwa, Na hivyo naihisi furaha, Daima wewe uwapo, Mawazoni mwangu.

Mambo yatakayomfanya mwanamke akupende kweli

Image
Katika ulimwengu huu wa mapenzi niliwahi kusikia kuwa ili kumfanya mpenzi wako akuamini sana wewe yapo mambo msingi ambayo unatakiwa kufanyia mwanamke huyo. Pia wataalamu wa mambo wanao msemo wao mtamu usemao mwanamke akipenda huwa kapenda kweli. Yafuatayo ndiyo mambo ambayo unapaswa kumfanyia mpenzi wako ili akupende. Uwe na muonekano mzuri Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali. Mfanye ajisikie huru Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbele yake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya kawaida katika maisha. Kwa hiyo ili uweze kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi na wewe njia nzuri ni kumfanya ajisikie yupo huru mbele yako na kasha atakua huru kufanya mapenzi na wewe. Mfurahishe Mfanye ajisikie mwenye furaha kila anapokuwa na wewe na atamani kuwa na wewe. Akishajiskia mwenye furaha

Jinsi ya kujua mwanamke ambaye hajatulia

Image
  Mwanamke ambaye ni muhuni kwa hapa  mtaani kwetu huwa anaitwa majina mengi sana, wengine humuita danga, kicheche, kiwembe na mengineyo mengi.  Hata hivyo pamoja na kuwapo kwa majina hayo wengi wa wanaume  bado hawajajua ni kwa namna gani  wanaweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia, makala haya ni jibu tosha. Hivi ndivyo utakavyoweza kumjua mwanamke ambaye hajatulia: Siyo rahisi kupenda Dalili ya kwanza ya mwanamke kicheche mi kwamba huwa huwa mara nyingi hawataki mambo ya mahusiano na mambo ya kupendana, wanataka siku zote wawe huru hata mtu yeyote mwenye uwezo zaidi ya aliyenaye akitokea, iwe rahisi kwake kujihusisha naye. Utasikia akisema tuwe Marafiki tuu. Anachukulia mahusiano kama njia ya kujinufaisha Wanawake vicheche huwa hawaingii katika mahusiano kwa sababu wamependa, siku zote wanakuwa na agenda ya siri nyuma yake, unaweza kuita faida, kiujumla kwa kitu chochote atakachokupa katika mahusiano, ujue hapo anatarajia faida yake, utakuta anakuchangamkia na kukufanyia vitu

Mambo Yatakayomfanya Mwanamke Akupende Kweli

Image
Katika ulimwengu huu wa mapenzi niliwahi kusikia kuwa ili kumfanya mpenzi wako akuamini sana wewe yapo mambo msingi ambayo unatakiwa kufanyia mwanamke huyo. Pia wataalamu wa mambo wanao msemo wao mtamu usemao mwanamke akipenda huwa kapenda kweli.  Yafuatayo ndiyo mambo ambayo unapaswa kumfanyia mpenzi wako ili akupende.  Uwe na muonekano mzuri  Wanawake wanapenda wanaume wasafi na watanashati kwa hiyo ukiwa msafi na mtanashati utakua na mvuto kwake. Hivyo utakapoamua kumshawishi kufanya mapenzi itakua rahisi yeye kuwa rahisi kukubali.  Mfanye ajisikie huru  Ni rahisi mwanamke kufanya mapenzi na mtu anayejisikia huru mbele yake na ambaye yupo huru kuongea na kufanya nae mambo mengine ya kawaida katika maisha. Kwa hiyo ili uweze kumshawishi mwanamke kufanya mapenzi na wewe njia nzuri ni kumfanya ajisikie yupo huru mbele yako na kasha atakua huru kufanya mapenzi na wewe.  Mfurahishe  Mfanye ajisikie mwenye furaha kila anapokuwa na wewe na atamani kuwa na wewe. Akishajiskia mwenye

Uwoya Kweli Kafunga Vioo

Image
HATAKI shobo! Mwanamama sexy kunako kiwanda cha filamu za Kibongo ambaye ni mkali wa kupigilia pamba za bei mbaya kila kukicha, Irene Pancras Uwoya amesisitiza kuwa ni kweli muda umefika wa kuwafungia vioo watu ambao hawana manufaa kwake. Akizungumza na gazeti analolipenda la Ijumaa, Uwoya alisema anashangaa mno kuona mtu anamsema kuwa anaringa, lakini kumbe sivyo hivyo ameamua kudili na watu wenye faida kwake kwa sababu kuna watu wapowapo tu, hata asipowaona hakuna kinachopungua. “Ni kweli kabisa nimeamua kuwafungia vioo watu ambao hawanisaidii chochote, yaani hawana mchango hata wa mawazo kwangu,” alisema Uwoya ambaye ni mama wa mtoto mmoja wa kiume, Krish. 

Rosa Ree Amebana Ameachia Ugumu Tupa Kule

Image
Rosa Ree ni mmoja wa mabinti wanaokuja kwa kasi kwenye muziki wa Hip Hop barani Afrika akitokea Bongo Flevani. Rosa Ree ni binti wa Kitanzania ambaye jina lake halisi ni Rosery Robert. Alianza kusikika mwaka 2015 aliposainiwa kwenye Lebo ya The Industry inayomilikiwa na prodyuza Nahreel wa Kundi la Navy Kenzo. Tayari Rosa Ree ambaye ni mzaliwa wa Moshi, Kilimanjaro, mkononi ana ngoma kali kama One Time iliyomtambulisha kwenye gemu kisha zikafuata nyingine za Up In The Air, Way Up, Marathon, Dow, Asante Baba U.N.I.T.Y na nyinginezo. Rosa Ree anasema alianza muziki tangu utotoni na kitu ambacho kipo kwenye damu. Akiwa mtoto alipenda sana kuimba nyimbo za mastaa kama Faith Evans na P Didy kabla ya kujikita kanisani na kubobea kwenye mapambio. Rose Ree aliyezaliwa Aprili 21, 1995, wakati anaanza gemu alijinasibu kama bonge moja la mgumu huku akibana mambo f’lani ya malovee kwa muda mrefu, lakini wenyewe wanasema hakuna mkate mgumu mbele ya kikombe cha chai ya rangi hivyo kwa sasa anao

Hiki Ndicho Kinachoitwa Kichaa Cha Mapenzi

Image
Kabla mtu hajaoa au kuolewa , huamini kabisa kwamba, kabla hajafanya mapenzi au tendo la ndoa na mtu anayemwita mpenzi wake, bado hawezi kudai kwamba, huyo mtu ni mpenzi wake na kwajibika kwake kama mpenzi. Vijana wengi huamini kwamba, baada ya kukutana kimwili, ndipo wanaweza kudai kwamba, hao ni wapenzi wao na kwamba kukutana kimwili, ndiyo mapenzi au kupenda kwenyewe. Inapotokea wanapokutana huvutiwa na tendo la ndoa, huamini kabisa kwamba, uhusiano nao utakuwa mzuri. Kwao, tendo la ndoa ndio kipimo cha uimara wa uhusiano wao. Baada ya kufanya mapenzi, wapenzi hao huamini kwamba, sasa wanaweza kujitolea kwenye uhusiano huo na kwamba, wanaweza kuwa na nguvu nao kwa asilimia kubwa. Suala hili, kuna wataalamu huliita mtego wa kimapenzi. Huitwa hivyo, kwa sababu huwafanya wapenzi kutokuangalia sifa nyingine na badala yake kuweka nguvu kwenye mwili, yaani tendo la ndoa. Upofu hutokea kutokana na kuzalishwa kwa kemikali nyigi mwilini, zenye kumfanya mtu asiweze kujiuliza kuhusu mae

Wanawake, Haya Hapa Mambo 6 Yatakayomfanya Mumeo Akupende Zaidi.

Image
1. Muamini mmeo au mchumba wako. 2. Usikatishe tamaa katika maono yake. 3. Usimlazimishe kupenda mambo unayoyapenda. 4. Usipange kumbadilisha. 5. Usidhani kwamba hawezi kutambua uwepo na uzuri wa wanawake wengine. 6. Usilazimishe kuwajibika juu ya mambo yako: Kama vile kwenda saluni, umeme, vocha na mambo mengine hasa kama bado mko katika mchakato wa uchumba, kama atafanya hivyo mwache afanye mwenyewe msimlazimishe eti kwa sababu shosti wako huwa anafanyiwa hivyo na wewe unataka, ladies huo ni utoto.

Fahamu faida za kuota jua kiafya

Image
Kuna mambo ambayo huwa tunayachukulia ya kawaida na wala hatuko tayari kufahamu umuhimu wake. Jua ni kitu mojawapo ambacho huwa tunakiona kila siku, lakini ni mara chache tumelichunguza. Kwa hakika kuna umuhimu mkubwa wa jua kwa mimea na viumbe vingine akiwemo binadamu. Tafiti mbalimbali zilizofanywa na wataalamu wa afya, zimebaini kuwa kuna manufaa makubwa ya kuota jua angalau kwa kiasi fulani kila siku. Kwa kuwa najua unapenda afya bora, basi fahamu faida 10 za kuota jua kiafya. Kuua bakteria Jua linaweza kutumiwa kuua bakteria mbalimbali katika majeraha na ngozi. Tiba hii iligunduliwa na mshindi wa tuzo ya Nobel Niels Finsen. Tiba hii ilitumiwa kuponya vidonda vya wanajeshi wa Kijerumani baada ya vita kuu ya kwanza ya dunia. Huondoa msongo wa mawazo Inakadiriwa mtu anapokuwa kwenye jua hupata takriban kiasi cha kemikali ya lux kipatacho 100,000. Hivyo kukosa jua kunasababisha tatizo linalofahamika kama vile Seasonal Affective Disorder (SAD) ambayo ni aina fulani ya msongo.