Posts

Showing posts from August, 2021

Wanawake Tafuteni hela zenu, Kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

Image
  Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela. Wadada tafuten hela zenu, vigezo vya kudumu kwenye mahusiano vimeongezeka, heshima sawa ipo, lakin kuwa na hela zako tayari ni kigezo siku hizi. Mwanaume akidate nawewe akagundua hauna hela amini nakuambia hamfiki mbali utaachwa tu, sababu anajua amejitwisha furushi. Wadada tafuteni hela zenu, hata kumpata mwanaume mwenye hela siku vijana nao wanaangalia je nawew una hela? Kama huna hela utakoma, utaombwa tigo, utapigwa stail zote huheshimiki, maana anakuona km amekuokota akulishe, au malaya tu mnabadilishana bidhaa yeye anakupa hela wew unampa papuchi. Wadada tafuten hela zenu, Vikao na Vilio vya Vijana kulalamika kuombwa hela na wadada vinazidi kupanda kwa kasi ya ajabu, wanaogopwa kuombwa hela ba

Utafiti Waonyesha Wanaume Wenye Vipara Wana Mvuto zaidi Kimapenzi Zaidi ya Wenye Nywele

Image
  Kuna vitu vingi humvutia mtu inapokuja swala la kumchagua mpenzi, siwezi taja sifa zote, kila mtu anasifa zake na vigezo vyake, ila ngoja tuongelee mvuto wa kipekee unaopatikana kwa wanaume wenye vipara. Nikiongelea vipara naongelea wale walio na vipara asili, achilia mbali wale wanaopenda kunyoa vipara japokuwa kuna baadhi ya sifa hapa wanaweza wakawa nazo pia. Muonekano wa kiume: wanaume wenye vipara wengi huwa na muonekana wa kiume zaidi,muonekano nadhifu  sina maana kama wanaume wengine walio na nywele ndefu ama wastani hawana mvuto lah, nauongelea mvuto zaidi ama mvuto wa kipekee. Ujasiri: wanaume wa aina hii wengi huonekana ni wajasiri kwa muonekano wao tu, hii huwafanya kuwa kivutio kwa wanawake. Wana hisia kali za kimapenzi: daktari kutoka Chuo cha Yale Marekani , James B. Hamilton alisema katika utafiti wake wanaume wengi walio na vipara miili yao huwa inazalisha mbegu nyingi za kiume kuliko wanaume wenye nywele, japokuwa si kwa asilimia 100 alisema pia  uchunguzi zaidi bado

KIOJA BAADA YA MKE WA MHUBIRI KUPATIKANA KAKWAMA NA MWANA KWAYA KABLA YA IBADA KUANZA

Image
  Ama kwa hakika siku hizi wahubiri wamehusika katika visa vingi ambavyo vimewaacha watu  vinywa wazi kwa ajili ya tabia mbalimbali za kutisha na kushangaza watu. Wamekuwa katika  vichwa vya habari kwa kuwa kila mara wameonekana kuwa wala kondoo huku watu  wakiwadhania kuwa ndio wachungaji wazuri wa kondoo. Katika kauti ya Bungoma kwenye eneo  la magharibi ya Kenya, pasta mmoja ambaye jina lake na kanisa sitolitaja alipatikana peupe  kakwama na dada mmoja mrembo ambaye inaaminika alikuwa mwana kwaya katika kanisa la  mchungaji yule. Inaaminika kuwa pasta yule alikuwa amemweleza mwakwaya yule alitaka  kumwombea ili ipate kipawa kizuri zadi cha maswala ya uibaji kanisani. Kulingana na mke wa  pasta yule mumewe jumapili ile alirauka asubuhi na mapema huku akimweleza kuwa alikuwa  anaenda kutayarisha neno la siku ile kwa ajili ya mahubiri yenye mvuto katika kanisa lake. Ama  kwa hakika kilikuwa kitendo cha aibu kwa pasta yule.  Duru za kwaminika kutoka kwa mke wake zilisema kwamba alikuwa

Dalili Kwamba Ndoa yako au Mahusiano yako vimeharibiwa Kichawi

Image
  DALILI KWAMBA NDOA YAKO AU MAHUSIANO YAKO VIMEHARIBIWA KICHAWI Mwanaume au Mwanamke kukasirika bila sababu. Kuto Sikia Hamu ya TENDO la NDOA iwe Kwa mumeo, Mkeo au Mpenzi wako. Mpenzi wako akikuona ANAKUCHUKIA tu Ukiongea kitu kinakuwa KIBAYA kwake Akiwa mbali na wewe MNAELEWANA Mara nyengine HUKUTUKANA bila sababu za msingi na wewe hupandwa na hasira UNAMCHUKIA. Ukifanya nae tendo la NDOA husikii RAHA anachelewa KUSIMAMISHA pia. Akimaliza tendo la NDOA hataki KUGUSWA tena mkiwa kitandani. Mkifanya TENDO wala hataki mfanye ROMANCE anapanda tu amalize. UKICHEPUKA nnje unajisikia RAHA ukirudi nyumbani mnaongea vizuri na MPENZI wako au MKEO au MUMEO. Ratiba ya KULA nyumbani inabadilika au HALI kabisa. Mwanamke/MWANAUME anakuwa MKALI sana KIBURI kila saa anawapenda MARAFIKI zake zaidi ndio anao WASIKILIZA kuliko WEWE. Yapo mambo mengi sana Endelea Kufatilia Page ya Instagram Kwa Makala Nyingi TOFAUTI TOFAUTI kama hizi na Nyingine... WASILIANA na @ostadhi_juma_ramadhani Ujitibu sasa Mana

RAY C: Nitawaangamiza watoto wote wa kike kwenye game, bora mniroge, hakuna anayegusa kiti changu

Image
  RAY C: Nitawaangamiza watoto wote wa kike kwenye game, bora mniroge, hakuna anayegusa kiti changu VIDEO:

Miaka 9 Katika Ndoa - Simuelewi Mume Wangu Ajanigusa Miezi Sita Sasa Naomba Ushauri

Image
  Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 33 mume wangu ana umri wa miaka 41. Sote ni wasomi na wafanyakazi. Tumefunga ndoa miaka tisa iliyopita tuna mtoto mmoja ana umri wa miaka 7.Wakati tunafunga ndoa wote tulikua mabikra. Mimi nilikua sijawahi kuwa na mpenzi na mume wangu akuwahi kua na mpenzi.. Tulianza kushiriki tendo la ndoa siku ile tulipofunga ndoa. Kwa kweli kwa ujumla maisha yetu ya ndoa ni ya furaha kwa mambo yote lakini sio ya kiunyumba. Mimi na mume wangu atujawahi kuwa mbali kikazi. Maisha yote hadi leo tuko Dar es salaam pamoja. Tulipofunga ndoa miaka ya mwanzoni tulikua tunaweza kukutana kimwili hata mara tatu kwa mwezi, miaka ilivyokua inazidi kwenda ikawa kukutana kimwili inakua mara moja kila baada ya miezi miwili na tukikutana ni bao moja tu. Sasa hali imezidi kua mbaya kwani sasa imepita miezi sita tunalala kitanda kimoja mume wangu ajanigusa, hali hii inanisononesha kwani natamani mtoto wa pili. Kwakweli atuna ugomvi wowote. Mimi na mume wangu wote ni wacha Mungu.

Madhara ya Kutofanya Tendo la Ndoa Muda Mrefu

Image
  Habari zenu, nimeona niwaletee hili nina imani mtajifunza hasa kwa wale wasiofahamu,Ukikaa Muda Mrefu bila Kufanya tendo la Ndoa madhara yake ni kama haya: Hasira za mara kwa mara katika mambo madogo, kupendelea sana kuangalia picha za uchi, Kusahausahau, Kupendelea story za mapenzi, Kutokwa damu nyingi wakati wa hedhi (Mke), Kupenda kurukiarukia mambo ya watu wengine (tabia ya kufuatilia mambo yasiyokuhusu), Kuumwa na kichwa, Kukakamaa mgongo (wanaume),Kuingiliwa kirahisi na jini mahaba, Kupoteza umakini ktk kazi (efficiency), Siku ukikutana kimwili na mwenye virusi bila kinga utaambukizwa kirahisi mno, Waweza ku-develop tabia mpya ambayo hukuwahi kuwa nayo ili iwe mbadala

Hii Hapa Historia Fupi ya Kabila la Wahaya

Image
  Wahaya walitokea Afrika Kaskazini na kupitia Uganda na hatimaye kuanza maisha katika eneo la Kagera kaskazini magharibi mwa Tanzania Wahaya ni moja ya makabila yaliyojaliwa wanawake wazuri na wenye maumbo na shepu nzuri pamoja na tabia. Lugha, Tamaduni,chakula (Ndizi) ya watu wa kabila hili inafanana sana na ile ya jamii ya wanyankole wa nchi jirani ya Uganda Wahaya walianza kutambiana toka zamani na kigezo kikubwa ilikuwa ni kuwa na elimu bora “inye nsomile” maana ya “Mimi nimesoma” na huu ukawa mwanzo wa makabila mengine kuwaita “NSHOMILE” Wahaya ni mkusanyiko wa makabila saba,ambayo ni waziba, wahamba wanyambo, wanyaiyangilo, wayoza waendangabo wakala. Ni mkusanyiko kwa maana haya ni makabila kamili sio makabila madogo madogo kama watu wengi wanavyofikiria. Hayo makabila kila moja ilikuwa ni dola kamili iliyokuwa na mamlaka kamili katika nyanja zote za kiutawala,kijamii,kisiasa kiuchumi na kijeshi.Na kila dola lilikuwa na mipaka isiyoingiliana na dola jingine na iliyolindwa baraba

Jinsi Madaktari wa Miti Shamba Walivyonisaidia Kupata Mume Niliyempenda na Tukafunga Ndoa

Image
  Ama kwa hakika mapenzi hua baina ya watu wawili na wanao pendana sana kwa wakati wowote. Hakuna mtu anayeweza kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na mtu ambaye hamthamini wala kumpenda kwani mahusiano hayo yanaweza kuleta vita na sintofahamu kwenye ndoa ama uhusiano ule.  Nilikuwa natamania kupata mchumba kwani tayari ilikuwa nimefikisha umri wa kuweza kuolewa. Rafiki zangu wote tuliokuwa tumesoma nao walikuwa tayari wameoa na mimi peke ndimi niliyekuwa nimeachwa nyuma.  Swala hili lilinipa hofu kwani nilifahamu fika siku zilikuwa zinasonga na kwamba hali ingekuwa mbaya zaid iwapo siku zingepita hata zaidi bila yangu kupata mume.  Wazazi wangu pamoja na jamaa zangu waliendelea kuniwekea msukumo kwani kila mara nilipokutana nao nyumbani waliniuliza kwa utani ni lini wajukuu wangefika duniani kwa hisani yangu. Nilifahamu fika kwamba walikuwa wanataka niweze kufunga ndoa  kwani miaka ilikuwa inasonga kwa kasi sana.  Nilipatana na Jared ambaye tuliingia katika mahusiano ya kimapenzi na hap

MASHA LOVE Atoboa Siri "Zuchu Bado ni Bikira"

Image
  Chura Super Star wa hapa Tanzania ( mashalovietz) katika mahojiano na online media moja matata amefunguka namna boss wake officialzuchu anavomlipa na kusisitiza Zuchu bado mdogo sana na ni Bikra. "Hivo ninapiga hela nyingi sana Boss wangu hana shida hata tukimpigia sasa hivi akuambie hela anayonilipa...Mimi nachukua Million 100 kama hauamini naweza mpigia simu....unajua Zuchu ni Bikra Yah Zuchu Bado ni mtoto mdogo navojua anamiaka 15 hiyo 27 kawadanganya"-Ameongea Mashalove

Mtu Wangu Jua Ishara 11 za Mwanamke Anayekupenda, Lakini Anashindwa Kukueleza.

Image
  Kwa muda mrefu kumekuwa na wimbi la imani potofu kwa wanawake na wanaume kwamba mwanamke hawezi kumwambia mwanaume ukweli kama anampenda, wengi wao husubiri kwanza mpaka mwanaume aanze kuweka wazi hisia zake, lakini ni ukweli usiopingika kwamba wanawake nao pia hupenda na wengi wao wanakuwa hawapo tayari kuwa wawazi na mara nyingi wao wakianza kupenda huwa wanapenda kweli kufikia hata hatua ya kuhisi kutokuwa sawa katika mambo yao wanayoyafanya. Nimekuorodhoshea baadhi ya ishara za mwanamke anaekupenda ila anaogopa kukuambia kwa kuhofia namna atakavyoonekana mbele ya macho ya jamii au kuwa na hofu na jambo analotaka kukueleza kwa kufikiria kuwa itakuwaje endapo hautakuwa tayari kuwa nae na hapo ndio hukumbwa na hofu ya kuelezea hisia zake. 1. Kukupa majaribu madogomadogo ili kujua thamani yake kwako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda na kumthamini au lah, mfano wa mambo hayo ni kama kujifanya anaumwa na kauangalia muitikio wako kwake, ili kutambua ni kiasi gani una

BAADA ya Muda Gani Unaruhusiwa Kufanya Mapenzi na Mkeo Baada ya Kujifungua?

Image
  Zoezi la kujifungua linafariji na kuchosha pia, ni la faraja sana kwa kuwa linakufanya uwe mama? Wiki 4 za mwanzo kwa mzazi zinaweza kuwa katika kumbukumbu zako kwa muda mrefu kwakuwa ni wiki za ‘majimaji’ tu – jasho, kunyonyesha na haja ndogo kutoa majimaji yote ya ziada mwilini mwako. Inashangaza hata kama mtu utakuwa na hamu ya kufanya mapenzi katika kipindi hicho. Madaktari wanasema kuwa mwili wa mwanamke unahitaji wiki 6 kurudi kwenye hali yake ya kawaida. Katika kipindi hiki cha wiki 6, mfupa wa nyonga na uti wa mgongo hurudi kwenye hali yake ya awali. Homoni zako pia zinajirekebisha sambamba na misuli iliyopo kwenye sakafu ya nyonga kupumzika wakati ikirudi kwenye hali yake iliyokuwa nayo mwanzo kabla ya kazi kubwa iliyotoka kuifanya ya kumbeba mtoto na kusaidia kwenye kumtoa wakati wa kujifungua. Kwahiyo, mpaka kitakapofika kipindi hiki cha wiki 6, unashauriwa kutofanya mapenzi, lakini haimaanishi kwamba huwezi kufanya mambo mengine kama kumbusu, kumshikashika, au kumnyonya m