Posts

Showing posts from July, 2019

MASHARTI YA KUMTEXT MWANAMKE- MAKOSA 5 YANAYOFANYWA NA WANAUME

Image
Kila siku mara moja au nyingine huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi hukosea wakati wanapomtext mwanamke, na jinsi ya kutatua. #1 kukata tamaa mapema kwa mwanamke Kosa kuu ambalo wanaume wengi hufanya ni kukata tamaa mapema wakati wanapomtext mwanamke. Watamtext mwanamke, na kama hatajibu jumbe zake (ama kujibu kiuchache) watachukulia kuwa mwanamke huyu amepoteza interest na wanakata tamaa. Hili ni kosa kuu sana. Kama inavyojulikana kikawaida ni kuwa mwanamke anaweza kutojibu meseji zako, na sababu hizo hazina uhusiano moja kwa moja na kutokuwa na interest kwako. Kwa mfano, anawezakuwa labda yuko busy, katika mood mbaya, ama labda hayuko sure ni kitu gani cha kukujibu kwa meseji. Kiufupi ni kuwa haujui kile ambacho kinazunguka kwa akili ya mwanamke, so haina haja ya

WOLPER, NIPE MILLION 10 NIKUPE PENZI (MCHEZO) SIWAPI MASKINI

Image
M UIGIZAJI  mwenye mashine zake za kushona nguo mjini, Jacqueline Wolper ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa kamwe hawezi kutoa penzi kwa mwanaume masikini au mshamba kwani wao ndiyo waliomuumiza na kutaja dau la shilingi milioni 10.  Wolper aliiambia  Za Motomoto  kwa sasa hivi amekuwa ‘matawi ya juu’na hana muda wa kusumbua vichwa na wanaume washamba ambao hata kwenye kutoa hela wanashindwa. “Wanaume masikini na washamba ndiyo waolisumbua kichwa changu, mimi sasa hivi nadili na mtu ambaye anaweza kunipa milioni 10 kwenda mbele kwenye matumizi yangu yaani kiufupi sasa hivi ni matawi ya juu, “ alisema Wolper ambaye ni mmoja wa wasanii waliokuwa visiwani Zanzibar kwa ajili ya ‘projekti’ ya Swahiliflix

STAILI YA KUMKOJOLESHA MWANAMKE WAKO NDANI YA DAKIKA MBILI

Image
Kuna mambo muhimu ya kuzingatia hasa katika kufanya mapenzi ili kumkojolesha kwa haraka mpenzi wako. Jambo la kwanza mwanaume unakiwa kujua sehemu ambazo zinampa hisia mwanamke wako yaani yale maeneo yenye nyege na kuanza kuyafanyia kazi. Maeneo ambayo mara nyingi yana msisimuko kwa mwanamke ni masikio, mapaja, maziwa, denda, kitovu, shingo, nyayo, kichwani na kinena. Ukishayajua hayo maeneo mpapase kadri uwezavyo huku ukimpitishi ulimi wako mdomoni mwake na kuendele kumtomasa yale maeneo ambayo yanampa msisimko hadimu. Jitahidi kufanya utafiti juu ya staili inayompandisha nyege na hivyo kupiga makelele kutokana na utamu, kisha uwe unampigisha zaidi kupitia hizo staili. Mapenzi ni ubunifu hasa katika staili na zipo za aina mbalimbali jitahidi kumpagawisha mpenzi wako kwa staili zinazomsisimua na kufika kileleni bila kutumia nguvu kubwa. Jambo jingine unalotakiwa mwanaume kuhakikisha ni uume wako unakuwa na nguvu kwa muda mrefu yaani uume usilale kila wakati kwa sababu utamkati

JINSI YA KUMNYONYA MATITI MWANAMKE MPAKA AKOJOE

Kuna baadhi ya wanaume tena wengi hawajui kunyonya au kuchezea matiti ya wanawake badala yake wanakuwa wanawaumiza wanawake bila kujua. Kila kitu kinataka ujanja na utaalamu ili ukifanye kwa ufasaha sana bac leo tunafundishana jinsi ya kunyonya matiti au maziwa .Ili mwanamke asikie raha sana lazima ujue kuyachezea maziwa yake kwa ustadi wa hali ya juu,huku ukiyapapasa kwa mbali sasa cha kufanya hapa ni kitu kidogo sana na wala hutakiwi kutumia nguvu katika sekta hii. Mweke mkao wa kula mpenzi wako ambapo unajua utakuwa rahis kucheza na maziwa yake, anza kwa kuyashika shika maziwa ya mpenzi wako taratbu huku unayapapasa kwa mbali na kuyabinya binya kama vile unabinya embe dodo kuckia kama limeiva na wakat unafanya hivyo usisite kuyacfia matiti ya mpenzi wako, endelea kuchezea titi moja huku moja lingne anza kwa kulinyonya ziwa moja huku ukicheza juu ya chuchu taratibu na kuzungusha ulimi wako juu ya chuchu ya mpenz wako na wakat huo mkono mmoja unachezea ziwa lingne, ingiza mdomo wot

KANUNI ZA KUISHI NA MWANAMKE

Image
Naomba nizungumze na wewe kidume mwenzangu, ambaye huelewi namna ya kuishi na mwanamke kwa akili. Nimesema kuishi na mwanake kwa akili, naam, ndiyo ewe mwanaume unayesoma makala haya ni kwamba katika maisha yako utakayoishi hapa dunia hakuna kiumbe unachotakiwa kuishi nacho kwa akili kwa mwanamke. Ni kweli usiyohitaji mwanga wa jua juu ya hilo. Mwanamke usipoishi naye kwa akili ni kwamba mahusiano yenu hayatadumu hata iweje labda ukatambike. Pamoja na maudhi waliyoumbwa nao viumbe hawa unatakiwa kuyaelewa na kwenda  nayo sawa kwani pindi utakapofanya  kinyume chake ni kwamba hautadumu na kiumbe huyo. Labda twende tukaone kanuni za kuishi na Mwanamke kama ifutavyo; Kwanza usimpige mwanamke, Naam nazungumza na wewe hakuna mwanamke ambaye anapenda kupigwa na mumewe, labda uende mkoa wa Mara, kwani huko ndiko wanakosema ukipigwa ndiyo upendo, sina ushahidi na hilo kwani hayo ni maneno ya kuambiwa tu. Kuna baadhi ya wanaume hudhani kumpiga mwanamke kunasaidia, hapana kitendo hicho haki

SABABU 6 ZINAZOFANYA MTOTO MCHANGA KULIA USIKU

Image
  K WA  mzazi yeyote anaelewa usumbufu unaotokana na mtoto anayelia usiku. Watoto wachanga wenye umri chini ya miezi 6 wanakuwa n a matatizo haya zaidi. Mtoto anapolia huwa inaleta hisia kuwa mtoto ana shida na mara nyingi wazazi au walezi wanakuwa hawajui sababu au hata wakijua huenda wasijue jinsi ya kurekebisha tatizo na kumnyamazisha mtoto. Ifahamike kwamba kulia ndiyo njia pekee ambayo mtoto anaitumia kuwasiliana na wengine juu ya shida ambayo anayo. Ni ujumbe kwa mzazi au mlezi kuwa hajisikii vizuri na anahitaji msaada. Sababu 6 kubwa za mtoto mchanga kulia usiku au mchana ni hizi: UGONJWA WA TUMBO/ MAUMIVU MENGINE Watoto wachanga wanasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo na inaweza kusababishwa na chakula ambacho katika umri mchanga ni maziwa ya mama au maziwa ya bandia ambayo anapewa. Kwa kuwa mfumo wake wa chakula bado ni mpya na unaendelea kukua basi unapata shida kumeng’enya chakula. Mara nyingi gesi inajaza tumbo na kusababisha maumivu kwa mtoto. Shida hii si rahisi kuka

ZIFAHAMU MBINU ZA KUPATA WATOTO MAPACHA

Image
Inasemekana kwamba haijalishi kama mume/mwenza wako ni pacha ama ametoka kwenye familia yenye historia ya mapacha.  Mwenye uwezo wa kusababisha watoto mapacha ni mwanamke pekee. Ikiwa na maana mwanamke ambaye ni pacha ama ndugu zake wa kike kama vile dada, mama wana historia ya kuwa na mapacha ama wao ni pacha basi mwanamke huyo ana nafasi kubwa ya kupata watoto mapacha. kwa mfano: Mwanamke ambaye mke wa mjomba wake ana mapacha haimpi yeye nafasi ya kupata mapacha kwa sababu hana uhusiano na mke wa mjomba wake kibailojia. Ila mwanamke ambaye dada yake ana mapacha inampa uwezekano wa kupata watoto mapacha kwasababu wana uhusiano wa moja kwa moja.  Hembu tujifunze hatua moja baada ya nyingine. Kwanza tufahamu mimba inatungwa vipi? Na kisha tuone jinsi gani mimba ya watoto mapacha inavyotungwa. Mimba inatungwaje? Kipindi cha ovulation ndipo ambapo mwanamke anaweza kushika mimba. Ovulation ni kipindi ambacho yai kubwa ama yai lililo tayari hutoka kuelekea kwenye tumbo la uzazi kupit

WANAUME KABLA YA KUOA HUANGALIA WANAWAKE WENYE SIFA HIZI

Image
Wanaume wengi wanapofikia hatua ya kuoa si kwamba wanakurupuka tu na kuoa mwanamke yeyote mwenye sura nzuri, bali huchukua muda wao mwingi kuchunguza mambo mengi juu ya wake ambao wanadhani kwamba wanaweza kuwa pamoja kwa kipindi chote cha maisha. Wanawake wengi wanajisahau na kudhani kwamba kitu kinachoweza kuwafanya wakapata wachumba ni uzuri hivyo kupoteza muda wao kujichubua na kujiremba ili wawavutie wanaume bila kujua kwamba kuolewa ni zaidi ya uzuri. Hali sasa hivi imebadilika ni tofauti na kipindi cha nyuma ambapo ukiwa na sura nzuri na umbo la kuvutia basi una asilimia 100 za kuolewa. Utafiti ambao nimeufanya unaonesha kwamba zaidi ya uzuri wa tabia na umbo, kuna kuna sifa nyingine za msingi ambazo mwanamke anatakiwa kuwa nazo ili aweze kuwa katika mazingira mazuri ya kupata mchumba wa kumuoa kiasi kwamba asipokuwa nazo ataishia kuchezewa tu lakini haitatokea mtu kumtakiwa kwamba anataka kumuoa. 1. Mwenye mapenzi ya kweli. Lengo kubwa la mwanaume kuoa ni kutaka kupata m

UKIYAONA HAYA JUA UPO KWENYE MAPENZI HATARISHI, KIMBIA...

Image
Matukio ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na matukio mengi ya mume kumuua mke, mke kumuua mume au kusababishiana vilema vya kudumu. Lakini si kwa waliopo kwenye ndoa pekee, hata wale waliopo kwenye uhusiano wa kawaida wa kimapenzi au wachumba nao wapo kwenye mkumbo huu wa kufanyiana ukatili wa kutisha. Kiasili mapenzi yanapaswa kuwa na amani, huwezi kufurahia mapenzi kama una hofu juu ya mwenzi wako, kila siku mnatukanana, mnapigana au hata kutishiana maisha. Kwa bahati mbaya, watu wengi wapo kwenye aina hii ya mapenzi, mapenzi hatarishi au kwa Kiingereza Violent Love na hawajui nini cha kufanya, huku wengine wakichukulia kuwa ni kitu cha kawaida. Kutofautiana katika mapenzi ni jambo la kawaida, lakini kwa nini mfikie hatua ya kutishiana maisha, kupigana, kutukanana au hata kuuana? Wengi wanaopoteza maisha yao au kupata vilema, ni kwa sababu walishindwa kuchukua hatua mapema, waliliona tatizo

NIMEJIFUNZA DUNIA IPOJE, BINADAMU WATU WABAYA SANA

Image
Shahidi Kushindwa Kufika Mahakamani Kulivyomuokoa Wema Kufutiwa Kesi yake ya Video ya Ngono Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, baada ya shahidi kushindwa kufika mahakamani kwa muda mrefu. Mrembo huyo wa Tanzania mwaka 2006 anakabiliwa na mashtaka ya kurekodi video ya ngono na kuisambaza katika mitandao ya kijamii. Hakimu Mkazi Mkuu,Maira kasonde alimwachia huru mshtakiwa huyo chini ya kifungu cha 225(5) cha mwenendo wa mashtaka ya makosa ya jinai. Hatua hiyo imekuja baada ya Wakili wa Serikali,Gloria Mwenda kudai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu,Maira Kasonde kuwa shauri hilo lilikuja kwa ajili kusikilizwa lakini shahidi waliokuwa wakimtegemea wamepewa taarifa kuwa anaumwa. Naye Wakili wa Utetezi,Albert Msando alidai kuwa taarifa iliyotolewa mahakamani hapo haijajitosheleza huyo ameanza kuumwa jana au juzi hivyo walitakiwa kutoa taarifa zinazojitosheleza inapotokea pale shauri linataka kuahirishwa. “Pande zote mbili zinatakiwa kutoa t

HAKURIDHISHI FARAGHA?? JIFUNZE KITU HAPA

Image
U ZURI  wa mapenzi ni kuridhishana. Kila mmoja ‘ainjoi’ kukutana na mwenzake, alifuarahie tendo katika hali ambayo hawezi kuwa na hamu ya mapenzi pale anapokuwa amemaliza tendo.  Kinyume na hapo, kukiwa na tatizo katika upande mmoja, furaha ya tendo inaondoka. Mmoja kati ya wapendanao anakuwa na shauku ya tendo wakati mwingine hana. Kitakachofuata hapo ni yule ambaye hajaridhika kutafuta njia mbadala ili kupata tiba ya mapenzi. Kwa kizazi cha sasa, watu wengi sana wamekuwa wakiteswa na tatizo la kutoridhishwa au kutomridhisha mpenzi wake. Mwanaume anaweza kuwa anataka kumridhisha mpenzi wake, lakini anashindwa au mwanamke anataka kumridhisha mpenzi wake, lakini inashindikana. Wanapokutana  faragha, kila mmoja anakuwa na nia njema kabisa kutaka kukamilisha tendo la ndoa, lakini kwa tatizo linakuwa kwa mmoja wao na kuwafanya washindwe kufurahia tendo. Mmoja kati ya wampendao anakuwa anawahi kuridhika wakati mwenzake anakuwa bado hajafikia muda wa kuridhika. Hapa ndipo zinapoibuka zil

EPUKA JAMBO HILI KATIKA MAISHA YAKO

Image
Dunia huwa inatupa kile tunachokitaka na tunakizungumzia kila mara katika midomo yetu. katika jamii zetu kulalamika ndiyo utamaduni uliozoeleka, ukienda ofisini watu wanalalamika, kwenye usafiri watu wanalalamika, kwenye nyumba za ibada watu wanalalamika. Hivi ni eneo gani la maisha yako umeona sehemu ambayo watu hawana utamaduni wa kulalamika? Binadamu tumekuwa ni watu ambao tumekosa shukrani, hata tupewe nini hatuwezi kukosa shukrani. Tunajiona hatuna kitu fulani kwa sababu maisha yetu tumeyaweka katika vitu, tunaishi kwa ulinganishi wa vitu na pale tunapojaribu kulinganisha tunajikuta tunaumia na hatuna kitu. Hakuna mtu ambaye amejitosheleza kwa kila kitu, tunatakiwa kushukuru kwa kile ambacho kipo ndani mwetu, tusiangalie tumekosa nini, badala yake tukumbuke tumepata nini, tukiwa tunaangalia vile ambavyo tunavyo maisha ni mazuri sana lakini tukiwa tunaangalia vile ambavyo hatuna maisha yanakuwa siyo mazuri sana. Tunapoteza maana ya maisha yetu pale tunapokuwa tunajilinganisha n

NOGESHA MAHUSIANO YAKO YA MAPENZI KWA KUFANYA MAMBO HAYA

Image
Kutengeneza uhusiano wenye nguvu ni moja ya mambo yenye changamoto kubwa. Japo hakuna maelekezo maalum, kuna mambo machache na rahisi ambayo unaweza kumwambia mpenzi wako yakaujenga zaidi. Weka desturi ya kusema mambo haya kwa mpenzi wako na muda mfupi tu mtakuwa couple itakayowapa wivu marafiki zetu. Nakupenda Nakupenda ni kitu rahisi na cha wazi cha kumwambia mpenzi wako. Hakikisha tu kuwa unamaanisha. Jaribu kulisema neno hilo pindi mpenzi wako anapokuchekesha au pale anapofanya kitu kinachokukumbusha kwanini mko pamoja. Nilikuwa nakuwaza Ni muhimu kumjulisha mpenzi wako kuwa unamuwaza hata kama hamko sehemu moja. Ukiona kitu kizuri au cha kuchekesha katika siku yako ambacho kinakufanya umkumbuke, mjulishe. Siku yako ilikuaje? Muulize masuala ambayo mpenzi wako anakutana nayo katika shughuli za kila siku. Muulize kuhusu huyo mfanyakazi mwenzie anayemkera au kazi kubwa waliyokuwa wakifanya. Kumpa nafasi mpenzi wako kushare sehemu zingine za maisha yake kutasaidia kuunganisha d

WEMA SEPETU AFICHUA SIRI YA MAISHA YAKE

Image
W EMA  Isaac Sepetu ‘Madam’ amevunja ukimya, amefichua siri nyuma ya maisha yake, Ijumaa Wikienda linakudokeza.  Katika mahojiano maalum na Gazeti la Ijumaa Wikienda muda mfupi baada ya kuhojiwa na +255 Global Radio na kutambulisha ‘project’ yake mpya ya Wema Sepetu Empire, mrembo huyo alisema kuna siri kubwa juu ya maisha yake ambayo wengi hawaijui. “Watu wengi wanajiuliza, nimewezaje kuwa kwenye fame (umaarufu au ustaa) for all those years (kwa miaka yote hiyo 13) tangu nilipotwaa Taji la Miss Tanzania (2006). “Yapo mambo mengi, lakini kubwa ni kutokata tamaa. Mimi nikisema ninataka kitu changu, lazima kifanikiwe, huwa sikati tamaa. Kila ninapoanguka huwa ninasimama kisha ninajifuta na kusonga mbele. “Najua mimi nina roho nzuri sana. Sijawahi kuua mtu, sijawahi kudhulumu mtu, nimeshasaidia watu wengi na wala sijawahi kusema vibaya. Kuanguka ni mambo ya kawaida tu kwani na mimi ni binadamu. “Jambo lingine ni kwamba kile kidogo ninachopata huwa ninapenda kushea na wengine. Ndiyo m

HIZI HAPA AINA 4 ZA WANAWAKE MICHEPUKO

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu

KWANINI BAADHI YA WANAWAKE HUOGOPA KUJIFUNGUA??

Image
Mercy Chepkorir Mercy alijifungua mtoto wake kupitia kwa upasuaji wa kuchagua. Upasuaji wakati mama anapojifungua hufanyika mara kwa mara wakati hali ya mama au mtoto iko hatarini, Lakini katika karne hii ya 21 wanawake wengi ambao ni wajawazito huchagua kufanyiwa upasuaji kwa Imani kwamba kuzaa kwa njia ya uzazi ni uchungu au husababisha njia ya uzazi kupanuka na hivyo kumfanya mama kuachwa na mumewe. Ni Imani ambazo zimewasababisha wanawake wengi hasaa ambao ni wajawazito na wanatazamia kujifungua mtoto wa kwanza kuogopa kujifungua kwa njia ya kawaida. Hii ni kutokana na mambo ambayo wao wameyasikia kutoka kwa rika lao ama pia kuyatizama kwenye vyombo vya habari au kwenye mitandao ya kijamii. Wengi wao wanaamini kwamba kujifungua kwa njia ya kawaida ni uchungu na wasingelitaka kuhisi uchungu huo. Mercy Chepkorir ni mama wa mtoto mmoja kutoka mjini Nakuru nchini Kenya. Mercy alijifungua mtoto wake kupitia kwa upasuaji wa kuchagua. "Nilipata ujauzito nikiwa katika chuo cha

MAMBO AMBAYO WANAUME HUKOSEA WAKATI WA KUTONGOZA

Image
Kutongoza kuna kanuni zake kama ilivyo kanuni za kufanya hesabu, maana usipokuwa makini kujua kanuni za kufanya  hesabu ni lazima tu hesabu hiyo utakosa. Hivyo hivyo hata katika mapenzi kama hujui namna ya  sahihi ya kumtongoza mwanamke ni lazima mwanamke huyo utamkosa tu. Yafutayo ndiyo makosa yanayofanya na wanaume wengi wakati wa kutongoza. Kuwa na papara. wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu. mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba yake. Mjomba hata akikupa ujue utasumbuka sana kumpata kwa sababu atakufikiria sana juu ya uharaka wako. Kuonyesha maisha yasiyo ya uhalisia. wanaume wengi tumekuwa tukijipandisha au kujionyesha tofauti na hali zetu. Unaaproach jaribu kuwa real. huwezi kumwambia mdada unafanya kazi benki  wakati si kweli. Kutokusoma Mood ya mwanamke. unapomuaproach mwanamke lazma usome mood yake coz sometime unaweza kutoswa coz hujamsoma mwanamke.unamtongozaje mw

HIZI NDO DALILI ZA MWANAMKE ANAE CHEAT KATIKA MAHUSIANO

Image
Wataalamu wa maswala ya mahusiano wanaamini kwamba, mwanamke anapotoka nje ya ndoa yake, inakuwa rahisi sana kubainika au kufumaniwa kuliko ilivyo kwa mwanaume. Hii inatokana na ukweli kwamba, hisia zinakuwa na nafasi kubwa sana kwa mwanamke, kwani mwanamke huishi kwa hisia zaidi kuliko mwanaume. Bado nasisitiza kwamba, haipaswi na siyo sahihi mtu kuchukulia dalili hizi kama ushahidi wa mpenzi wake kutoka nje ya ndoa. Uchunguzi wa kina kufuatia dalili hizi ni muhimu sana. Zifuatazo hapa chini ni baadhi ya dalili zinazoweza kuonyeshwa na mwanamke ambaye anatoka au yupo kwenye harakati za kutoka nje ya ndoa yake: 1.KUCHELEWA: Kuna wakati mwanamke anaweza kuaga kwamba anakwenda saluni au kusuka, badala ya kurejea kwa muda ambao umezoeleka, anachukua muda mrefu hata mara tatu zaidi. kuna wakati kwenda sokoni huchukua saa kadhaa bila kujali soko liko umbali gani. Kama ni mara moja sawa, lakini ikishakuwa zaidi ya mara moja huenda kuna tatizo la kukosa uaminifu. 2.KUBADILI MAENEO: Hebu

WANAWAKE ACHENI KUTOA SIRI ZA WAUME ZENU KWA MARAFIKI

Image
Unapoingia katika mahusiano hasa wanawake jitahidi kujifunza kuwa msiri na mambo yako sio kila jambo ni kwenda kulizungumza ama kusimulia marafiki. Katika mambo ambayo wanawake wanakosea ni hilo kutoa siri za mpenzi wake kwa marafiki ama kwa watu wengine. Wengi wamejikuta wakiachwa katika mahusiano kwa kukosa kifua na kuanza kusimulia mambo ambayo wanafanya na mpenzi wake hadi yale ya chumbani. Wanawake hivi huwa mnakosa ya kusimualiana mpaka unaanza kumsimulia mara mwanaume wangu ana mashine mashallah akitembeza mashine yake basi mwili unasisimuka nina pata raha sijawahi kuziona. Yaani anajua kufanya mpaka utasikia unahama dunia, yaani hutamani hata atoe mashine yake maana utamu wake sio wa nchi hii, yaani ni raha kwa kwenda mbele anayajua mahaba yule mwanaume sijawahi kuyaona anajua kunidatisha mpaka ninadata saa zote nawaza penzi lake. Unapokuwa unasimulia wenzako wanakusikiliza hivi unamsimulia mtu jinsi unavyopewa raha mpaka unafika kilelele wakati huyo unayemsimulia hajui

VIFAHAMU VYAKULA VINNE (4) VENYE KUONGEZA HAMU YA TENDO LA NDOA KWA WANAWAKE

Image
Wanawake wengi wanaokaribia ukomo wa hedhi au waliokoma hedhi tayari(menopause) hukosa hamu ya tendo la ndoa. Wataalamu wa afya wameshauri vyakula vinavyoweza kuwapa wanawake hamu  ya tendo la ndoa. Mtaalamu wa Saikolojia wa Uingereza, Cassie Bjork, anasema badala ya kutumia dawa (Viagra) vya kuongeza hamu ya tendo la ndoa kuna vyakula maalum. Spinachi Wataalamu hao wanasema mboga ya majani aina ya spinachi ina wingi wa madini ya magnesium ambayo husaidia kusambaza damu kwenye mirija. Damu inaposambaa vyema mwilini hata hamu ya tendo la ndoa huongezeka. Bjork anasema kula kwa wingi mboga hizo kunamsaidia mwanamke hata kufikia kilele. Chai ya Kijani (Green tea) Chai ya kijani ina kompaundi iitwayo catechins. Hii inaelezwa kuwa inasaidia kuyeyusha mafuta mwilini. Lakini pia inalisaidia ini  kuchuja sumu na kuisaidia mishipa ya damu kufanya kazi vizuri. Damu ikitembea vyema mwilini, ni rahisi kwa mwanamke kujisikia hamu ya tendo. Mafuta ya samaki Zipo aina nyingi za mafuta ya s

UNA UHAKIKA ANAKUPENDA KWA DHATI?

Image
K ATIKA  mada hii ambayo imeanza wiki iliyopita, tunajifunza namna ya kumtambua mwenzi ambaye amepoteza uwezo wa kupenda.   Tayari tumeshaona dalili za awali katika sehemu ya kwanza ya mada hii. Sasa tunamalizia vipengele vilivyosalia. Bila shaka baada ya kuona vipengele hivyo, utakuwa unajua upo na mpenzi wa aina gani na kwa nini ana mabadiliko ya hapa na pale katika uhusiano wenu. TUENDELEE… (IV) MTU WA WASIWASI Mara zote amekuwa na wasiwasi, hapendi mkae sehemu za uwazi, anafikiria juu ya kuachwa, huku utumwa mkubwa zaidi ukiwa ataificha wapi aibu yake siku na wewe ukimwambia utamwacha. Ana hofu na uhusiano wenu, hana amani na ni kama yupo mguu nje, mguu ndani. Yupo kituoni akisubiri kuachwa muda wowote. Siyo kwamba umemwambia unamwacha, ila ana hofu moyoni mwake kutokana na makovu aliyokuwa nayo huko nyuma. (V) HAPENDI MAHABA Anachukia michezo ya kimahaba, hapendi utani wa kimapenzi na kumwambia unampenda kila wakati. Ni mwoga pia wa surprise. Kwake mapenzi ni