MWANAMKE AKIKUJIBU HIVI, KIMBIAA

Unapokuwa unamtaka mwanamke kuwa makini na majibu anayokupa tena umsikilize kwa umakini na kuyafanyia kazi.

Mwanaume unapotaka kuingia katika mahusiano na mwanamke lengo ni kutaka kuwa na mtu sahihi ambaye mtaelewana hasa hasa katika tabia.

Muogope mwanamke ambaye unamtongoza anakuambia anaogopa sana wanaume.ukiuliza wewe ni bikra kwani? Atajibu hapana,ukiuliza kwa nini unawaogopa wanaume wakati wewe si bikra  atakujibu nimeshatendwa sana.

Ndugu yangu nakushauri kama ukijibiwa hivyo basi ondoka fasta ujue hapo hakuna mwanamke kabisa, kwa sababu haiwezekani mtu atendwe yeye tu na kila mwanaume.

Mwanamke huyo ana mapungufu ambayo hata wewe hutaweza kuvumilia, mapungufu ambayo hata wewe utamtenda tu na mwisho wa siku utamuongezea idadi ya wanaume waliomtenda.

Ila mara nyingi wanawake wanaojibu hivyo au wanaotendwa hivyo unakuta  hawajatulia kabisa.

Hivyo ni vizuri ukaamua kumuacha kuliko kuwa naye kwenye mahusiano kwani hautaweza kumbadili tabia yake sana sana unakwenda kumuongezea maumivu.

Wanawake wa aina hiyo huwezi kumbadilisha hata iweje labda tu akutane na mwanaume ambaye wanafanana tabia ndio watadumu katika mahusiano.

Kuna wanawake wanatabia ngumu hata useme unajaribu kumvumilia umashindwa mtu wa aina hiyo huwezi kudumu naye katika penzi.

Alafu mbaya zaidi kila unapomuambia wala habadiliki yeye anachukulia powa yaani anajiona ni sawa. Huyu ni shida habebeki hata kwa mbereko.

Ili kuepuka kumuumiza huyu mwanamke ni heri kumuacha mapema kuliko kujiingiza katika mahusiano ambayo yatakuja kumuongezea maumivu na kujikuta anaongeza idadi ya wanaume kumuacha.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AKOJOE HARAKA WAKATI WA TENDO

JINSI YA KUMKOJOLESHA MWANAMKE KWA HARAKA

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE ASIKUSAHAU KATIKA TENDO LA NDOA