KIPI HUMFANYA MTU KUWA NA HAMU YA KUFANYA TENDO KILA SIKU

Kuna msanii alihojiwa na Radio moja wapo hapa nchini akasema yeye huwa anafanya mapenzi kila siku tar 1 hadi tar 30 mkewe akiwepo. sasa mimi sina experience na hili maana najiuliza na nauliza washkaji wa JF naomba kujua

Ni kitu gani huwa kinamfanya mwanaume au mwanamke kuwa na hamu ya kufanya mapenzi Kila siku hata kama ni kimoja tu kwa siku ila anakuwa anafanya kuanzia tar 1 hadi 28 au hadi 30 mwezi wote kasoro siku ambazo atakuwa kwenye siku zake kwa mwanamke na siku za danger anatumia kinga kama Cond*m au sindano au njia nyingine ya kuzuia.

Mwanaume au Mwanamke wa aina hii nini huwa kipo nyuma yake kinachomfanya aone kuwa ni lazima (its a must) yeye kupata kila siku. Je ni tatizo la kiafya au ni chakula anachokula ndio husababisha au kuna nini.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AKOJOE HARAKA WAKATI WA TENDO

JINSI YA KUMKOJOLESHA MWANAMKE KWA HARAKA

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE ASIKUSAHAU KATIKA TENDO LA NDOA