UKIONA UNATONGOZWA NA KILA MWANAUME JUA UNA MATATIZO

Kuna baadhi ya wanawake wamekuwa wakijiona kuwa wao ni wazuri zaidi na ndio maana wanatongozwa na watu wengi kila kukicha.

Ukiona unatongozwa na watu wengi jua una tatizo usijisifu wewe ni mzuri kuliko wengine naomba nikupe ukweli. Hata hao wazuri hawatongozwi ovyo ovyo.

Kama wewe ni mwanamke unayejitambua unatakiwa kukataa hiyo tabia kwani tafsiri yake haina tofauti na ule msemo wa maharage ya mbeya.

Haiwezekani wewe ambaye unajiheshimu ukatongozwa hovyo hovyo yaana wauza supu wamo, wauza dagaa mtaani wamo, fundi gereji yumo, muuza karanga yumo, muuza mitumba yumo, muuza duka yumo, dereva taksi yumo hao wote wanakutaka wewe jiulize.

Jitafakari hapo utakuwa una shida kwanza angalia na aina ya watu wanaokutongoza mpaka ujione wewe unapendwa sana.

Alafu kutongwa sana sio kwamba wewe ni mzuri wameshakuona wewe ni demu mdebwedo. Yaani ni mgawaji kwa urahisi na ndio maana wanakufuata kila mtu ili ajipatie asepe zake.

Wanaume wa mtaani huwa wanasimuliana asikuambie mtu hasa kwa hawa mademu ambao ni wagawaji kama karanga.

Ukiwa mgawaji kama karanga kila mtu atakuwa anakutongoza ili kujaribisha bahati yake usije ukajiona una bahati ya kupendwa sana.

Ninataka nikuambie jambo mwanamke anayejitambua thamani yake humkuti anatongozwa kila kona anayopita, akipita huku kasimamishwa mara kaitwa. Hivi hata kama una safari utafika kweli maana kila kona unaitwa mmmm sasa hii ni shida maana sio kupendwa ni karaha.

Jitathimini wanaokutongoza kwanza wanakuchukuliaje. Nataka nikuambia wanaume wakiwa wanamtongoza demu wana maneno mazuri asikuambie mtu anaweza kukuambia uzuri wako hata Jenifa Lopez hawezi kukufikia.

Kwa akili ndogo uliyo nayo utajua unapendwa sana kwa sifa kemkem alizokupa kumbe lengo lake ni kugonga mzigo na kusepa.

Hivi hujawahi kujiuliza mbona hawa wamenigonga lakini hawataki mawasiliano tena jua wamekuona ni mzigo wa kuendelea katika mahusiano.

Kama wewe ni mzuri kweli kwa kigezo cha kutongozwa sana mbona hawakuoi wanakugonga na kusepa embu ni saidieni hapo uzuri wako unaupima kwa kutongozwa ha ha ha ha imenibidi nicheke tu wanawake sijui nani katuloga.

Badala ujisifu kwa masuala ya kimaendelee wewe unakaa kujisifu unatongozwa je una jambo gani ulilolifanya kazi kujitangazia ujinga usio na maana katika maisha yako.

Jua kuna watu ni wakali na hawajisifu huo ujinga yupo bize na kujenga maisha yake.

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AKOJOE HARAKA WAKATI WA TENDO

JINSI YA KUMKOJOLESHA MWANAMKE KWA HARAKA

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE ASIKUSAHAU KATIKA TENDO LA NDOA