WARAKA WANGU KWA WANAUME JUU YA WANAWAKE

Mimi sasa ni kijana tuu. Wala siwezi jisifu kwa lolote kwa maana ndio kwanza nafika robo ya Miaka mia moja. Lakini isikie sauti yangu. Nawe yashike maneno haya upate kuishi.
Lakini sasa wanawake wanatafuta kutuua. Tena kutuangamiza kabisa. Nao wanataka kukaa juu ya vichwa vyetu ili wafikiri badala yetu. Tena wanataka kukaa midomoni mwetu ili tusiweze kusema. Bali sauti zao ndio zisikike.
Basi nikaona katika nyumba mwanamke mmoja akiomba Dua mumewe afariki. Tena akiwafundisha chuki watoto wake ili wamchukie Baba kusudi wao ndio wapendwe zaidi. Nikashangaa Maelfu kwa maelfu ya wanawake wakinunua dawa yenye kufisha taratibu kusudi Wawaue waume zao ili wapate kufanya yale wayatakayo. Wapate kufanya uovu mbele ya Watoto wao wakuwazaa.
Basi mwanangu utakapo kuwa mtu mzima. Tena mwenye nguvu na akili. Utakapo komaa kihisia ba kumuhitaji Mwanamke. Basi nakusihi jichunge sana. Nawe usisahau maneno haya tangu umkapo mpaka ulalapo. Tena utembeapo na ukaapo yafikiri maneno yangu ili upate kuishi.
oa jinsi upendavyo. Wala mtu asikupangie. Tena Oa wanawake werevu na wazuri kupindukia ili upate kupasha misuli ya mwili na akili.
Nawe uwe na tahadhari ukutanapo na wanawake waendao katika nyumba za ibada. Tena jichunge zaidi na walitajao jina La Mungu niliyekufundisha. Kwa maana wao hupenda kutamka maneno ya Mungu ili wapate kukutega na kukuangusha.
Jichunge zaidi na waendao nyumba za ibada. Hao wajifanyao watakatifu wa Mungu kumbe ni mawakala wa Mama yao aliyekuzimu aliyekataa amri za Baba yetu wa Kwanza. Hao wasikupumbaze na Nguo zao za magunia walizojivika kujisitiri miili yao hali ya kuwa mioyo yao ipo uchi.
Tena wala hawakuwa na Bikra kwa kukosa kwa kujizuia. Jichunge sana utembeapo na uongeapo nao.
Nawe Utakapo taka mwanamke. Usifanye wala kujitesa kwa ajili yake ikiwa hakupendi. Kwa maana imeandikwa yakuwa tamaa yake itakuwa juu yako wala si wewe juu yake. Basi usilazimishe Mapenzi usije ukafa mapema.
Usimuonee mwanamke huruma yoyote. Bali tenda kwa Busara na hekima. Kwa maana Mwanamke hahitaji huruma wala kusikilizwa ijapokuwa wao hutafuta huruma ili wapate kukuangamiza. Basi wewe usiwe na huruma kama mwanaume mjinga. Fanya maamuzi bila kujali nani na nini kitatokea. Usiruhusu huruma maishani mwako kwa maana wao hawatakuhurumia pale watakapopata nafasi.
Usimsikilize Mwanamke kwa jambo lolote lile. Wala usipende kumsikia na kutaka kujua anapenda nini. Wala usitake sifa mbele yao wasije wakakuponza. Kwa maana mwanamke yeye ndiye anapaswa kusikiliza kile ukitakacho na sio wewe usikilize kile akitakacho.
Tena siku utakayompa sauti yako nawe ukamsikiliza. Basi siku hiyo ndio itakuwa mwanzo wa kifo chako. Kwa maana wao hutafuta sifa na utukufu, na mamlaka, na Nguvu na kila uhuru wauonao. Basi wewe usiisikilize sauti ya Mke wako usije ukajuta hapo mbeleni.
Kwa maana naapa Mbele za mbingu na ardhi yeyote aisikilizaye sauti ya Mwanamke hataacha kujuta huko mbeleni.
Mwanangu kwa Wanangu. Usimpe mwanamke uhuru akiwa katika himaya yako. Kumpa mwanamke uhuru katika himaya yako ni kufungulia Mlango wa shetani au adui yoyote Nyumbani kwako. Ni bora uishi mwenyewe kuliko kuishi na mwanamke mwenye uhuru wa kidunia. Nawe hutaacha kuona uasi mbele ya macho yako ikiwa utampa mwanamke uhuru.
Atafanya uovu mbele ya macho yako. Ndani ya nyumba yako. Mbele ya watoto wako. Nao watoto watafanya uasi mbele yako naye Mke wako atawatetea na kukukemee. Endapo itatokea jambo hili. Basi mimi Baba yako niliyekufundisha habari za Mungu wa Baba yako. Wafukuze wote na kama utaona usumbufu waondoe duniani wasikuletee aibu. Nawe utakuwa mtu bora mbele za Mungu wako.
Mwanangu usimruhusu Mwanamke amsifu Mungu zaidi ya kukusifu wewe. Tena usimpe uhuru wa kuabudu kupitiliza na kujihusisha na mambo ya ibada kuliko mambo ya nyumba yako. Mwanamke wa namna hiyo hamtumikii Mungu bali anatumikia Mashetani. Basi ikiwa utaweza jambo hili ni wazi utakuwa umefanikiwa zaidi. Ikiwa mwanamke atamuamini mungu kuliko anavyokuamini wewe. Mwanamke huyo ni rahisi kuabudu mashetani, Tena ni rahisi kwenda kwa waganga wapiga ramli, tena ni rahisi kudanganywa na wachungaji na mashekhe na viongozi wengine wa dini kwa aina zao.
Basi ikiwa atakataa kukutii wewe na kutaka kumtii Mungu asiyemjua ambaye ni hakika hamjui. Fukuza huyo mwanamke hakufai. Lakini Nawe wapaswa kuwa mwenye maarifa ya Mungu ukimfundisha namna ya kumcha Mungu kupitia wewe.
Tena ikiwa Mwanamke atakuwa muimbaji katika majukwaa ya Nyumba za ibada. Lakini hajawahi kukuimbia hata siku moja. Basi mwambia aache kuimba hizo kwaya na nyimbo zingine kwa aina zake. Kwa maana hamuimbii Mungu isipokuwa anamuimbia Shetani.
Mwanangu kwa wanangu. Usijivunia mwanamke ambaye hukumkuta Bikra wala usimuamini hata kama angefanya nini. Bali mpe impasavyo mwanamke lakini usimuamini hata kidogo. Tena usimuite mwanamke Mke wako ikiwa hukumkuta Bikra kwa maana huyo hakuwa wako isipokuwa kama aliyembikiri alifariki. Kumbuka usimuamini wala kumpa moyo wako mwanamke wa namna hiyo.
Mwanangu ikiwa mwanamke atakukimbia yeye mwenyewe tena akakuambia usimtafute na hakutaki.tena. Iwe ni kwa hasira au kwa namna yoyote ile. Usimbembeleze Wala usimfuate alipoenda. Kumfuata ni kujitafutia kifo. Naye akiondoka mwambie aende salama. Tena mpe na vitu vitakavyomsaidia huko aendako.
Kwa maana huyo hukuletewa na Mungu. Subiri atakayeletwa na Mungu ambaye Mungu ndiye atamchukua kwa sababu ndiye aliyemleta. Yaani mpaka atakapokufa. Kumbuka usimfuate mwanamke aliyeondoka mwenyewe nyumbani kwako bila ya kumfukuza. Nawe kabla hajafanya hayo yote umwambie tokea siku mlipokutana kuwa siku ukiondoka mwenyewe basi usirudi tena. Hivyo ndivyo utakavyoishi mwanangu.
Mwanangu usimpige Mwanamke ikiwa kakosea bahati mbaya. Na kama kafanya kusudi muonye kwa lugha nzuri.
Usimfukuze mwanamke ikiwa hakukusaliti. Ongea naye kwa upole lakini ukali usiusahau. Tena mwanamke akitoka nje ya ndoa usimsamehe wala usithubutu kufikiri hivyo. Kuwa na Moyo mkuu kama mwanaume. Mfukuze hapo ndani na kama hukumkuta na alama za ubikra fukuza na watoto kabisa. Jicho lako lisiwe na huruma.
Tena usiishi na mwanamke mchawi au mshirikina. Mwanamke mchawi ni sawa na mwanamke msaliti wa ndoa. Fukuza bila kuomba ushauri. Kama washauri watakuja waambie wakamshauri huyo mchawi aache uchawi na wala usimrudie.
Mwanangu ukiishi na mwanamke usilete mambo ya dini na elimu pindi muwapo ndoani. Ishi kama mwanaume. Usijifanye unaelimu sana na unayapeleka mambo yako.kisomi. Nakuhakikishia Mambo yatakushinda. Tena usilete mambo ya dini uishipo na Mwanamke. Kuwa kama mwanaume. Usiwe na roho nyepesi. Sijui mke wako kakufanya nini unajifanya kuomba omba na kufunga. Au kwenda kanisani kuomba ushauri. Usifanye haya. Fanya kama nilivyokuamuru. Onya mara moja kamwe usirudie katika onyo la pili ni adhabu. Hivyo ndivyo utakavyoishi.
Usimruhusu Mwanamke kuzurura kila mahali. Kufanya hivi ni kuanika medani zako za kivita mbele ya adui. Mwanamke anachungwa. Usisikilize maneno ya watu kuwa hachungwi. Usipomchunga usije kujuta kwa yatakayotokea. Mwambie mimi nakuchunga hivyo kuwa na tahadhari katika njia zako kwa maana siku utakayokosea haina salia mtume. Lakini mwanangu nawe uwe na kiasi.
Mwanangu kwa wanangu. Usiwe na mwanamke mmoja ili upate kuishi maisha yenye furaha. Kwa maana hata dunia ina mashariki na Magharibi. Lakini Kamwe Mashariki na Magharibi haziwezi kukutana. Ndivyo utakavyofanya nawe utaishi raha mustarehe.
Mwanangu Jihadhari uwapo na umri wa miaka kuanzia 45 kuendelea. Kuwa makini na Mkeo. Tena jihadhari zaidi katika zama hizi za hatari. Kwa maana Kipindi hiki ni hatari na wanawake wengi huingiwa na roho za kishetani. Walakini sio wote lakini jihadhari kwa maana huwezijua.
Mwanangu usimwamini Mwanamke wala usimpe asilimia mia moja hata kama ni mama yako. Tena jihadhari sana uwe na wasi wasi kwani huo ndio ulinzi wako. Kwa maana siku utakayojiona upo salama ndio wakati huo huo upo katika mtego hatari. Mwanamke huweza kumuuza Mke wa mtoto wake wa kiume kwa mwanaume mwingine. Tena Dada yako huweza kumuuza Mke wako kwa mwanaume mwingine. Kuwa macho muda wote Dunia si lelemama.
Tena Mke wako anaweza kuwauza watoto wake ambao ni wako pia kwa Mwanaume wengine. Jihadhari sana.
Mwanangu usimpe zawadi mwanamke kwa kumfurahisha bali mpe zawadi ikiwa ndio furaha yako. Kwa maana Mwanamke huridhika na furaha ya mume wake walakini kama hakupendi hata umpe nini hawezi rizika. Kumbuka mwanamke huridhika na furaha ya mume wake. Ukimpa zawadi huenda ni nguo alafu asiipende kwa sababu zake mwenyewe basi jichunge sana.
Kwa maana mwanamke huvaa vitu apendavyo mumewe ili amfurahishe mume wake. Mwanamke anayekupenda atachunguza na kujua unapenda aweje naye atakuwa vile upendavyo.
Cisco

Post a Comment

0 Comments