Hiki kisa kimempata shost yangu
Shoga angu ana mpenzi ila wanakaa mitaa tofauti
Katika mahusiano yao wapo tu kawaida,kila mmoja akitaka kukutana kimapenzi huwa wanakutana bila shida,ila miaka ya hivi karibuni wakiwa sita kwa sita alikuwa hapafomu vizuri kwa sababu muda mwingine alishindwa kumsimamisha jogoo wake hadi asaidiwe na shoga angu kwa muda mrefu ndo jogoo anasimama wanaendelea na kazi
Juzi huyo mpenzi wake alimuaga shoga angu kuwa atasafiri,na muda wa kuondoka akawa ameisha mwambia na akamwambia angerudi kesho yake kutoka safarini
Lakini shoga angu alipita mtaa fulani akiwa kwenye shughuli zake, akahisi kama amemuona lakini akahisi huenda siye, huenda atakuwa amemfananisha ,ili kuamini kama siye akachukua sim na kumtext kama amefika alikokuwa anaenda akajibu amefika,basi bi dada akawa anaendelea na mambo yake
Ila muda wa saa 2:30 usiku akasikia mlango wa nyumba yake unagongwa ,akachungulia dirishani kabla ya kumfungulia,akahamaki,alikuwa mpenzi wake,akafungua mlango,akaingia ndani,akamuuliza kulikoni usiku huu,safari uliyoenda imekuaje tena,na au sio wew ni jini,akamwambia amefika na kugeuza fasta, hakutaka kuuliza uliza maana sehemu aliyokuwa amemwambia ameenda ni mbali sana
Akampikia akala,lakini akawa anamshika mwili ni wa moto balaa,akamuuliza unaumwa mbona mwili wako una joto jingi kiasi hiki,akamwambia hapana nipo kawaida,akimwangalia machoni,kama anaonekana kama macho yanakuwa madogo
Basi akamwambia wakaoge,wakaenda bafuni kuoga wote, cha kushangaza akakuta jogoo lake limesimama,limekuwa gumu,akaguna mmmh,leo vipi mbona hivi,hakutaka kumshikashika dudu lake maana shoga angu alikuwa anableed ,hivyo akaona asije akaharibu mambo,lakini mwili wake una joto,pamoja na kuoga ,dudu halishuki mpaka wanatoka bafuni
Walivyofika chumbani,anampaka mafuta bado limedinda,akamuuliza wewe mwanaume umekuaje leo,? Anajibu nipo kawaida
Basi wakaingia kulala,dudu limesimama bado limekaza,muda huo alikuwa amevaa nguo za kulalia,unajua mwanaume akaanza kumvua ili wasex na huku anajua yuko bleed,akamwambia,jamani ina maana hujui nableed,bado tu analazimisha,shoga akaamua kwenda kulala sebuleni,mwanaume akamfuata akambembeleza warudi kitandani walale,akarudi,mwanaume akamwambia atumie mbinu yoyote amkojoleshe maana ana hali mbaya
Akamuuliza umekuaje leo,! Akamjibu huenda siku nyingi nilikuwa sisimamishi vizuri huenda zile hisia zimejikussnya zimerudi leo"
Shost,akaona isiwe kesi,akaanza kutumia mbinu ya kunyonya nusu saa,mtu hakojoi,mwanaume akalazimisha wafanye sex,shost akakataa,akamwambia siwez sex niko bleed,akamwambia ageuze mlango wa nyuma,shost akaduwaa,mwanaume hajawahi kumwambia wafanye mapenzi kinyume cha maumbile,akashangaa kuwaambiwa hivyo,Shost akafikiria na kuanza kulia, Shost akaanza kumtaka aondoke aende kwake usiku ule,pamoja na mwanaume kuomba samahani,shost hakutaka tena mwanaume aendelee kulala mle ndani,hatimaye mwanaume akaamua kuondoka
Baada ya muda,huyo mwanaume akamtumia sms, ulidhani umenikomoa,wanawake ni wengi,ngoja nikanunue malaya yoyote,mwanamke sio wew tu"
Jamani huyu mwanaume amepatwa na tatizo gani
0 Comments