
Wadau ni hivi wanaume wamekuwa wanapenda sana kutunzwa hadi wanaweka post zakuwaonyesha wao ni marioo sasa hawafichii.
Napia hawana usemi wowote maana kila kitu cha manzi halafu hamna aibu mnajaza ndugu zenu kama mwanamke anavyopaswa kuwajaza ndugu zake wakiolewa maisha ni vise versa kwa wale wasiotaka kulea wanaume mngeolewa nyuma sana hawa wasasa wanalenga wadada wajasiriamali wakalishe ukoo wao wote.
Mimi ni bora nikaushe tu nashida zangu nisije nikalea mzigo mwenyewe.
0 Comments