
Huyu mwanamke tulikutana Mwanza mimi nikiwa nimekwenda kwenye shughuli zangu za kikazi yeye alikuwa kwao kuhani msiba.Tulijuana baada ya kuwa tumekutana mara kwa mara kwenye ki pub kimoja hivi pale Mwanza town akaniambia yeye ni mke wa mtu anakaa Dar pale yuko na ndugu zake amekuja kuhani msiba ,kwa hiyo ikawa ndiyo kampani ya muda mfupi tukazoeana sana.
Muda wangu wa kukaa Mwanza ulivyoisha nikamwambia keshokutwa mi narudi Dar , yeye kilevi levi akaniambia naye anatamani kurudi Dar ila mumewe amemwambia atamtumia hela ya nauli na matumizi ya pale ukweni kwa mumewe kama laki 2 baada ya siku mbili tatu. ....Kilevilevi akang'ang'ania nimpe lifti mpaka Dar halafu tutajua huko huko ,mpaka hapo nilikuwa sijala papuchi. siku ilipowadia ,tukaondoka njiani pombe kwa kwenda mbele ,tukaishia kulala Dodoma ,akanipa papuchi.Tukaondoka tukapumzika Morogoro ,hatukuweza kuondoka ,tukalala akanipa papuchi .Asubuhi yake tukaondoka kuelekea Dar.
Tulipofika akaniambia hawezi kwenda nyumbani sababu mumewe anajua yupo Mwanza na lazima atamtumia nauli na hela ya matumizi hivyo niangalie namna nyingine , hivyo nikamtafutia lodge .Na siku zote namsikia akizungumza na mumewe juu ya kumtumia hiyo hela naona jamaa mipango yake haijakaa sawa .Sasa mimi nateseka sababu kila nikitoka mihangaikoni lazima nipitie lodge kwanza ,tupige vyombo ,anipe papuchi ndiyo nirudi kwangu .
Sasa nakaribia kuishiwa kabisa na yeye ameahidiwa alhamisi kshokutwa ndiyo atatumiwa hela na mumewe nimeona mwenyewe kwenye meseji na simu nimesikia..manake kama ni kweli hapa atakuwepo mpaka Ijumaa .Tumeshakaa lodge leo siku ya tatu na kila siku matumizi yake siyo chini ya Tshs 50,000 (pamoja na chumba).
Sasa nafikiria kumtoroka wadau manake nimeishiwa kabisa na nimeshakuwa mtumwa....Naomba ushauri wenu wakuu kama kuna njia mbadala au nimchomoke ?...lakini demu ni mkali balaa na ni fundi siyo wa kitoto...kila nikitaka kumfanyia uhuni huo roho inasita.
0 Comments