
Wakuu,
Hii naongea kutokana na experience niliyo nayo.
Kati ya wanawake wote niliopita nao miaka miwili mitatu iliyopita, ikitokea accidentally or intentionally sikubeba kinga, basi nikitaka kula mzigo, swali kuu wanaloniuliza ni MIMBA IKITOKEA JE? Ila hawaulizi MAGONJWA JE?
Yaani wanachopata hofu cha kwanza ni MIMBA zaidi ya magonjwa hatari kama UKIMWI.
Wanaogopa aibu au majukumu ya mimba zaidi ya magonjwa...
Wadada jitahidini kuogopa magonjwa badala ya mimba. Kwani mimba siyo ugonjwa...
Mjina Mrefu
0 Comments