Aisee mlioolewa tunzeni Sana waume zenu, nimehudhuria ibada kadhaa kuna wachungaji wanaitaga wadada ambao wanataka kuolewa, ule utitiri wa wadada sijapata kuona.
Wadada wasupu unakuta wanaenda pale mbele kuombewa waolewe! Duh! Kama umekaa na mkeo lazima akupige jicho kama unachagua mbuzi wa kafara!
Pale mlima wa moto Mchungaji Dr. Rwakatale (japo naye hana mume) anatoa huduma ya maombi kwa wadada wanaotaka kuolewa tena eti mume aje bila dalili!
Ukienda makongamano kibao wadada wasupu wanafuata miujiza yao! Wakiitwa hujazana balaa!
Nadhani wakristo wajiongeze hapo, suala la kuoa mke mmoja linawanyima fursa wengine. Waruhusiwe tu kuoa hata 6!
Mabaharia kama mnanisikia...muanze kuhudhuria ibada hamtatoka patupu!!!

0 Comments