AFIA KIUNONI MWA MWANAMKE BAADA YA KUPIGA BAO 7

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina moja tu la Davy amefariki dunia baada ya kuzishiwa nguvu wakati akifanya mashindano ya kufanya ngono na mwanamke aitwaye Loveth.

Inadaiwa kabla ya wawili kukubaliana suala hilo walianza kwa mabishano ya nani mwenye uwezo zaidi ya mwenzake kwenye masuala ya ngono.


Baada ya mabishano ya muda mrefu baina ya wawili hao Davy aliamua kumpeleka Loveth kwenye hoteli moja iliyopo Ikotun, Lagos kwa ajili ya kuthibitisha nani ana uwezo wa kufanya mapenzi zaidi.

Mwanaume huyo pia aliahidi kumpa kiasi cha Shilingi za Kitanzania 300,000 Mwanamke huyo kama angemshinda katika tendo hilo.


Inaelezwa kuwa Davy aliimudu vyema mizunguko ya awali kabla ya kuzidiwa na kufariki akiwa kwenye mzunguko wa 7.

Loveth aliomba msaada kwa Meneja wa hoteli hiyo ambaye alimpeleka katika Kituo cha Polisi cha Ikotun huku mwili wa Davy ukipelekwa Hospitali kwa ajili ya uchunguzi zaidi.


Post a Comment

0 Comments