SMS ya kimahaba ya kumtumia mpenzi wako unayempenda By, Melkisedeck Shine.

Tokeo la picha la love sms

Nimezunguka pande zote za Tanzania macho
nikiyaangaza
kumsaka mrembo
wakumkabidhi wangu moyo wenye upendo
ndani yake na kulila
TUNDA lake
kwa nafasi huku nikimpa mahaba ya dhati na sikuwahi kuhisi
kama wewe ndiye
ulie uteka moyo wangu.
nakupenda laaziz

Post a Comment

0 Comments