HAPA NDIPO MAPENZI YANAPOKUWA MAGUMU


Nimeona tu hili niliseme mana week ya 2 hii akili haijakaa sawa, nina mchumba ambaye huyu dada nlimpenda toka tukiwa natukua hapa hapa mtaanibasi ikafikia hatu sasa tumekua nataka kuoa. Nikamtafuta nikamwelekeza akanikubalia now ni mchumba wangu.

Ikatokea nimetembelewa na jamaa yangu wa mtaani katika maongezi nikamwambia nataka kuoa akasema ni jambo zuri akapenda amwone shemeji. Nikamwonesha picha akachea sana yaani akacheka mpaka machozi yakamtoka akanambia unataka kumwoa huyu kicheche? Nikashtuka kidogo, anasema anamfahamu vizuri huyo msichana, yeye alishapiga kipindi msichana yupo form 2 amechezea sana mpaka alipofika form 3 ndo akaachana naye alipogundua anatoka na jamaa yetu wa mtaani mwingine ambaye walikuwa wanapenda kumuita Etoo sababu yeye alikuwa anajiita ni striker kwa wasichana, akanambia anamfahamu ndani nje ana alama kidogo chini ya kalio la kushoto aliumia siku moja wakiwa wote kwenye jumba bovu, yule dada kweli anayo hii alama.

Nikamtafuta striker kwa maongezi ya kawaida nikamuuliza anamfaham x akasema anamfahamu yule msichana ana mwili flani hivi, macho na nikasema ndo yeyeakanambia alimdate kama mwaka hivi na nusu akampiga chini hajui kwa sasa yupo wapi.

Sasa juzi juzi hapa yule mchumba wangu aliweka picha yangu kwenye prof yake whatsapp kumbe kuna jamaa yangu ananifaham aliiona. Akanipigia kuwa kuna mtoto mmoja anaweka picha yangu kwneye prof yake ni nani yangu. Nikasema ni mchumba akanambia niache masikhara, nikamwambia ni kweli akasema "anyway kama umeamua ni sawa anadai yeye mara ya mwisho alikuwa na yule binti ni mwaka jana May walikuwa wote Zanzibar kwenye training wakawa wanatoka toka siku mbili tatu basi akamkamatia room kwake akala baadaye yule msichana akahamia roo ya hotel aliyofikia jamaa kwa week 2 jamaa analala naye kama mkewe naye akanambia anamfahamu na anajua sana kukatika ni kweli yule dada anajua sana tena akaenda mbali kuwa akiwa na hamu huwa yote ni kweli kabisa.

Nikaanza kumchunguza yule dada nikakuta namba mbili za wale wahusika anazo kwenye simu yake nikamuuliza ni akina nani akajibu ni marafiki alikataa kabisa kuwa hawajahi kuwa nao kimapenzi. Nilipoendelea kumbana akakubali mmoja mwingine akasema hajawah nikaendelea kumbana sana akaja akasema ni kweli ila hakukaa naye sana nikamwambia habari za Zanzibar akakiri ni kweli alifanya naye mara mbili tu, nikamwambia aniambie ukweli akaja akakiri walilala wote week moja na nusu ila walikuwa wanatumia kinga, jamaa anasema ni siku moja tu walitumia kinga siku nyingine zote hawakutumia.

Nimembana ameamua kunieleza kuwa ni kweli wote watatu aliwa date ila anasema ni issues za zamani hata mimi nli date watu so wala si big dea ila kiukweli naona kuna kitu kimebadilika hawa jamaa zangu watakujaje home? Watakujaje kwenye harusi? Nitawatizamaje? Hata hamu ya ku do naye imekatika kabisa maana napokuwa naye naona hao jamaa hasa huyo etoo. namfahamu ni mwaribifu sana hafai.

Huwa anawatumia hata maeneo yasiyo rasmina nikimwangalia huyu mchumba naye nyuma ana mzigo mi sijawahi kumnanii kwa nyuma imani yangu hairuhusu na hata mimi sijiruhusu ila kuna siku kama nilikosea kidogo ielekee huko hakushtuka sana.ilikuwa kiasi kawaida tu.akanambia "wewee unapeleka wapi huko "akaniuliza kama napenda nikamwambia hapana sijawahi akanambia "kama ungenambia unapenda ningeichapa hii dudu yako."

Sasa sijui kama etoo hakuwa amemwaribu huko pia sina amani huyu dada, jamaa watatu ninaowafahamu wamepita. Je nisio wafahamu? Hata kama ameacha ila historia haifutiki nimeingiwa na doa kubwa sana, najiuliza nifanye nini? Huyu kwao mama yake ananifahamu rasmi bado ile kutangaza hasa hasa kwa familia nzima.

By Chizi Maarifa

Post a Comment

0 Comments