WANAWAKE WA MJINI NA MIZIGO YA KUCHONGESHA

Sasa nyie si ndo mnatudanganya kuwa mnapenda misambwanda utafikiri mmeambiwa tunajiumba sisi wenyewe kwahiyo mnataka wasio nayo wafanyaje ili nao wapendwe?

Na bado hadi dunia iishe mtashuhudia mengi tu ila na sisi wanawake tunahangaika jamani mimi siwezi badilisha mwili wangu kwa ajili kumfurahisha mwanaume kwa kweli

Post a Comment

0 Comments