Yani kitu kidogo tu.. Prererr preerrr prre peche haziishi,
Sasa ukutane na demu mfupi ndio utajuta,hasa hasa wale wafupi alafu wamenenepa round mwanzoni vinakuwaga vipole ila sasa mkishazoeana, Yani ukifanya kosa kidogo tuu anaona kama umemdharau, Yani ataongea ata wale wafanyakazi wa Aim global na Qnet hawaoni ndani
Balaa lingine ni hawa wembamba.. Ni wabishi hawa alafu wanavojiamini sasa.. Na hawa bora waongee maana kama uko mbali alafu akupigie simu usipokee, iyo message ataandika ni ndefu utazani hotuba ya Zitto kabwe inayohusu Ufisadi Tz...
Kitu nawapendea hawa mademu wako romantic sana
0 Comments