Mwanadada mrembo wa aina yake,aliye na ngozi ya asili asiyetumia mkorogo kama warembo wa mjini ambaye ni mwanamziki pia video queen official Lynn ambaye umaarufu wake ulianza baada ya kushiriki Kama video queen kwenye video ya Rayvanny "Kwetu".
2358466_Lyyn-Kama-Yote.jpg
Amefunguka kuwa kwa sasa yupo "single" na ataakiamua kudate awezi kuwa na mwanaume asiye na uwezo wa kifedha
0 Comments