Wanawake hao pichani wanaelezwa kuwa marafiki walioshibana na Mmoja wa wanawake hao alimshawishi mumewe amuoe rafiki yake baada ya kuona hajaolewa
Wanandoa hao ambao walijaaliwa kupata watoto wawili, wote kwa pamoja wakaridhia wameridhia kumpokea Mwanamke mwingine katika ndoa yao ili asibaki mpweke
Je, mdau wetu unaweza kumshawishi mumeo amuoe rafiki yako?
0 Comments