Gigy Money 'Mtanisamehe Sana Kwasasa Sina Muda na Kiki, Ushoga Wala Umbea Kama Zamani'

 #NUKUU "Mtanisamehe sana kama mtani-miss, kwa sasa muda mwingi nimeweka kwenye kazi na familia yangu na sio umbea, ushoga, kiki wala majungu kwani umri unaenda na haurudi nyuma" - Gigy Money


Gigy Money Siku za karibuni ameonekana kutulia tofauti na siku za zamani ambapo kila siku ilikuwa ni matukio kwake ya kutafuta kiki, kutulia huku kumemfanya siku hizi apate madili kadhaa hadi kumuwezesha kununua gari aina ya Toyota Crown anayodunda nayo mjini

Post a Comment

0 Comments