Kumekuwa na tabia ambayo inakuja kwa kasi sana zama hzi inawahusu nyie wanawake wajawazito. Sijui kama nitakuwa nakosea ila kwa utamaduni wetu wa kiafrica haipendezi kwakweli. Wanawake sikuhz mnatumia ujauzito kama fashion unakuta dada anapost instagram anatuonesha uchi wa tumbo lake halisi (uncovered). Anyway kupost sio tatizo why usipost ukiwa covered? Mpaka tuone tumbo lako ndio post inakua nzuri.
Ushauri kwa dada zetu jaman sio kila kitu cha kuiga na haipendezi kumbuka yule ni kiumbe umebeba kwa makusudio ya mungu, ila wewe unatumia kama fashion.
Jaman nyie mnaonaje hili suala katika jamii zetu za kiafrica ni sawa kwa mwanamke kutuonesha uchi wa tumbo lake uko kwenye social medias?? Mnasemaje?
0 Comments