Lile ni jini..!!
Muigiaji aisyehishiwa na vituko kutoka kiwanda cha bongo movies, Niva amefunguka na kudai kuwa wanawake wengi wanamgombania kwa kumtaka akiwemo staa mwenye mvuto wa kipekee nchini Irene Uwoya.
Sio mara ya kwanza kwa msanii huyo kumsema Irene Uwoya katika kumbukumbu zetu mwaka 2017 baada ya Irene Uwoya na Dogo Janja kufunga ndoa msanii huyo alidai kuwa ndoa hiyo ni ya uongo Irene awezi olewa na Dogo Janja kwa kua msanii huyoo hana pesa.
Mwisho wa siku ilikuja kuthibitika kuwa wawili hao wamefunga ndoa baada ya kutalakiana mwaka jana.
Katika moja ya Interview aliyofanya hivi karibuni amedai kuwa hana bifu yoyote na msanii huyo kama ilivyokuwa inaripotiwa na watu pamoja na vyombo vya habari nchini.
Niva kwanza amedai kuwa Irene Uwoya ni mwanamke mzuri sana anaweza kumuibia mtu mumewake
Li uwoya likaaa mbele lile ni jini lile.. linatisha aisee kama wewe ni mwanamke linaweza kukuchukulia mume wako.. Uwoya she is beautiful alisema msanii huyo wakati akiongea na kituo cha Eatv.
Katika interview nyingine pia alidai kuwa mrembo huyo anamtaka kimapenzi mpaka anamuonea huruma
Kwenye mahusiano yangu ya mapenzi napata shida sana..wasichana wengi wananitaka sana akiwemo Irene Uwoya..Irene Uwoya ni mwanamke ambaye mpaka namuonea huruma sijui nimfanyie nini.
Hili limechukuliwa tofauti na wadau mtandaoni na wakaamuakumpa makavu live wakidai kuwa Irene Uwoya hawezi mpenda muigizaji huyo cheki mwenyewe comments hapa chini
0 Comments