Maisha yamebadilika sana siku hizi, heshima baina ya mtu na mtu imepotea kabisa kiasi kwamba hata rafiki yako wa karibu haoni taabu kukuzunguka kwa mkeo/mumeo..
Wanaume kwa sasa hawana staha kabisa... Dhana ya kuwa na mchepuko imekuwa kuwa kiasi kwamba wanaume wanapambana kuhakksha wana angalau kamchepuko kamoja..
Hawa wadada wa kazi ni changamoto kwani inafika mahali mwanaume anamzoea kupitiliza mkewe kiasi kwamba mvuto wa kimwili unapungua..
Hapa ndipo mawazo ya kuonja hako kabekitatu yanapowavaa wanaume wengi... Tukubali ama tukatae ukweli ni kwamba wanaume walio wengi wanawatamani kimyakimya wadada wao wa kazi..
Siku wakipata nafasi.......
Swali langu kina dada/mama mnajiamibi kwa kipi kuwa na dada wa kazi? Mna tahadhari zozote?
0 Comments