JE, UPI NI UMRI SAHIHI WA KIJANA KUANZA KUFANYA MAPENZI???

Mbiu ya mnyonge hii leo inajikita kwenye hoja ya kuupunguza umri halali wa kufanya mapenzi na kwa upande wa pili adhabu kali kwa wavulana wanaomtia mimba msichana au kumnajisi, nchini Kenya. Ungana naye Thelma Mwadzaya.

Maelezo mafupi

Post a Comment

0 Comments