JE, HAYA NDIYO MAPENZI YA DHATI???

Mwaka wa 1944, KT Robbins alihudumu huko Ufaransa alipopatana na mpenzi wake Jeannine Pierson née Ganaye. Aliondoka miezi miwili iliyofuata na kuvunjika moyo ila wiki iliyopita, alibeba picha ya Jeannine katika maadhimisho ya D Day na kwa mshangao wanahabari walimpata mpenzi. Nini maoni yako kuhusu upendo aina hii? Tueleze kwenye ukurasa wa facebook, bbcnewsSwahili.

Post a Comment

0 Comments