HIKI KITU KINANIFANYA NIAMINI KUWA AKILI ZA WANAWAKE WOTE ZINAFANANA

wanawake wote karibu wana akili zinafanana.. hata mama yangu akiwemo.. i am sorry mama.. mwanamke bila mwanaume strong nyuma yake awe mume wake, baba yake, kaka yake.. huwa anakuwa na maamuzi mabovu sana...

hata waganga wa kienyeji wateja wao sana ni wanawake..

hata wachungaji janja janja wa kilokole etc.. sadaka wanapata kwa wanawake

Post a Comment

0 Comments