UKIGUNDUA NDUGU WA DAMU HAWAKUPENDI UNAFANYAJE??

🇧 🇮 🇰 🇮 🇳 🇮👙 🇧 🇴 🇴

Utawafanyaje!! Hakuna cha kuwafanya mbona sisi hatupendwi kama watoto wa kambo since day 1
Unagangamala tu,unakata mzizi wa undugu na kuwatoa kichwani kwako kama una ndugu.
Maana hata hivyo mwisho wa siku maisha ni yako uwe na ndugu usiwe na ndugu utaishi kadri ya maisha yako.

NB: Usiwachukie " Wabarikini wanaowalaani, waombeeni mema wanaowaumiza" luka6:28

Post a Comment

0 Comments