PIERRE: AMBER LULU NLIMTAKA AKAZIMIA BUANA

Kufuatia kusambaa kwa picha zikimuonyesha mchekeshaji aliyejizola umaarufu mitandaoni, Pierre Liquid akiwa katika mapozi tofauti na msanii wa Bongo Fleva, Amber Lulu, amefunguka na kueleza uhusiano wake na msanii huyo.

Post a Comment

0 Comments