Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhali. .
By kibona
1 Comments
Basi tu ni mindset za wazazi kuwa na hisia mbovu kwa kabila aslo lipenda ambapo ompelekea kumkataza mtoto/watoto wake wasioe kabila flani ila syo hivyo sema tu kila mtu na tabia yake
ReplyDelete