NGOMA 8 KALI ZA BONGO FLEVA ZITAKAZOKUFANYA UMFIKISHIE MPENZI WAKO KILELENI HARAKA

Washikaji leo ndo ijumaa hivyo na wikiendi ndo imeenza hivyo, bila shaka wikiendi hii some of you ambao ni mabachelor kama mimi tuna mihadi mbalimbali za kukutana na rafiki zetu wa kike ama warembo wetu. Baadhi ya Wana tunafeli nyimbo za kusikiliza tukiwa na wapenzi wetu hii inachagia hata sometimes hisia kuwa mbali na kushindwa mfikisha mrembo kileleni.

Unajua Bongo Fleva imejaa flavor nzuri sana za mapenzi na ukisikiliza/kupiga songs hizi na unafanya lile tendo hakika mambo lazima yawe murua , basi Ijumaa hii naokoa jahazi nawapa top 8 song za Bongo Fleva unazotakiwa kupiga kwenye ile Home Theatre yako ama ile Subwoofer ya mchina.

1.Usiende mbali – Juliana & Bushoke

Vijana mnafeli wapi! Ngoma kama hii ukipiga na huko na baby na mko kwenye hali ya kutaka kuyajenga hakika itaamusha msisimuko na mtajiona special sana ,we msikilize tu Juliana hapa na Bushoke. Hakika wimbo huu utawafanya mshikamane siku nzima na kumfikisha kileleni faster!

2. Nalia kwa Furaha – Kylin & Bushoke.

Daaa you just play tu this song hakika machozi ya furaha yatawatoka, just imagine tu uko na bae doing your stuff and hear this song , ni wimbo fulani hivi uliojaa hisia tele za kuhitajiana . Kiukweli me mwenyewew naitumiaga sana huu wimbo it one of my favorite!

3. Celina – Alicom & Mish.

Inaweza kuwa ni ya kitambo sana ila mashairi yake yanaishi mpaka sasa. Ni wimbo fulani hivi wakutia hamsa kwenye mapenzi haswa pale mnapopeana ahadi kuwa hamtoachana hakika inatia hamasa na pale mambo fulani yakiwa yameiva.

4.Perfect Combo – Joh Makini ft Chidnma

Huu ndo wimbo perfect ukiwa na mpenzi wako ndani, kitu kama hiki kisikose kwenye flash, simu au hata computer yako nyumbani hakika ukisikiliza mashairi yake hakika yamepangwa na kupangika.Usije ukaweka tu mawimbo mengine aiseee! Sijui utaambia nini watu

5. Nyota ya Mashariki –  Max rioba & Diamond Platnumz.

Ebwana eh this song so emotional aisee! Pale uko mbali na baby uko lonely na unaumuhitaji sana kwa wakati huu, Max Rioba feat Diamond Platnumz ni chaguo bora la kusikiliza mshikaji wangu.

6. Marry You- Barnaba feat Mr Blue.

This is another love hit song aisee from Barnaba Classic, mko wawili chumbani msikose hii song aisee it will help kupeana mapenzi ya moto moto ,mashairi ya wimbo huu aisee na hizo ahadi moto moto mnazopeana ,mkiachana mnambie!

7. Morning- Navy Kenzo

8. Zaidi –  Jux

Post a Comment

0 Comments