MWANAMUZIKI kutoka pande za Marekani Chris Brown amemtoa Nicki Minaj kwenye orodha ya wasanii ambao aliwataja kuongozana nao kwenye ziara yake ya #IndigoGOAT mwaka huu.
Chris Breezy kupitia mtandao wake wa instagram ameachia list hiyo ya wasanii ambapo amewajumuisha Joyner Lucas, Tory Lanez, Ty Dolla $ign na Yella Beezy.
Mwanamuziki uyo bado hajatoa taarifa rasmi ya kwa nini ameamua kumuondoa Nikck Minaj kwenye ziara yake, lakini mashabiki wanasema kwamba huenda mwanadada Nicki Minaj ni mjamzito kwa sasa!
0 Comments