Wanawake Tafuteni hela zenu, Kizazi cha wanaume wahongaji kinaenda kufika tamati

 


Kama heading inavyosema hapo juu, Dada zangu tafuteni hela, yaan Vijana wa siku hizi ukiwa mzigo kwake umeachwa, utachezewa hadi uchakae na ndoa huioni ng'oo. Vijana siku hizi wakiombwa hela wanahisi km wanataka kuibiwa wanatoka nduki km wameona kirusi cha Corona, madada tafuten hela.


Wadada tafuten hela zenu, vigezo vya kudumu kwenye mahusiano vimeongezeka, heshima sawa ipo, lakin kuwa na hela zako tayari ni kigezo siku hizi. Mwanaume akidate nawewe akagundua hauna hela amini nakuambia hamfiki mbali utaachwa tu, sababu anajua amejitwisha furushi.


Wadada tafuteni hela zenu, hata kumpata mwanaume mwenye hela siku vijana nao wanaangalia je nawew una hela? Kama huna hela utakoma, utaombwa tigo, utapigwa stail zote huheshimiki, maana anakuona km amekuokota akulishe, au malaya tu mnabadilishana bidhaa yeye anakupa hela wew unampa papuchi.


Wadada tafuten hela zenu, Vikao na Vilio vya Vijana kulalamika kuombwa hela na wadada vinazidi kupanda kwa kasi ya ajabu, wanaogopwa kuombwa hela balaa, wapo tayari wazime simu au hata wakublock km unasumbua sana kuomba hela.

Post a Comment

0 Comments