MFAHAMU MMILIKI WA KFC DUNIANI ALIYEANZA KWA KUUZA KUKU BARABARANI


Na Leandra Gabriel, Blogu ya JamiiMGAHAWA wa pili wa ukubwa duniani KFC "Kentucky Fried Chicken" umepata umaarufu duniani zaidi kwa bidhaa zake zinazopendwa na wengi zikiwemo kuku wa kukaanga ambao ndio wamebeba jina la mgahawa huo pamoja na bidhaa nyingine kama vile; vibanzi, kifungua kinywa, vinywaji pamoja na maziwa.Ukiwa na makao makuu huko Lovisville umekuwa  mgahawa wa pili kwa ukubwa duniani  kwa kipimo cha mauzo baada ya McDonald's ambapo KFC imeenea katika maeneo zaidi ya 22,621 duniani na nchi zaidi ya 136 kwa tafiti za mwaka 2018 na una huduma maarufu za Pizza Hut, Taco Bell na Wing Street.Historia ya mwanzilishi wa KFC inawasisimua wengi kutokana na mapito yake kuelekea mafanikio yake,  Colonel Harland Sanders alizaliwa mwaka 1890 akiwa anaishi na baba yake na alipotimiza miaka 6 tuu baba yake alifariki dunia na kumwachia majukumu ya kupika na kulea ndugu zake, akiwa Sekondari aliacha shule na kurudi nyumbani na kujihusisha na shughuli za kilimo.Akiwa na miaka 16 Sanders  ... Continue reading ->

Post a Comment

0 Comments