Wenye mnauliza anaficha mimba Kuna mimba zenu zimepotea 🤷🏾♀️
Hiyo ni moja ya comment iliyoniacha sina mbavu aisee imeandikwa na davine.ke akimanisha wale wanaomwambia Tanasha Juu ya kuficha mimba kwani kuna mimba imepotea !! Comment hiyo imekuja baada ya wau wengi kucoment kwenye picha ya Tanasha ambaye ni mpenzi wa Diamond Platnumz wakitaka asifiche ujauzito.
Katika siku za hivi karibuni kumekuwepo na gumzo kubwa mitandaoni kuwa mlimbwende huyo ana ujauzito, hii ilitokana na picha ambayo alipost kwenye insta story akidai kuongeza uzito na imekuja kukolezwa hivi majuzi waliporekodi a video na mpenzi wake Diamond Platnumz wakicheza wimbo mpya wa ‘Inama ‘na katika video hiyo wanazengo wakapata conclusion kuwa ni mjamzito.
Siku ya jana mrembo huyo ambaye ni mtangazaji kwenye kituo cha Nrg kenya alipost a pic akiwa amevalia a black clothes flani hivi iliyomtoa vyema huku akiwa amekaa sehemu inayonyesha kama ilikua saluni huku akiweka mtandio-like akiiupitisha karibu na tumbo lake kama kuficha kitu hivi.
Baadhi ya wafuasi wake katika mtandao huo wa instagram wakashindwa kujizuia huku wakiamini Tanasha analificha tumbo lake asionekane mjamzito. Ndo wakaanza kutupia vitu
Can you just let us know…una Mumbai or not, tutakufa udaku😂😂😂
Sasa mm huwa nawashangaa mnavyojifichaficha wakati mwisho wa siku utazaa tu..badala ya kufurahia unajificha wakati kuna wengine hiyo bahat wanaitafuta miaka na miaka…
Tumbo linatokeza tu @tanashadonna
There’s no need to cover tumbo lako every time cause y’all know already what’s going on…😅😃😀😀
0 Comments