MASANJA: NINA KANZU MOJA TU, KILA SHEREHE NIKIALIKWA NAVAA HIYO HIYO



Picha mbalimbali zikimwonyesha Mchungaji Masanja Mkandamizaji akiwa amevaa kanzu moja katika matukio tofauti, leo amevunja ukimya kwamba watu wasishangae!


‘’Hata nikialikwa kwenye sherehe navaa hiyohiyo nafua inakauka naikunja naivaa tena kwani navaa kila siku? Bado mpya haina haja ya kuwa nazo zingine saba, nilinunua Dubai nipokwenda kwenye ‘Honeymoon’ na hiyo ‘bargashehe’ Alisema Masanja alipokuwa akifanya mahojiano na mtandao huu Cloudsfm.co.tz


‘’Vazi hili haiwezi kuleta shida kwenye kazi yangu ya Uchungaji kwa sababu kanzu ni vazi tu, hata kama ukiamua kuwa na kanisa Uarabuni huko utaogopa kuvaa kanzu kwa sababu vazi hilo wanavaa Waislamu”Aliongeza Masanja.

This Website is Designed and Developed by Desy Ernest | desy@setuptz.com | 0719955966

Post a Comment

0 Comments