FANYA HAYA ILI KUPUNGUZA UZITO

Utafiti huo uliofanywa na wasomi katika Chuo cha Wanawake cha Doshisha (Doshisha Women’s College of Liberal) huko Kyoto nchini Japan, ambapo wamechunguza jinsi matumizi ya mchele yanavyoweza kupunguza ongezeko la uzito kupita kiasi katika nchi 136, na idadi ya watu zaidi ya milioni moja kuhusishwa.

Watafiti walichambua kila aina ya bidhaa za mchele, ikiwa ni pamoja na mchele mweupe, mchele wa kahawia, na unga wa mchele, kwa kutumia takwimu kutoka Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa.

Timu hiyo pia ilitazama mitindo ya maisha na sababu za kiuchumi katika nchi ilikopita, ikiwa ni pamoja na elimu, matumizi ya nishati ya jumla, bidhaa za ndani kwa kila mtu, kiwango cha sigara, na matumizi ya afya.

Waligundua kuwa kiwango cha ongezeko la uzito kupita kiasi kilikuwa cha chini katika nchi zilizo na matumizi makubwa ya bidhaa za mchele, hata baada ya kuzingatia mambo mengine ya hatari.

Mashirika yaliyotajwa yanaonyesha kwamba kiwango cha uzito kupindukia ni cha chini katika nchi ...

Post a Comment

0 Comments