Macho ya Vanessa Mdee yamepambwa na mamilioni ya pesa, kwenye picha hii ametupia miwani aina ya Linnetto Square kutoka kampuni ya DITA EYE WEAR ambapo bei yake ni (£483) sawa na Tsh milioni 1.4.
Siku chache nyuma Vanessa aliungana na mastaa wengine wakubwa wa dunia kama Cardi B na Kylie Jenner kuvalishwa na kutangaza mavazi ya kampuni ya Fashion Nova. ... Continue reading ->
0 Comments