1.Nidhamu.
2.Uvumilivu.
3.Unyenyekevu.
4.Ubunifu.
5.Kujiamini.
6.Mcha mungu.
7.Uwezo wa kufikiria.
8.Anayeenda na wakati.
9.Rafiki wa watu.
10.White flani hivi.
11.Ananipenda.
13.Anaipenda familia yake na yangu.
14.Mipango mkakati.
15.Ajue kusoma,kuandika na kuhesabu kwa Kiswahili vizuri.
NB:Zipo na nyingine ndogo ndogo.
0 Comments