Nianze kwa kutoa pole kwa haya ninayoenda kuyasema hasa kwa wale ambao mmeisha olewa kilimanjaro na kagera POLENI SANA.
Pili nitoe pongezi kwako wewe mwenye mchumba wa kihaya au kichaga na bado bado hajakuoa basi tambua kuwa hawa watu hawafinyiwagi uhayawani.
Kwa ufupi ukiolewa na mchaga/mhaya ikatokea bahati mbaya ametangulia mbele ya HAKI ww mama mjane utapewa mji wa mmeo ulelee watoto ila ikitokea ukajiskia unataka KUCHEPUKA AU KUOLEWA NA UKAOLEWA NA UKAZAA WATOTO HUKO MJE TAMBUA UNAPOTEZA HAKI ZAKO ZOTE KWENYE MJI WA KWANZA .
NINA amanisha hivi leo hiii yule mke wa Mengi akipata bwana akaolewa hata kama kapewa aslimia ngap ya utajili wa mzew anauacha hapo hapo nyumbano kwenye boma la marehemu YEYE ANAENDA NA KINACHOTAKIWA KUOLEWA AMBAYO BILA SHAKA SIO MALI NI SEHEMU YA MWILI WAKE OVER.
kwa upande wa kilimanjaro na kagera ili limefanikiwa sanaa wakina mama wanalea familia vizur ila makabila mengine mtu anafiwa na mme leo hapo hapo msibani anaangalia mwanaume gani Kavaa vizur aise?
0 Comments