Dada yangu ni mtu wa pekee sana kwangu, hali anayoipitia inanigusa moja kwa moja(ni mjane).
Kiwanja ni kikubwa, anaweza kujenga nyumba yke na kubaki eneo lingine kubwa tu, ambalo ninaweza kulitumia mimi kwa matumizi yngu.
Endapo nisingelifanya hivyo, na ikaja tokea mimi sipo, huyu (mama wa mtoto wangu) anaweza mfurusha dada yangu, kwa madai kuwa pale ni kwake na mtoto wake, kitu ambacho mimi sitaki kitokee..
Dada yangu ninamuamini kuliko huyo mwanamke, hawezi kuja nibadilika hata iweje.
0 Comments